Uchaguzi huu October 2015, Ni Mahakama ya Kadhi V/S CCM. (Tutaona nani Mshindi).

Ulishaambiwa kuwa unatafta umaarufu humu ndani, sasa bora ukaimbe taarabu kuliko kujifanya unajibu hoja humu kumbe ni matapishi tupu.

Uwelewa mdogo wa Mambo Muhimu na Umbumbumbu wa Kushabikia Mambo Usio ya Jua ndio tatizo kubwa hapa. Hamna hoja za kujadiliana na mimi. Hii thread sio ya Mipasho wala uwanja wa Matusi. Ila huo ndio upeo wenu. Kwa sababu hamna uwezo wa kujadili hoja. Huwezi kujadiliana na mimi kwa akili za vijiweni. Nahitaji sio walioenda shule tu, bali walioenda shule na kuelewa sio kufaulishwa kwa sababu ya Dini yao.

Fanyeni utafiti wa hoja zinazo tolewa ili muweze kua na majibu sahihi. Kua mkristo peke yake haitoshi kua ni hoja ya kukataa au kupingana na Mahakama ya Kadhi.
 
Wahenga walisema ukiwa ukiona mwenzio kanyolewa na weww tia maji,mimi nahisi hapa ni ushabiki tu usio na maana kwa mtanzania mwenye mapenzi mema na nchi hwezi kuifananisha sehemu muhimu ya inada na uchaguzi mkuu,mie nadhani Wewe Mzimu uwatake radhi waislamu wote kwa kuendelea kulifananisha suala hili na uchaguzi,tena unakosea sana omba radhi naomba uendelee kuheshimu kauli za viongozi wetu wa dini ambao ndio wasemaji wakuu katika hili na Kauli ya Rais wetu aliyekwisha kulitolea ufafanuzi suala hili!
 
Wewe mtoto shule yenyewe ulichemka ukaenda eti driving, unadhani nakusahau, usitake kuwadharau wenzio hapa ndani, Mzimu ulichemka form four tena ulipata Division 4 ya 32, hukuweza kuendelea na kidsto cha 5 ndo wenzio wakakushauri uende driving huko ndo ukasoma, sasa cjui hiyo elimu ya driving ndo unayojitapa nayo humu ndani au, hivi lile daladala la mzee ulishaanza kuendesha maan nadhani dhumuni la kusomea driving lilikuwa uwe dereva wa wa lile daladala lenu pale home.

Sasa umeshauriwa kutochanganya mada za mahakama ya kadhi, tena wewe ni muislam haswaaa nashangaa unaendeleza hiyo mada ya kadhi wakati katiba hii haijaweka kipengele hiko, na mmeshaambiwa na mkuu wa nchi kuwa kama mnataka basi mjigharamie wenyewe.
 
Usihusishe siasa na mahakama ya kadhi we ----- babat yenu

Hapa nahitaji watu wenye Upeo wa Kujadili mada hii. Soma hiyo mada hapo juu then toa hoja zako.

Kuna hoja nyingi zimefuatia hapo. Pinga hizo hoja au changia.

Waisalmu wametoa Maoni yao juu ya jambo linalo wahusu wao wenyewe na atakae taka. Wamedharauliwa. Wakiristo wametoa Maoni yoa juu ya jambo ambalo sio lao, wala haliwahusu kabisa, wamesikilizwa. Hapa ndio kuna shida. Kuna shida pia juu ya mambo mengi yenye utata ambayo Waislamu wamekua wakiyapigia kelele na yenye Ushahidi. Nyote mnajua walio ya ibua Waislamu juu NECTA na kufelisha Wanafunzi wa Kiislamu. Hilo halikua siri. Nyote Mnafahamu juu ya Suala SENSA. HIlo halikua Siri. Nyote Mnafahamu juu ya OIC. Hilo nalo sio Siri. Nyote Mnafahamu juu ya Memorundum of Understanding. Nalo hilo pia sio Siri. Nyote Mnafahamu juu ya Madai ya Waislamu juu ya BAKWATA hilo nalo sio Siri. Nyote Mnafahamu kupigwa Risasi Sheikh Ponda na Askari na Kuwekwa Gerezani Hilo nalo pia sio Siri. Nyote Mnafahamu Juu ya Mauaji ya Mwembe Chai. Hilo nalo Pia sio Siri. Sio siri pia kua Uchaguzi wa 2010 Kulisambazwa nyaraka Mbalimbali Makanisani juu ya Kutomchagua Rais huyu huyu ambae Baadae juhudi zikahamia misikitini kumuoka. Hilo pia sio Jambo la siri. Au hamjui. Nyote Mnafahamu juu. Suala la Mahakama ya Kadhi haliwahusu wakirsto, juu ya nini kupambana na Waislamu juu ya Jambo la imani yao.

