Uchaguzi huu October 2015, Ni Mahakama ya Kadhi V/S CCM. (Tutaona nani Mshindi).

Watanzania tuwe macho na huyu mtu anayeitwa MZIMU; Jina tu! ni shida tupu. Mzimu hauwezi kukaa na watu ndiyo maana mambo yake yote anajitahidi kudanganya na kukuza taswira anayotumia yeye na sii uhalisia wa mambo. Mzimu huu umelala katika usingizi wa vyama kitu ambacho yeye anatumia kama kichaka kichake, kichaka hicho anakitumia kutekeleza matakwa ya mizimu wenzake waliomtuma kutuvuruga Watanzania. Sisi Watanzania tupo imara kuijenga nchi yetu inayoheshimu na kuzingatia misingi ya utu na udugu, uhuru, kujitegemea, haki, usawa, amani na utulivu, umoja na mshikamano katika nyanja zote za maisha kwa mustakabali wa nchi yetu na watu wake.

Unaogopa kivuli chako?. Soma alama za nyakati bibie! Wenye akili na wenye macho wameshajua nini kitafanyika October, 2015. Beauty with Brain dada!

Watanzania Zero kama wewe tu ndio watakuelewa.

Until the philosophy which hold one race superior
And another
Inferior
Is finally
And permanently
Discredited
And abandoned -
Everywhere is war -
Me say war.

That until there is no longer
First class and second class citizens of any nation
Until the colour of a man's skin
Is of no more significance than the colour of his eyes -
Me say war.

That until the basic human rights
Are equally guaranteed to all,
Without regard to race -
Dis a war.

That until that day
The dream of lasting peace,
World citizenship
Rule of international morality
Will remain in but a fleeting illusion to be pursued,
But never attained -
Now everywhere is war - war.

And until the ignoble and unhappy regimes
that hold our brothers in Angola,
In Mozambique,
In Segerea,
South Africa
Sub-human bondage
Have been toppled,
Utterly destroyed -
Well, everywhere is war -
Me say war.

War in the east,
War in the west,
War up north,
War down south -
War - war -
Rumours of war.
And until that day,
The African continent
Will not know peace,
We Africans will fight - we find it necessary -
And we know we shall win
As we are confident
In the victory

Of good over evil -
Good over evil, yeah!
Good over evil -
Good over evil, yeah!
Good over evil -
Good over evil, yeah!
 
Unaogopa kivuli chako?. Soma alama za nyakati bibie! Wenye akili na wenye macho wameshajua nini kitafanyika October, 2015. Beauty with Brain dada!

Watanzania Zero kama wewe tu ndio watakuelewa.

Until the philosophy which hold one race superior
And another
Inferior
Is finally
And permanently
Discredited
And abandoned -
Everywhere is war -
Me say war.

That until there no longer
First class and second class citizens of any nation
Until the colour of a man's skin
Is of no more significance than the colour of his eyes -
Me say war.

That until the basic human rights
Are equally guaranteed to all,
Without regard to race -
Dis a war.

That until that day
The dream of lasting peace,
World citizenship
Rule of international morality
Will remain in but a fleeting illusion to be pursued,
But never attained -
Now everywhere is war - war.

And until the ignoble and unhappy regimes
that hold our brothers in Angola,
In Mozambique,
South Africa
Sub-human bondage
Have been toppled,
Utterly destroyed -
Well, everywhere is war -
Me say war.

War in the east,
War in the west,
War up north,
War down south -
War - war -
Rumours of war.
And until that day,
The African continent
Will not know peace,
We Africans will fight - we find it necessary -
And we know we shall win
As we are confident
In the victory

Of good over evil -
Good over evil, yeah!
Good over evil -
Good over evil, yeah!
Good over evil -
Good over evil, yeah!
Umeishiwa hoja wewe ndo maana unaanza kuimba imba kama tuko kanisani eeenh?
 
Watoto wa Mama hawawezi kuelewa hayo maneno na wala hawajua nani aliyasema. Maneno ambayo hadi leo ukweli wake unaonekana.

