Dragunov Sniper
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,795
- 9
Tatizo hapa ni sawa na kujadiliana Mambo ya Uzazi na watoto wa Miaka Kumi. Ni shidaa. Sijui unajielezeaje. Nikiwapeleka kwenye Hoja, Mara wakimbilie Polisi, Mara watukane, Yaaani ni Shidaa!
Kwani humu JF hakuna watu wenye akili huru zaidi ya hivi Vitoto. Hawajui hata maana ya copy and paste. Wao wanakariri kila kitu. Kasuku type of Students.
Wakiambiwa Mungu ni Paka. Wanaimba paka wetu uje utuokoe. Oh! My God! THINK YOU FOOLS.
Mzimu unatakiwa kupimwa vinasaba kuona kama una element za ubinadamu au ni Zombi maana akili yako imepungua ndo maana unalialia kuomba msaada mazombi wenzio waje kukuokoa,tulia uzae wewe unapenda kurukia mambo yasiyokuhusu na term hii unazaa mapacha 6!