Ok. Mtu mwenye Hoja za kupinga au Kuchangia twende kazi sasa. Lengo liwe kuelemisha na Kuelewa. Kua Mkristo peke yake sio Hoja ya Kupinga Mambo ya Kiisalamu.

Kinjekitile Junior, Ufanuzi wa Rais haukua Sahihi hasa ukizingatia kua Yeye Kama Mwenyekiti wa CCM ndio waliowahadaa Waislamu hawahawa katika ilani yao ya Uchaguzi Mwaka 2005 kua tukiwachagua wataweka Mahakama za Kadhi kwa Ajili ya Waumini wa Kiislamu ambao wangependa kuhukumiwa na Mahakama hizo. Lakini Rais hakutoa ufafanuzi kwanini hawajatekeleza ilani hiyo.
 
Wewe katafute Wajinga wenzako ujadiliane nao.
 
Wewe umelipwa na shehe Ponda uje kuchafua hali ya hew hapa,utawasingiziaje waislaam kuwa Rais kawahadaa waislamu,usilete dharau suala la mahakama ya kadhi ni Imani sasa iweje mtu mmoja audanganye umma kwani akili hakuna huo wote ni uongo mtupu unaousema kama umeishiwa hoja useme!Waislamu kwa wingi na ummoja uliopo sio watu wa kuburuzwa kama unavyowaza mimi nilimsikia rais akiongea vizuri na viongozi wa dini akaliweka sawa na viongozi wakuu wa dini yetu tunayoipenda mbona hawkumgomea?wewe ni nani uhoji aliyosema rais wetu?wewe na BAKWATA nani mkubwa?

Mwl.Nyerere katika hotuba zake kama umemsikia kwa makini anakemea sana suala la dini kuingizwa kwenye uchaguzi mkuu ni kukosa adabu na kutokuelewa nchi inakwendaje huwezi ukachagua uongozi kwa misingi ya dini kisa ni mkristo tusimchague au kisa ni muisilamu tusimchagua daaa wewe mtu wa ajabu sana hata sikuelewi! Hivi wewe ni wawapi?ni mtanzania kweli unayeyasema haya au kuna ushawishi nyuma yako?? Usidanganyike na mambo yanayoweza kuligawa taifa,na kwa taarifa yako rais alichaguliwa na watu wa dini zote mpaka wapagani!!!! Na vivyo hivyo mwaka huu mwezi Oktoba wananchi tutatimiza haki yetu ya msingi bila kujali dini zetu,tunaangalia tumetoka wapi na tunakwenda wapi sote ni ndugu tunaishi Tanzania moja hatuweI kubaguana.

Suala la mahakama ya Kadhi haliwahusu wakristo una maana gani?wewe unaishi peke yako Tanzania?wakristo sio ndugu zako? Wewe mwenyewe unajua serikali yako haina dini na katiba inayoendesha nchi imesema hivyo sasa unapoilazimisha ikukubalie kuweka suala la imani yako kwenye sheria kuu ya nchi ambayo ni katiba huoni inakosea???unapotaka ikusaidie kuendesha suala lako la imani huoni unailazimisha wakati haitaki sawa na kuibaka?Mtu akikuambia pita hapo juu ya shimo na wewe ukajua kabisa lazima utatumbukia shimoni hata iweje si utamsikia na hutapita shimoni? Sasa ukipita wakati unajua na ukapata madhara utamlaumu nani?sisi wenyewe tujitafakari kwa kutumika na kukubali hata kwenye mambo yasiyowezekana!
 
Wewe nawe pia katafute Mbumbumbu wenzako ujadiliane nao. Jadili kwa hoja sio kuleta habari za kitoto hapa. Soma nilicho andika jadili, changia au uliza. Nani kakambiwa alichosema Rais hakijadiliwi. Pum..vu.
 
Kamanda umesomeka toa elimu akuelewe afu na sisi tuelewe maana bado kuna utata kuhusu jambo hilo maana masuala ya dini ni sheedah!

Mkuu nakushukuru kwa hoja yako. Sasa Mambo yapo Mengi, labda tuende kwa Mtindo wa Maswali na Majibu. Unaweza kuniuliza au kuuliza Juu ya jambo lolote kuhusu Uislamu na Madai ya Waislamu katika Serekali hii.

Mimi labda nianze kwa kuuliza. Nini uwelewa wako juu Ya Uislamu na Mahakama ya Kadhi?
 
Tusiyafanye tofauti na ukweli.

Mkuu karibu utupe Mchango wako! Upo huru kuchangia chochote kuhusiana na Mada ila kwa hoja! Hata alichosema Rais tunao uhuru wa kikatiba kukijadili. Maana katiba haijasema kua anacho sema Rais ni Maneno ya Mungu.
 