..............That until that day
The dream of lasting peace,
World citizenship
Rule of international morality
Will remain in but a fleeting illusion to be pursued,
But never attained -
Now everywhere is war - war....................
 
You are abnormal!
 
Unawaambia wenzio kuwa watoto wa mama, wewe mbona unajitoa kati yao au wewe ni mtoto wa Jini? Tena jini mahaba?
 
Kila dini iachwe na kuamua mambo yake....mahakama ya kadhi tuwaachie waislamu wenyewe...mambo ya wakiristo tuwaachie wenyewe hatupaswi kuingiza masuala ya imani za.watu katika kuendesha nchi...big up jakaya kikwete...
 
Uwelewa wako huakuruhusu kuchangia hapa! Walengwa wa Mada hii wameshaelewa!
Walengwa ni akina nani? mada ikitupwa humu jamvini kila mshiriki wa jf ni mlengwa,
au unamaanisha akina X-PASTA waliotajwa jana humu kwenye uzi fulani jana? ebu funguka mkuu.
 
Walengwa ni akina nani? mada ikitupwa humu jamvini kila mshiriki wa jf ni mlengwa, au unamaanisha akina X-PASTA waliotajwa jana humu kwenye uzi fulani jana? ebu funguka mkuu.
Watu wenye Uwelewa makini. Sio wale wasio elewa hata maana ya Msemo Mtoto wa Mama katika lugha yetu ya Kiswahili.
 
Kila dini iachwe na kuamua mambo yake....mahakama ya kadhi tuwaachie waislamu wenyewe...mambo ya wakiristo tuwaachie wenyewe hatupaswi kuingiza masuala ya imani za.watu katika kuendesha nchi...big up jakaya kikwete...
Kwani Waislamu wame wazuia nyinyi kupewa Misaada na Serekali kwa Mgongo wa MEMORUNDUM OF UNDERSTANDING?. Nyoyo zenu zimejaaa Udini na Ubaguzi Mnajidai Masuala ya Dini tuwa waachie wenyewe! Kiwete huyu mnae msifia leo, mlisambazia nyaraka Makanisani asichaguliwa kwa Sababu Muislamu eti leo kawa Mzuri kwenu???
 
Mzimu wewe ni mropokaji na akili yako imejaa hadaa kwa masuala ya muhimu. Wenye kuchangia humu ni watu wenye akili zao. Hakika nimetambua kuwa wewe ni mchonganishi na mbaguzi. Acha na koma kama ulivyokoma kutambaa kama mtoto mdogo kuwachonganisha Watanzania kwa maslahi yako binafsi na anayekutuma kutuvuruga kwa matamshi yako yasiyo ya busara na wala hayana hekima machoni pa watu na mbele ya Mungu. Dini inatuhusu nini?
 
Katika nchi hii Wakristo ndio wadini. Waislamu wamekua wapole sana lakini sasa huenda ikawa imetosha. Kuna mambo mengi sana Waislamu katika nchi hii wanafanyiwa kwa mitazamo ya kidini.

1. Pamoja ya kua OIC ni jumia ya Maaendeleo duniani na nchi nyingi zenye wakristo wengi zimejiunga ili kufaidika na jumia hiyo kama vile Uganda, Mozambique na Russia, Tanzania imeshindwa kujiunga kwa sababu ya Shinikizo la Kanisa kwa Serekali kutokujiunga kwa sababu tu OIC ni jumia ya Kiislamu.

2. Nchi nyingi Duniani kwa sasa zinajumisha sheria za Mahakama za Kadhi katika Sheria za nchi zao hasa kutoka na Ukweli kua ni Dini ya Kiislamu Peke yake yenye Mfumo wa Kisheria za Kimahakama na Mfumo mzima wa Maisha tofauti na dini nyingine. Nchi kama Uganda, Kenya na U.K wanasheria za Kiislamu kwa Mujibu wa Katiba zao au Common laws kwa U.K. Hilo kwa Tanzania Wakirsto wote bila kujali itakadi za vyama vyao wamekua wakipambana hadharani kuishinikiza serekali na Rais Kikwete kuzuia hilo ingawa Sheria hizo hazita wahukumu wasio Waislamu.

