Dragunov Sniper
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,795
- 9
Tanzania ni nchi ya amani na utulivu,tena inasifika duniani kote kwa sifa hiyo kubwa iliyotujengea sifa kubwa kote duniani hadi baadhi ya nchi zinatuonea kijicho,sasa nashangaa mtanzania ww unayeleta hoja zenye misingi ya kutugawa umetokea wapi? Au somalia? Sijui any way umetumwa kuleta mada zenye misingi ya kutugawa,tuko imara watanzania na hatutagawanyika kamwe,siasa na dini havichangamani,kama umeamua kuwa mwanasiasa basi fanya siasa,kama dini basi jikite huko, umoja wetu na mshikamano udmu, asante