Katiba hii ni ndiyo tuuuuuuuuuuuuu hata kama ukichukia itapita tuuuuuuuuuuuuuu.
 
Mkuu nakushukuru kwa hoja yako. Sasa Mambo yapo Mengi, labda tuende kwa Mtindo wa Maswali na Majibu. Unaweza kuniuliza au kuuliza Juu ya jambo lolote kuhusu Uislamu na Madai ya Waislamu katika Serekali hii.

Mimi labda nianze kwa kuuliza. Nini uwelewa wako juu Ya Uislamu na Mahakama ya Kadhi?

HII NDO NAYOIJUA MIMI NA WATANZANIA WENGINE.

MAHAKAMA YA KADHI NI HATUA YA AWALI KATIKA KUIFANYA TANZANIA KUWA TAIFA LA KIISLAM

Mahakama ya Kadhi ni nini?
Mahakama ya kadhi ni chombo cha kiislam kwa ajili ya kufanya mashauri ya ndoa , mirathi na mambo ya kidini kwa kutumia Sharia.

Sharia ni nini?
Sharia ni mkusanyiko wa sheria za dini ya kiislam ambazo zinatokana na kitabu cha quran na tamaduni za kiislam kwa kufuata mafundisho na hadithi za Mtume Muhammad.

Mambo ya kidini yanayo hukumiwa na mahakama ya kadhi ni yapi?

Ni mambo yote yanayokwenda kinyume na tamaduni za kiislamu. Mfano Kula hadharani wakati wa mwezi, wa ramadhani, kuchinja kwa mtu ambaye siyo muislamu, kufanya biashara ya vileo, biashara ya nyumba za kulala wageni, biashara ya nguruwe, mavazi yasiyoendana na tamaduni za kiislam kwa maana hiyo ili uwe salama kwa swala la mavazi sharti uvae hijabu kwa wanawake, kanzu na kibaragashia kwa wanaume, msuri na visuruari vizivyogusa viatu.

Kwa nini waislam wanataka Mahakama ya kadhi iingizwe kwenye katiba ya nchi?

Waislam wanataka mahakama ya kadhi iingizwe kwenye katiba ya nchi ili itambulike kisheria na iwe na nguvu kama mahakama za kawaida za makosa ya jinai na hiyo iwe na mamlaka ya kuhukumu watu wote waislam, wakristu na hata wapagani limradi tu hawaishi kwa kufuata tamaduni za kiislam. Mfano mtu atakaye kutwa anakula hadharani wakati wa mwezi wa ramadhani sharia itachukuwa mkondo wake na hukumu iliyotawala kwenye sharia kwa mtu anayeishi kinyume na tamaduni za kiislam ni kuuwawa kwa kuchinywa na jukumu hilo liko kwa Makadhi.
Hivyo basi mahakama ya kadhi ikiingizwa kwenye katiba itakuwa na nguvu za kuhukumu mambo ya siasa, kijamii na makosa ya jinai kwa ujumla kwa raia wote na si kwa waislam peke.

Muundo wa mahakama ya kadhi

Mahakama ya kazi inafuata muundo wa mahakama za kawaida hivyo zinaanzia ngazi ya chini kabisa kwenye wilaya na hadi ngazi ya kitaifa na mahakimu wa mahakama za kadhi ni makadhi amboa wote ni waislam

Kazi za Makadhi
1.Kusikiliza mashauri na kuhukumu kwa kufuata sharia
2.Kuhakikisha anatokomeza ukristu katika eneo lake na uislam unatawala
3.Kuhakikisha hakuna kanisa linajengwa katika eneo lake na wala kanisa linapo bomoka halitaruhusiwa kukarabatiwa wala kujengwa tena. Kujenga kanisa ni kinyume na tamaduni za kiislam ndiyo maana utaona wameanza kuchoma makanisa huko Zanzibar na sehemu zingine za Afrika kama Nigeria.