Jitihada hizo zilianza kuanzia tume ya Jaji Joseph Warioba ambae kwa Makusudi kabisa waliamua kutupilia mbali maoni ya Waislamu Kuhusu Mahakama ya Kadhi pamoja na Taasisi nyingi za kiislamu kudai hivyo kwa Maneno na Maandishi na Kusikilizwa na Tume hiyo kama Taasisi Pale Karimjee Hall. Matokeo yake wakachukua Mawazao ya wale Wasiohukumiwa na Mahakama hiyo na kuyaacha ya Wale ambao ndio wanao hukumiwa na Mahakama hiyo.

Hicho kitendo kilifanywa kwa Makusudi na nadharau ya Dhahiri kwa Waislamu wa Nchi hii.

Hadaa hizo ziliendelea hadi katika Bunge Maalum la katiba ambapo tuliona juhudi za Makusudi za Wabunge wakirsto wakitoa mapovu kuzuia Mahakama ambayo haitawahukumu, sio Wakristo tu hata Waislamu hawata lazimishwa kuhukumiwa na Mahakama hiyo ila wale watao ona wanawajibika kwa mujibu wa dini yao kuhukumiwa kwa sheria za dini yao.

3. Ulimwenguni kote, Sensa hufanywa na pia huzingatia Makundi ya kijamii ilikuweza kupata utawala bora. Nchi nyingi zimefanya hivyo na hata umoja wa mataifa una takwimu hizo. Ila kwa Tanzania, kwa mara nyingine tena Makanisa yameshinikiza kua sensa isijue Waislamu na Wakristo hapa nchini wapo wangapi sijui ni kwa nia gani hasa. Hii ni hasa kutoka na uchachukuaji wa Matokeo ya Mwaka 1967 chini ya Raisi Julius Kambarage Nyerere ambayo ilichakachua matokeo kutoka Waislamu silimia 58 Kwa Mujibu wa Sensa iliokua imefanywa na Wakoloni wa Kiingereza Mwaka 1957 hadi wakristo kuwazidi waislamu kwa idadi. Jumuia za kimataifa zilipo hoji kumetokea ni kwa Waislamu wa Tanzania. Serekali ikafuta kipengele cha kuuliza dini kwa sensa zote zilizofuata. Eti huyo alikua Baba wa Taifa. Baba aliepanda Mbegu ya Udini na Kuwasaliti waislamu waliomlea na kumuweka mbele katika harakati za Kudani uhuru. Rejea Kitabu cha DR. John C. Sivaloni. Siasa Tanzania na Kanisa Katoliki.

Hili jambo lipo wazi kabisa kwa kila binadamu wa kawaida mwenye kutumia akili za kawaida kabisa.

Acha hizo wewe nchii hii haina dini, epuka uchochezi humu ndani, kama hupendi amani ama ktk hii nchi uendehuko kwenye machafuko. Tuachie amani yetu bhana.
 
Jamani kila mara ninapoona watu wanaharibu maana na mantiki ya kitu huwa sipendi kukaa kimya. Wewe unayejiita "MZIMU" acha tabia ya ududu dudu. Huu upotoshaji umeutoa wapi? Tabia ya MZIMU ni kuharibu, kwahiyo nawe umekuja kuharibu siyo? acha tabia zako hizo za kibaguzi, hayo makundi unayoyaainisha ni ya mwelekeo wa uchochezi na wala hayana tija kwa taifa letu.

Tujenge taifa letu acha kuleta mambo yako hapa. Ubaguzi huo baki nao mwenyewe huko huko! Tanzania hatujazoea ubaguzi ndiyo maana Katiba Inayopendekezwa inaainisha kuwa "urithi tulioachiwa na Waasisi wa Taifa letu wa kujenga nchi yenye umoja wa watu wake ambao hawabaguani kwa misingi ya ukabila, dini, rangi, jinsi, ulemavu au ubaguzi wa aina nyingine yoyote".

