Uchaguzi huu October 2015, Ni Mahakama ya Kadhi V/S CCM. (Tutaona nani Mshindi).

Ndugu kauli yako siyo nzuri kwa mustakabali wa amani ya taifa letu, inavyoonekana unapenda machafuko na umwagaji wa damu. Hivi unafikiri yakitokea machafuko utaishi kwa amani na familia yako. Mbona Mahakama ya Kadhi haikuwepo tangu tulipopata uhuru tumeweza kuishi kwa amani iweje sasa wewe na baadhi ya watu mnatumia nguvu ipitishwe? Mna ajenda gani kama siyo kuleta vurugu za kidini ambazo tunazisikia tu katika mataifa mengine? Hebu acheni mambo yasiyofaa ndugu.
 
1. Wapi Allah kasema kuwa Waislam watumie Mahakama ya Kadhi?
2. Wapi kwenye Quran panasema na au toa Wadhifa wa nani awe hakimu/kadhi?
3. Je, Sunni na Shia watatumia Mahakama hiyo hiyo na hakimu wa Shia atatoa hukumu kwa Sunni?
4. Kwanini Wanawake wa Kiislam hawaruhusiwi kuwa Mahakimu wa hizo Mahakama?

Hv kweli muislam unaongea hvyo din inasema muongozo wetu uwe quraan kisheria ndo maana kuna mahakama ya kadh ambayo mahakama iyo sheria zake znatoka kwenye quraan din inasema tufuaten sheria za din mpka kwenye ukumu zetu tutaongozwa na quraan il waislam wakutane eneo ambalo haki itafanyika paitwaje ndo mahakama ya kadh shekhe wng kama ujui usiongee bna nyamaza tu unaleta mambo ya shia na sunni unajua yalipo anzia wale wote wanafuata sheria za quraan acha kupotosha watu
 
Kama aujasoma n ww wapo wanasheria wa kiislam na wana degree za sheria ya kiislam hv unavyofikir turkey, saudi , yemen , watu wakienda kusoma unajua wanaenda kusoma nn kule shekhe wng quraan aijaacha kitu unataka mwanamke awe hakimu hv ww unaweza kuniambia nafas ya mwanamke ktk din ya kiislam halaf tambua mwanamke katokea ubavun kwa mwanaume kwahyo atabak kua chin ya mwanaume nenda ukasome ww hujui kitu
 
Hv kweli muislam unaongea hvyo din inasema muongozo wetu uwe quraan kisheria ndo maana kuna mahakama ya kadh ambayo mahakama iyo sheria zake znatoka kwenye quraan din inasema tufuaten sheria za din mpka kwenye ukumu zetu tutaongozwa na quraan il waislam wakutane eneo ambalo haki itafanyika paitwaje ndo mahakama ya kadh shekhe wng kama ujui usiongee bna nyamaza tu unaleta mambo ya shia na sunni unajua yalipo anzia wale wote wanafuata sheria za quraan acha kupotosha watu

Mkuu utaumiza kichwa sana na huyo mie nimeyaona maswali yake na nikapima uelewa wake katika uislam anatumia kifua sana na si elimu na ilhali uislam husomwa kwa ufupi sikumjibu kwa nasibiana na kauli Imam SHAAFIH isemayo "MIONGONI MWA MAAFA YA ILMU NI KUIZUNGUMZA KWA WASIOKUWA AHALI WAKE
 
Kwa hiyo Mahakama ya Kadhi ni Chama siku hizi? Itapambana vipi na CCM?Sijaelewa heading yako mleta mada

HATA SIYO CHAMA WE SOMA HAPA CHINI UTAIELEWA TU.

MAHAKAMA YA KADHI NI HATUA YA AWALI KATIKA KUIFANYA TANZANIA KUWA TAIFA LA KIISLAM

Mahakama ya Kadhi ni nini?
Mahakama ya kadhi ni chombo cha kiislam kwa ajili ya kufanya mashauri ya ndoa , mirathi na mambo ya kidini kwa kutumia Sharia.

Sharia ni nini?
Sharia ni mkusanyiko wa sheria za dini ya kiislam ambazo zinatokana na kitabu cha quran na tamaduni za kiislam kwa kufuata mafundisho na hadithi za Mtume Muhammad.

Mambo ya kidini yanayo hukumiwa na mahakama ya kadhi ni yapi?

Ni mambo yote yanayokwenda kinyume na tamaduni za kiislamu. Mfano Kula hadharani wakati wa mwezi, wa ramadhani, kuchinja kwa mtu ambaye siyo muislamu, kufanya biashara ya vileo, biashara ya nyumba za kulala wageni, biashara ya nguruwe, mavazi yasiyoendana na tamaduni za kiislam kwa maana hiyo ili uwe salama kwa swala la mavazi sharti uvae hijabu kwa wanawake, kanzu na kibaragashia kwa wanaume, msuri na visuruari vizivyogusa viatu.