Madhara ya Mahakama ya Kadhi
1.Kuvunjika kwa umoja wa kitaifa uliopo kati ya waislam, wakristu na wapagani
2.Ugomvi wa kimasrahi kati ya wakristu, wapagani na waislam. Endapo Mahakama ya kadhi itaingizwa kwenye katiba ya nchi ni wazi itagharamikiwa na serikali na hivyo viongozi wa dini ya kiislam ambao ndiyo watakuwa makadhi watatumia fedha za walipa kodi wa Tanzania ambao ni waislam, wakristu na wapangani kujinufaisha wenyewe kwa kujitengenezea ajira. Vipi kuhusu viongozi wa dini za wakristu Maaskofu, Mapadri, Wachungaji na Viongozi wa dini za Jadi nao watakuwa wanalipwa na Serikali?
3.Kutoweka kwa wakristu kutokana na utawala wa sharia, sababu hukumu iliyo tawala kwenye sharia ni kifo hivyo wakristu watauwawa kwa kuwa hawatakubali kuishi tamaduni za kiislam
4.Kuporomoka kwa uchumi wa nchi na kuongezeka kwa tatizo la ajira kwa mfano mashule ya wakristu au taasisi za kikristu zitachomwa kama ambavyo unaona yanatokea nchini Nigeria. Viwanda vyote vya vileo vitafungwa, makumbi ya starehe yote yatafungwa. Ukiangalia uchumi wa Tanzania unategemea sana viwanda vya bia, Sigara nk. Sector hiyo ndiyo imeajiri watu wengi sana, anzia kwenye viwanda vyenyewe njoo kwenye mabaa, grosary na makumbi ya starehe.
 
BISMILAH RAHMAN RAHIM
Kwajina la Mwenyenzi Mungu Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu.

Bwana Dingswayo Original, nakushukuru sana kwa hoja zako. Kwanza kabisa ningependa ufahamu kua, Hoja zako zina Mchanganyiko wa Ukweli na Uongo. Yaani Propaganda. Lakini mimi nitakuweka sawa katika hilo. Hususani kutokana na ukweli kwamba, huwezi kujifunza Uislamu kutoka kwa Maadui wa Uislamu.

1. MAHAKAMA YA KADHI NI NINI?

Mahakama ya Kadhi kwa Ujumla wake, ni Mfumo wa Kimahakama unao tumia Sheria za Kiisalamu katika kuhukumu Mambo yote yanayo husu Maisha ya Muislamu.

Uislamu ndio dini pekee Duniani ambayo, inayo maelekezo na sheria zake kwa kila jambo linalo Muhusu Muislamu katika kuyaendea maisha yetu hapa duniani. Sheria ambazo lengo lake ni kutufanya tuishi kama binadamu tofauti na viumbe vingine. Pia tuweze kuishi kama jamii na kwa amani.

Maelekezo na Sheria zote za Kiislamu yanatokana na Qur-an na Mafundisho ya Mtume Muhamad (S.A.W).

Muislamu anaelekezwa kila jambo hata liwe dogo kiasi gani. Kwa mfano Uislamu una Muelekeza Muislamu anapotaka kula au Kunywa kinywaji basi atumie mkono wa kulia. Anapokua haja atumie Mkono wa Shoto. Anapo ingia Chooni aingie kwa Mguu wa Kulia na anapotoka chooni atoke kwa mguu wa kushoto. Na nini aseme kabla ya kula au kabla ya kuingi na kutoka chooni. etc.

Vile Uislamu unatoa Makatazo na Maonyo katika Mambo ambayo hayapaswi kufanywa katika jamii. Mfano Uislamu unakataza Mambo yafuaatayo.

1. Usijiue au kuua nafsi isio kua na hatia
2. Heshimu wazazi wako wawili.
3. Usiibe wala kudhulumu mali ya mwenzako
3. Usizini.
4. Usitumie vilevi vyovyote
5. Usitembee uchi
6. Mwanamume asivae mavazi ya kike wala kujifananisha na Mwanamke na Mwanamke asivae Mavazi ya Kiume wala kujifananisha na Mwanaume.
7. Usiwe Muongo wala kusambaza uongo au fitina.
8. Msile mali za mayatima
9. Msile Mizoga ya Wanyama.
10. Usiwe Mchawi au Mshirikina.
11. Mpende jirani yako
12. Msiuwe watoto au kutoa mimba kwa kuogopa Umasikini.
etc.

Mafundisho na Sheria za Kiislamu pia, zimetawala Mambo yote Muhimu yanayo Mhusu Mwanadamu hususan Muislamu katika Mambo ya Ndoa , Mirathi, Wakfu na Migogoro mbalimbali inayotokea katika jamii.

KWANINI WAISLAMU WANATAKA MAHAKAMA YA KADHI IINGIZWWE KWENYE KATIBA.

Kwanza lazima iweleweke kua, sio lengo la Mahakama ya Kadhi katika nchi ambazo sio Dola za Kiislamu kuhukumu makosa ya Jinai. Makosa ya jinai yatahukumiwa kwa mujibu wa Mifumo ya Kimahakama ya Nchi husika. Lengo na Dhumuni la Mahakama ya Kadhi katika nchi kama hizo, ni Kuhukumu mambo yote ya Kiislamu hususan yanayo husu Ndoa, Mirathi, Wakfu na Mikataba ya Kibiashara na kila jambo ambalo hukumu yake sio kwenda Gerezani bali kutafuta Radhi za Mwenyenzi Mungu katika kupata Muafaka wa jambo husika pale Waislamu wanapo tufautiana.