Ndiyo maana Baba wa Taifa Mwl. Julius K. Nyerere aliwahi kusema "Msituingize kwenye karne ya 21 tukiwa kwenye basi la Udini, Dini inatusu nini sisi? Hebu acheni huo upumbavu na ni hatari kwa mustakabali wa taifa letu".

Kwa Busara yake muasisi wa taifa hili aliliona hilo, leo hii wewe kwa ujinga wako uturudishe huko? ACHA TABIA ZA KIMIZIMU MIZIMU. Kamwe tabia hii siyo ya kufumbiwa macho na kila Mtanzania anayependa nchi yake kwa manufaa ya sasa na ya vizazi vijavyo.
 
Kichwa chako kinaweza kua hakijaelewa lakini naamini nafsi yako imeelewa. Natoa maelezo hayo kwa ufasaha kabisa. Ila sio jukumu langu kukulazimisha kuelewa ila ni jikumu langu kuwaeleza watu na kuwakumbusha badala ya kukimbilia matusi na Vitisho.

Kwetu sisi Waislamu, Mkristo wa Leo ndio Muislamu wa Kesho. Hivyo sio kila Mkristo au Mpagani ni Adui wa Uislamu. Adui yetu ni Mtu yoyote awe anjiita Muislamu au Mkristo au Mpagani ambae anachuki na Waislamu na Uislamu kwa kukataza Mambo machafu na kulingania Mambo Mema.
 
Kichwa chako kinaweza kua hakija elewa. Lakini naamini nafsi yako imeelewa. Natoa maelezo hayo kwa ufasaha kabisa. Ila sio jukumu langu kukulazimisha kuelewa ila ni jikumu langu kuwaeleza watu na kuwakumbusha badala ya kukimbilia matusi na Vitisho.

Kwetu sisi Waislamu, Mkristo wa Leo ndio Muislamu wa Kesho. Hivyo sio kila Mkristo au Mpagani ni Adui wa Uislamu. Adui yetu ni Mtu yoyote awe anjiita Muislamu au Mkristo au Mpagani ambae anachuki na Waislamu na Uislamu kwa kukataza Mambo machafu na kulingania Mambo Mema.

Kampeni yako ya kutafuta waumini siyo suala la kitaifa. Hilo ni lako na dini yako Inatuhusu nini? Peleka maombi yako na kampeni yako waliko unaowatafuata usichezee amani yetu kwa chokochoko zako za kibaguzi kwa kisingizi hicho cha kutafuta waumini. Ndiyo maana Katiba Inayopendekezwa inaelekeza kuhusu Uhuru wa imani ya dini katika Ibara ya 41- (3) kuwa "Shughuli ya uendeshaji wa jumuiya za dini itakuwa nje ya shughuli za mamlaka ya Serikali."

Wenye kuona mbali kama mwasisi wa taifa Baba wa Taifa Mwl. Julius K. Nyerere Ndiyo maana aliwahi kusema "Msituingize kwenye karne ya 21 tukiwa kwenye basi la Udini, Dini inatusu nini sisi? Hebu acheni huo upumbavu na ni hatari kwa mustakabali wa taifa letu".

Acha hiyo tabia ya kiubaguzi.
 
Jamani kila mara ninapoona watu wanaharibu maana na mantiki ya kitu huwa sipendi kukaa kimya. Wewe unayejiita "MZIMU" acha tabia ya ududu dudu. Huu upotoshaji umeutoa wapi? Tabia ya MZIMU ni kuharibu, kwahiyo nawe umekuja kuharibu siyo? acha tabia zako hizo za kibaguzi, hayo makundi unayoyaainisha ni ya mwelekeo wa uchochezi na wala hayana tija kwa taifa letu.

