MZIMU
JF-Expert Member
- Apr 29, 2011
- 4,058
- 1,373
- Thread starter
- #141
Mbinafsi na mbaguzi wewe. Taifa kwanza, Kazi ya dini iache ifanywe maeneo ya kuabudia. Ukiambiwa ukweli unajidai out of points. Kama umetumwa kamwambie aliyekutuma Watanzania hawadanganyiki maana unaweza kuwa pandikizi kutuvuruga Watanzania. Koma kabisa.
Maelezo yangu yapo fasaha sana kwa kila mtu mwenye akili timamu. Ni Maelezo yenye ushahidi wa Matukio. Kwa mtu mwenye OPEN MIND hata awe Mkristo atakua ameniaelewa. Sio kila Mpuuzi anaweza kueleewa nini nimeongelea.
Mapovu yanayowatoka ni dalili kua yanawachoma Moyo. Naongea kwa hoja sio Chuki kama nyinyi. Open up your Mind. It is the only solution.