Sasa Swali ni kwamba kwanini Waislamu wanataka Mahakama ya Kadhi iingizwe kwenye Katiba?.

Sisi Waislamu tunataka Mahakama ya Kadhi iingizwe katika Katiba ili Maamuzi yake yawe na nguvu kisheria kwa yale Mambo yalioamuliwa na Mahakama hizo. Kwa mfano, Kama sula la Ndoa na Talaka, limefanyiwa Maamuzi na Mahakama ya kadhi kwa Mujibu ya Sheria za kiislamu, Asitokee Mtu Mwengine kubatilisha Maamuzi hayo katika Mahakama zisizo kua za Kiislamu.

Suala la Mirathi Mfano Mwengine, ni Suala linalo husu Umilikaji wa Mali na Kuhamisha Umilikaji huo kutoka mtu mmoja hadi mwengine. Suala kama hili huwezi kulifanya bila ya kua na nguvu za kisheria kwa Mujibu wa Katiba.

Yapo Mambo mengi tu, ila tuanze na hayo. Kwa Maana iliyo Rahisi, Mahakama yoyote isio tambuliwa na Katiba ni Mahakama za Kitoto. Na Maamuzi yake yoyote ni sawa na Maamuzi ya Watoto.

MUUNDO WA MAHAKAMA YA KADHI.

  • The Chief Kadhi
  • Deputy Chief Kadhi
  • Principal Kadhi
  • Senior Kadhi
  • Kadhi 1
  • and Kadhi 2

FAIDA ZA KUA NA MAHAKAMA ZA KADHI.

1. Uhuru wa Kuabudu kama katiba inavyotamka
2. Ustawi wa jamiii. Ustawi wa dini yoyote huwafanya wanachi wake kuwa wapole na Waelewa katika maelekezo yanatoka kwa viongozi wao. ( Mfano. Katika Mauji ya kimbari ya Rwanda na Burundi Waislamu na Viongozi wa Kiislamu hawakushiriki kabisa. Na kila aliekimbilia Msikitini alipokelewa bila kujali ni kutoka kabila gani au itikadi gani na kupewa hifadhi ya amani).
3. Kupunguza Migongono ya kifamilia ambayo maamuzi yake hayakushirikisha imani za kidini za watu husika.
4. Utulivu wa Nchi pale inapoonekana nchi ina heshimu mawazo ya raia wake.
5. Kupunguza Maovu yatokanayo na uwelewa mdogo wa raia juu ya zuri na baya.

PROPAGANDA ZA MAADUI WA UISLAMU

Maneno mengi ya Uongo na yenye lengo la kuuchafua na kuwachafua Waislamu na Uislamu yanasemwa na watu wasiokua na Uwelewa wa Kutosha juu ya Mahakama ya Kadhi kama ifuatavyo:-

1.Kuvunjika kwa umoja wa kitaifa uliopo kati ya waislam, wakristu na wapagani
2.Ugomvi wa kimasrahi kati ya wakristu, wapagani na waislam. Endapo Mahakama ya kadhi itaingizwa kwenye katiba ya nchi ni wazi itagharamikiwa na serikali na hivyo viongozi wa dini ya kiislam ambao ndiyo watakuwa makadhi watatumia fedha za walipa kodi wa Tanzania ambao ni waislam, wakristu na wapangani kujinufaisha wenyewe kwa kujitengenezea ajira. Vipi kuhusu viongozi wa dini za wakristu Maaskofu, Mapadri, Wachungaji na Viongozi wa dini za Jadi nao watakuwa wanalipwa na Serikali?
3.Kutoweka kwa wakristu kutokana na utawala wa sharia, sababu hukumu iliyo tawala kwenye sharia ni kifo hivyo wakristu watauwawa kwa kuwa hawatakubali kuishi tamaduni za kiislam
4.Kuporomoka kwa uchumi wa nchi na kuongezeka kwa tatizo la ajira kwa mfano mashule ya wakristu au taasisi za kikristu zitachomwa kama ambavyo unaona yanatokea nchini Nigeria. Viwanda vyote vya vileo vitafungwa, makumbi ya starehe yote yatafungwa. Ukiangalia uchumi wa Tanzania unategemea sana viwanda vya bia, Sigara nk. Sector hiyo ndiyo imeajiri watu wengi sana, anzia kwenye viwanda vyenyewe njoo kwenye mabaa, grosary na makumbi ya starehe.

Hayo yote ni Madai ya uongo na kufikirika. Yaani Mawazo Potofu. Kwa sababu Uislamu haumlazimishi mtu asie kua Muislamu kua Muislamu kwa Lazima. Na wala Mahakama ya Kadhi haita wahukumu wasiokua Waislamu ila kama watapenda Wenyewe kama ilivyo katika nchi za Uingereza na Kwengineko Ulaya kwa baadhi ya Wasiokua Waislamu kuomba Usuluhisho wa Mizozo yao katika Kadhi Courts.