Kwa nini waislam wanataka Mahakama ya kadhi iingizwe kwenye katiba ya nchi?

Waislam wanataka mahakama ya kadhi iingizwe kwenye katiba ya nchi ili itambulike kisheria na iwe na nguvu kama mahakama za kawaida za makosa ya jinai na hiyo iwe na mamlaka ya kuhukumu watu wote waislam, wakristu na hata wapagani limradi tu hawaishi kwa kufuata tamaduni za kiislam. Mfano mtu atakaye kutwa anakula hadharani wakati wa mwezi wa ramadhani sharia itachukuwa mkondo wake na hukumu iliyotawala kwenye sharia kwa mtu anayeishi kinyume na tamaduni za kiislam ni kuuwawa kwa kuchinywa na jukumu hilo liko kwa Makadhi.
Hivyo basi mahakama ya kadhi ikiingizwa kwenye katiba itakuwa na nguvu za kuhukumu mambo ya siasa, kijamii na makosa ya jinai kwa ujumla kwa raia wote na si kwa waislam peke.

Muundo wa mahakama ya kadhi

Mahakama ya kazi inafuata muundo wa mahakama za kawaida hivyo zinaanzia ngazi ya chini kabisa kwenye wilaya na hadi ngazi ya kitaifa na mahakimu wa mahakama za kadhi ni makadhi amboa wote ni waislam

Kazi za Makadhi

1.Kusikiliza mashauri na kuhukumu kwa kufuata sharia
2.Kuhakikisha anatokomeza ukristu katika eneo lake na uislam unatawala
3.Kuhakikisha hakuna kanisa linajengwa katika eneo lake na wala kanisa linapo bomoka halitaruhusiwa kukarabatiwa wala kujengwa tena. Kujenga kanisa ni kinyume na tamaduni za kiislam ndiyo maana utaona wameanza kuchoma makanisa huko Zanzibar na sehemu zingine za Afrika kama Nigeria.

Madhara ya Mahakama ya Kadhi

1.Kuvunjika kwa umoja wa kitaifa uliopo kati ya waislam, wakristu na wapagani
2.Ugomvi wa kimasrahi kati ya wakristu, wapagani na waislam. Endapo Mahakama ya kadhi itaingizwa kwenye katiba ya nchi ni wazi itagharamikiwa na serikali na hivyo viongozi wa dini ya kiislam ambao ndiyo watakuwa makadhi watatumia fedha za walipa kodi wa Tanzania ambao ni waislam, wakristu na wapangani kujinufaisha wenyewe kwa kujitengenezea ajira. Vipi kuhusu viongozi wa dini za wakristu Maaskofu, Mapadri, Wachungaji na Viongozi wa dini za Jadi nao watakuwa wanalipwa na Serikali?

3.Kutoweka kwa wakristu kutokana na utawala wa sharia, sababu hukumu iliyo tawala kwenye sharia ni kifo hivyo wakristu watauwawa kwa kuwa hawatakubali kuishi tamaduni za kiislam

4.Kuporomoka kwa uchumi wa nchi na kuongezeka kwa tatizo la ajira kwa mfano mashule ya wakristu au taasisi za kikristu zitachomwa kama ambavyo unaona yanatokea nchini Nigeria.

Viwanda vyote vya vileo vitafungwa, makumbi ya starehe yote yatafungwa. Ukiangalia uchumi wa Tanzania unategemea sana viwanda vya bia, Sigara nk. Sector hiyo ndiyo imeajiri watu wengi sana, anzia kwenye viwanda vyenyewe njoo kwenye mabaa, grosary na makumbi ya starehe

Imetolewa na kanisa................?
 
Uwelewa wako huakuruhusu kuchangia hapa! Walengwa wa Mada hii wameshaelewa![/QUOTE

SASA WEWE USIYEJUA SOMA HAPA WENZIO WATOA DATA HIZI MAHAKAMA YA KADHI - HAIKUBALIKI

4.Kuporomoka kwa uchumi wa nchi na kuongezeka kwa tatizo la ajira kwa mfano mashule ya wakristu au taasisi za kikristu zitachomwa kama ambavyo unaona yanatokea nchini Nigeria. Viwanda vyote vya vileo vitafungwa, makumbi ya starehe yote yatafungwa. Ukiangalia uchumi wa Tanzania unategemea sana viwanda vya bia, Sigara nk. Sector hiyo ndiyo imeajiri watu wengi sana, anzia kwenye viwanda vyenyewe njoo kwenye mabaa, grosary na makumbi ya starehe
[/COLOR]
 
Imetolewa na kanisa................?

O INAONYESHA UMEELEWA ENDELEA KUFUATILIA YALIYOJIFICHA NYUMA YA HIYO KITU NDIO MAANA WANAG'ANG'ANA KUVUNJA KATIBA HALI WAKIJUA IKIINGIA TU WATAPATA NGUVU YA KATIBA WAENDE SOMALIA!katiba inayopendekezwa hakuna hayo mambo IBARA YA 41 PIGA KURA YA NDIYOOOOOOO MALUMBANO YA KIDINI KWISHNEY
 
Mkuu we ni team Gwajima ee?
 