Tujenge taifa letu acha kuleta mambo yako hapa. Ubaguzi huo baki nao mwenyewe huko huko! Tanzania hatujazoea ubaguzi ndiyo maana Katiba Inayopendekezwa inaainisha kuwa "urithi tulioachiwa na Waasisi wa Taifa letu wa kujenga nchi yenye umoja wa watu wake ambao hawabaguani kwa misingi ya ukabila, dini, rangi, jinsi, ulemavu au ubaguzi wa aina nyingine yoyote".

Ndiyo maana Baba wa Taifa Mwl. Julius K. Nyerere aliwahi kusema "Msituingize kwenye karne ya 21 tukiwa kwenye basi la Udini, Dini inatusu nini sisi? Hebu acheni huo upumbavu na ni hatari kwa mustakabali wa taifa letu".

Kwa Busara yake muasisi wa taifa hili aliliona hilo, leo hii wewe kwa ujinga wako uturudishe huko? ACHA TABIA ZA KIMIZIMU MIZIMU. Kamwe tabia hii siyo ya kufumbiwa macho na kila Mtanzania anayependa nchi yake kwa manufaa ya sasa na ya vizazi vijavyo.

Kampeni yako ya kutafuta waumini siyo suala la kitaifa. Hilo ni lako na dini yako Inatuhusu nini? Peleka maombi yako na kampeni yako waliko unaowatafuata usichezee amani yetu kwa chokochoko zako za kibaguzi kwa kisingizi hicho cha kutafuta waumini. Ndiyo maana Katiba Inayopendekezwa inaelekeza kuhusu Uhuru wa imani ya dini katika Ibara ya 41- (3) kuwa "Shughuli ya uendeshaji wa jumuiya za dini itakuwa nje ya shughuli za mamlaka ya Serikali."

Wenye kuona mbali kama mwasisi wa taifa Baba wa Taifa Mwl. Julius K. Nyerere Ndiyo maana aliwahi kusema "Msituingize kwenye karne ya 21 tukiwa kwenye basi la Udini, Dini inatusu nini sisi? Hebu acheni huo upumbavu na ni hatari kwa mustakabali wa taifa letu".

Acha hiyo tabia ya kiubaguzi.

Maelezo yangu yapo fasaha sana kwa kila mtu mwenye akili timamu. Ni Maelezo yenye ushahidi wa Matukio. Kwa mtu mwenye OPEN MIND hata awe Mkristo atakua ameniaelewa. Sio kila Mpuuzi anaweza kueleewa nini nimeongelea.

Mapovu yanayowatoka ni dalili kua yanawachoma Moyo. Naongea kwa hoja sio Chuki kama nyinyi. Open up your Mind. It is the only solution.
 
MZIMU, Unafikiri ukiongea vumbi utajua kama umeongea vumbi kama mtu mwingine hajakuambia? Ni wajibu wangu kukujulisha kuwa unatuletea Watanzania tabia ambazo siyo zetu, tabia za kubaguana kwa dini! Usijipe majibu kuwa Wakristu wamekuelewa, wanaojali utaifa nakuchukia ubaguzi tunakushangaa maana mada yako siku zote ni kutafuta chokochoko za udini. Tanzania hatujazoea tabia hizo. Narudia tena ACHA TABIA YA KUTUPELEKA KWENYE KUBAGUANA, Mzimu kama wewe ni Mtanzania maana inawezekana wewe ni pandikizi kutuletea mbegu yako hiyo ya ubaguzi. Watanzania hatuna tabia ya kubaguana kwa dini, tumezoea kukaa na kushirikiana kwa pamoja kwa udugu wetu. Kama umetumwa kamwambie aliyekutuma Watanzania hawadanganyiki.
 
Out of Points. Unachukulia rahisi mambo muhimu. Think big.
 
Mbinafsi na mbaguzi wewe. Taifa kwanza, Kazi ya dini iache ifanywe maeneo ya kuabudia. Ukiambiwa ukweli unajidai out of points. Kama umetumwa kamwambie aliyekutuma Watanzania hawadanganyiki maana unaweza kuwa pandikizi kutuvuruga Watanzania. Koma kabisa.
 
Back
Top Bottom