1. Mahakama ya Kadhi itaimarisha Umoja wa Kitaifa badala ya kuuvunja kwani Mahakama hizo zilikuwepo kabla ya Uhuru na ni Waislamu walio waita Wakristo katika Harakati za kudai Uhuru bila kudai itikadi zao. Kwa Mfano katika Waasisi kumi na nne wa TANU, Mkristo alikua Mwalimu Nyerere peke yake na John Rupia. Mwalimu Nyerere alilikiri hilo kabla ya kifo chake.

2. Kukataa Mahakama ya Kadhi kugharamiwa na Serekali ni kutokua Mkomavu wa akili za kisiasa. Kiufupi Walipa kodi katika nchii hii sio Wakiristo peke yao. Na kama ni lazima Waislamu wanaweza kulipa kodi maalumu kwa ajili ya Mahakama za kadhi kama serekali ita wahakikishia Waislamu kua na kodi zao hazita tumika katika jambo jengine lolote la kidini hata lile la Memorundum of Understanding.

3. Mahakama ya Kadhi haita wahukumu wasiokua Waislamu. Hivyo hoja ya kutumia Sharia za Mahakama za Kadhi Kwa Wakristu hilo ni Jungu tu.

4. Kuporomoka kwa uchumi kwa Sababu ya Mahakama ya Kadhi hayo ni Mawazo ya Wendawazimu peke yao. Hata kama zitatumika sheria za kiislamu katika uchumi wa nchi, basi Mafanikio yatakua makubwa sana. Kama unavyo ona sasa kila benk imeanzisha Tawi la Benki ya Kiislamu kutokana na ubora wa Mipingo ya kiuchumi ya benki hizo. Wateja wake kila siku wanaongezeka na Hata wasio kua Waislamu wanajiunga na huduma hizo. Hivyo Msiongee jambo na kupotosha watu kwa sababu ya chuki zenu juu ya Ustawi wa Uislamu.

HITIMISHO

Kua Mkristo isiwe sababu ya Kupinga Mahakama ya Kadhi au Mambo yote yanayo husu Waislamu na Ustawi wa jamii kupitia imani ya Kiislamu kama vile OIC. Zipo nchi nyingi duniani zenye Wakisto wengi kuliko Waislamu lakini wanafaidika na huduma hizo kama Uingereza, Kenya, Uganda na Mozambique na Urusi kuhusu OIC. Tusiongozwe na chuki za kidini katika mambo yenye Maslahi kwa Dini nyingine.
 
BISMILAH RAHMAN RAHIM
Kwajina la Mwenyenzi Mungu Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu.

Bwana Dingswayo Original, nakushukuru sana kwa hoja zako. Kwanza kabisa ningependa ufahamu kua, Hoja zako zina Mchanganyiko wa Ukweli na Uongo. Yaani Propaganda. Lakini mimi nitakuweka sawa katika hilo. Hususani kutoka na ukweli kwamba, huwezi kujifunza Uislamu kutoka kwa Maadui wa Uislamu.

1. MAHAKAMA YA KADHI NI NINI?

Mahakama ya Kadhi kwa Ujumla wake, ni Mfumo wa Kimahakama unao tumia Sheria za Kiisalamu katika kuhukumu Mambo yote yanayo husu Maisha ya Muislamu.

Uislamu ndio dini pekee Duniani ambayo, inayo maelekezo na sheria zake kwa kila jambo linalo Muhusu Muislamu katika kuyaendea maisha yetu hapa duniani. Sheria ambazo lengo lake ni kutufanya tuishi kama binadamu tofauti na viumbe vingine. Pia tuweze kuishi kama jamii na kwa amani.

Maelekezo na Sheria zote za Kiislamu yanatokana na Qur-an na Mafundisho ya Mtume Muhamad (S.A.W).

Muislamu anaelekezwa kila jambo hata liwe dogo kiasi gani. Kwa mfano Uislamu una Muelekeza Muislamu anapotaka kula au Kunywa kinywaji basi atumie mkono wa kulia. Anapokua haja atumie Mkono wa Shoto. Anapo ingia Chooni aingie kwa Mguu wa Kulia na anapotoka chooni atoke kwa mguu wa kushoto. Na nini aseme kabla ya kula au kabla ya kuingi na kutoka chooni. etc.

Vile Uislamu unatoa Makatazo na Maonyo katika Mambo ambayo hayapaswi kufanywa katika jamii. Mfano Uislamu unakataza Mambo yafuaatayo.