Hv kweli muislam unaongea hvyo din inasema muongozo wetu uwe quraan kisheria ndo maana kuna mahakama ya kadh ambayo mahakama iyo sheria zake znatoka kwenye quraan din inasema tufuaten sheria za din mpka kwenye ukumu zetu tutaongozwa na quraan il waislam wakutane eneo ambalo haki itafanyika paitwaje ndo mahakama ya kadh shekhe wng kama ujui usiongee bna nyamaza tu unaleta mambo ya shia na sunni unajua yalipo anzia wale wote wanafuata sheria za quraan acha kupotosha watu
1. Wapi Allah kasema kuwa Waislam watumie Mahakama ya Kadhi?
2. Wapi kwenye Quran panasema na au toa Wadhifa wa nani awe hakimu/kadhi?
3. Je, Sunni na Shia watatumia Mahakama hiyo hiyo na hakimu wa Shia atatoa hukumu kwa Sunni?
4. Kwanini Wanawake wa Kiislam hawaruhusiwi kuwa Mahakimu wa hizo Mahakama?
 
1. Wapi Allah kasema kuwa Waislam watumie Mahakama ya Kadhi?
2. Wapi kwenye Quran panasema na au toa Wadhifa wa nani awe hakimu/kadhi?
3. Je, Sunni na Shia watatumia Mahakama hiyo hiyo na hakimu wa Shia atatoa hukumu kwa Sunni?
4. Kwanini Wanawake wa Kiislam hawaruhusiwi kuwa Mahakimu wa hizo Mahakama?
Safi sana Ishmael, endelea kumpa huyo evidences za hiyo Kadhi wanayoing'ang'ania, Mpe huyo vidonge Ishmael ili akuelewe maana anataka kuleta udini humu.
 
Kwa mawazo yangu mimi ningewaacha waislam waweke mahakama hizo na hukumu zote ziwe za kiislam mpaka za jinai mana wahalaifu wa kiislama wangepungua kwa woga wa kukatwa vichwa.
Serikali ibaki kuwalinda wakristo watakaofuata sheria za kisekula.
Wengi wangekimbia uislam na kukimbilia kwenye usekula.
Kuna wanaodhani kuwa sheria za dini na hukumu zake ni nyepesi.
Kwa mkristo safi uislam sio tishio.Tishio ni ugaidi wanaofanya baadhi ya waislam kwani wanawaua hata wakristo wasio na hatia yoyote bila hata kufikishwa kwenye mahakama na kuwa na ushahidi mbele ya mahakama ya kadhi.
 
Naangalia TBC sasa hivi, Namuona Rais wa Nchi yetu akiongolea suala la kura kwa katiba Pendekezwa. Inaonekana Rais amelishwa maneno mengi ya Uongo kuhusu ukusunywaji wa Maoni ya Katiba hiyo.

Waislamu wote na Taasisi zake walitoa Maoni kuhusu Mahakama ya Kadhi, lakini Sio Jaji Joseph Warioba wala Kundi la Kina Endrew Chenge waliothamini maoni ya Waislamu hao.

Leo Rais ametuthibitishia kua Serekali haita anzisha Mahakama ya Kadhi wala haita igaramia. Jukumu hilo ni la Waislamu wenyewe.

Mimi nimemuelewa sana Muheshimiwa Rais kua, Nyie Waislamu tumewachezea vya kutosha, tumewatumia vya kutosha, tumetumia majina yakiislamu kwa maslahi yetu. Tumewazuga vya kutosha. Imekula kwenu mtajua wenyewe.

Huo ndio uliokua msimamo wa Serekali ya CCM tangu zamani, ila wanapo ona wamebanwa hukimbilia kwa Waislamu na Misikitini kama ilivyokua Uchaguzi wa 2010. Waislamu walikua wanaswali Msikiti Kichangani ni Mashuhuda ya hili ni nalo lisema. Pale Yule Sheikh Kijana Mweupe alipokua akisimama na ijumaa takribani tatu za Mwisho kabla ya Uchaguzi na kuwabadilsha Waislamu muelekeo. Kua tumchague mwenzetu. Je Sheikh Umemuona mwenzetu huyo na kundi lake?

Sheikh Jongo hili tulikwambia. Sasa umeyaona. Sasa tunasubiri yale uliyoyasema pale Msikiti wa Gadafi Dodoma.

Sasa Jukumu la Mahakama ya Kadhi lipo Mikononi mwa Waislamu wenyewe. Haya sasa Waislamu ni Mpambano kati ya Dunia na Akhera.

Kila nafsi itauonja Umati.

Hivi flyovers za kikwete pale ubungo na tazara ziliishia wapi? Hii katiba tupige kura ya Hapana
 
Back
Top Bottom