1. Usijiue au kuua nafsi isio kua na hatia
2. Heshimu wazazi wako wawili
3. Usiibe wala kudhulumu mali ya mwenzako
3. Usizini.
4. Usitumie vilevi vyovyote
5. Usitembee uchi
6. Mwanamume asivae mavazi ya kike wala kujifananisha na Mwanamke na Mwanamke asivae Mavazi ya Kiume wala kujifananisha na Mwanaume.
7. Usiwe Muongo wala kusambaza uongo au fitina.
8. Msile mali za mayatima
9. Msile Mizoga ya Wanyama.
10. Usiwe Mchawi au Mshirikina.
11. Mpende jirani yako
12. Msiuwe watoto au kutoa mimba kwa kuogopa Umasikini.
etc.

Mafundisho na Sheria za Kiislamu pia, zimetawala Mambo yote Muhimu yanayo Mhusu Mwanadamu hususan Muislamu katika Mambo ya Ndoa , Mirathi, Wakfu na Migogoro mbalimbali inayotokea katika jamii.

KWANINI WAISLAMU WANATAKA MAHAKAMA YA KADHI IINGIZWWE KWENYE KATIBA.

Kwanza lazima iweleweke kua, sio lengo la Mahakama ya Kadhi katika nchi ambazo sio Dola za Kiislamu kuhukumu makosa ya Jinai. Makosa ya jinai yatahukumiwa kwa mujibu wa Mfumo wa Kimahakama wa Nchi husika. Lengo na Dhumuni la Mahakama ya Kadhi katika nchi kama hizo, ni Kuhukumu mambo yote ya Kiislamu hususan yanayo husu Ndoa, Mirathi, Wakfu na Mikataba ya Kibiashara na kila jambo ambalo hukumu yake sio kwenda Gerezani bali kutafuta Radhi za Mwenyenzi Mungu katika kupata Muafaka wa jambo husika pale Waislamu wanapo tufautiana.

Sasa Swali ni kwamba kwanini Waislamu wanataka Mahakama ya Kadhi iingizwe kwenye Katiba?.

Sisi Waislamu tunataka Mahakama ya Kadhi iingizwe katika Katiba ili Maamuzi yake yawe na nguvu kisheria kwa yale Mambo yalioamuliwa na Mahakama hizo. Kwa mfano, Kama sula la ndo na Talalaka, limefanyiwa Maamuzi na Mahakama ya kadhi kwa Mujibu ya Sheria za kiislamu, Asitokee Mtu Mwengine kubatilisha Maamuzi hayo katika Mahakama zisizo kua za Kiislamu.

Suala la Mirathi Mfano Mwengine, ni Suala linalo husu Umilikaji wa Mali na Kuhamisha Umilikaji huo kutoka mtu mmoja hadi mwengine. Suala kama hili huwezi kulifanya bila ya kua na nguvu za kisheria kwa Mujibu wa Katiba.

Yapo Mambo mengi tu, ila tuanze na hayo. Kwa Maana ilyo Rahisi, Mahakama yoyote isio tambuliwa na Katiba ni Mahakama za Kitoto. Na Maamuzi yake yoyote ni sawa na Maamuzi ya Watoto.

MUUNDO WA MAHAKAMA YA KADHI.

    • The Chief Kadhi
    • Deputy Chief Kadhi
    • Principal Kadhi
    • Senior Kadhi
    • Kadhi 1
    • and Kadhi 2

FAIDA ZA KUA NA MAHAKAMA ZA KADHI.

1. Uhuru wa Kuabudu kama katiba inavyotamka
2. Ustawi wa jamiii. Ustawi wa dini yoyote huwafanya wanachi wake kuwa wapole na Waelewa katika maelekezo yanatoka kwa viongozi wao. ( Mfano. Katika Mauji ya kimbari ya Rwanda na Burundi Waislamu na Viongozi wa Kiislamu hawakushiriki kabisa. Na kili aliekimbilia Msikitini alipokelewa bila kujali ni kutoka kabila gani au itikadi gani).
3. Kupunguza Migongono ya kifamilia ambayo maamuzi yake hayakushirikisha imani za kidini za watu husika.
4. Utulivu wa Nchi pale inapoonekana nchi ina heshimu mawazo ya raia wake.
5. Kupunguza Maovu yatokanayo na uwelewa mdogo wa raia juu ya zuri na baya.

PROPAGANDA ZA MAADUI WA UISLAMU

Maneno mengi ya Uongo na yenye lengo la kuuchafua na kuwachafua Waislamu na Uislamu yanasemwa na watu wasiokua na Uwelewa wa Kutosha juu ya Mahakama ya Kadhi kama ifuatavyo:-

1.Kuvunjika kwa umoja wa kitaifa uliopo kati ya waislam, wakristu na wapagani
2.Ugomvi wa kimasrahi kati ya wakristu, wapagani na waislam. Endapo Mahakama ya kadhi itaingizwa kwenye katiba ya nchi ni wazi itagharamikiwa na serikali na hivyo viongozi wa dini ya kiislam ambao ndiyo watakuwa makadhi watatumia fedha za walipa kodi wa Tanzania ambao ni waislam, wakristu na wapangani kujinufaisha wenyewe kwa kujitengenezea ajira. Vipi kuhusu viongozi wa dini za wakristu Maaskofu, Mapadri, Wachungaji na Viongozi wa dini za Jadi nao watakuwa wanalipwa na Serikali?
3.Kutoweka kwa wakristu kutokana na utawala wa sharia, sababu hukumu iliyo tawala kwenye sharia ni kifo hivyo wakristu watauwawa kwa kuwa hawatakubali kuishi tamaduni za kiislam
4.Kuporomoka kwa uchumi wa nchi na kuongezeka kwa tatizo la ajira kwa mfano mashule ya wakristu au taasisi za kikristu zitachomwa kama ambavyo unaona yanatokea nchini Nigeria. Viwanda vyote vya vileo vitafungwa, makumbi ya starehe yote yatafungwa. Ukiangalia uchumi wa Tanzania unategemea sana viwanda vya bia, Sigara nk. Sector hiyo ndiyo imeajiri watu wengi sana, anzia kwenye viwanda vyenyewe njoo kwenye mabaa, grosary na makumbi ya starehe.

Hayo yote ni Madai ya uongo na kufikirika. Yaani Mawazo Potofu. Kwa sababu Uislamu haumlazimishi mtu asie kua Muislamu kua Muislamu kwa Lazima. Na wala Mahakama ya Kadhi haita wahukumu wasiokua Waislamu ila kama watapenda Wenyewe kama ilivyo katika nchi za Uingereza na Kwengineko Ulaya kwa baadhi ya Wasiokua Waislamu kuomba Usuluhisho wa Mizozo yao katika Kadhi Courts.

1. Mahakama ya Kadhi itaimarisha Umoja wa Kitaifa badala ya kuuvunja kwani Mahakama hizo zilikuwepo kabla ya Uhuru na ni Waislamu walio waita Wakristo katika Harakati za kudai Uhuru bila kudai itikadi zao. Kwa Mfano katika Waasisi kumi na nne wa TANU, Mkristo alikua Mwalimu Nyerere peke yake na John Rupia. Mwalimu Nyerere alilikiri hilo kabla ya kifo chake.

2. Kukataa Mahakama ya Kadhi kugharamiwa na Serekali ni kutokua Mkomavu wa akili za kisiasa. Kiufupi Walipa kodi katika nchii hii sio Wakiristo peke yao. Na kama ni lazima Waislamu wanaweza kulipa kodi maalumu kwa ajili ya Mahakama za kadhi kama serekali ita wahakikishia Waislamu kua na kodi zao hazita tumika katika jambo jengine lolote la kidini hata Memorundum o f Understanding.

3. Mahakama ya Kadhi haita wahukumu wasiokua Waislamu. Hivyo hoja ya kutumia Sharia za Kwa Wakristu hilo ni Jungu tu.

4. Kuporomoka kwa uchumi kwa Sababu ya Mahakama ya Kadhi hayo ni Mawazo ya Wendawazimu peke yao. Hata kama zitatumika sheria za kiislamu katika uchumi wa nchi, basi Mafanikio yatakua makubwa sana. Kama unavyo ona sasa kila benk imeanzisha Tawi la Benki ya Kiislamu kutoka na ubora wa Mipingo ya kiuchumi ya benki hizo. Wateja wake kila siku wanaongezeka na Hata wasio kua Waislamu wanajiunga na huduma hizo. Hivyo Msionge jambo na kupotosha watu kwa sababu ya chuki zenu juu ya Ustawi wa Uislamu.

HITIMISHO

Kua Mkristo sio isiwe sababu ya Kupinga Mahakama ya Kadhi au Mambo yote yanayo husu Ustawi wa jamii kupitia imani ya Kiislamu kama vile OIC. Zipo nchi nyingi duniani zenye Wakisto wengi kuliko Waislamu lakini wanafaidika na huduma hizo kama Uingereza, Kenya, Uganda na Mozambique na Urusi kuhusu OIC.

Unakipaji cha kuhubiri kijana, endelea kukaza buti lakn usisahau kuisoma Katiba Inayopendekezwa na kufanya maamuzi sahihi pindi tarehe ya kupiga kura utakapowadia.
 
Ukiwa na akili kama mke Mwenza, huwezi kuona uzuri wa Mwenzio hata kama hana ugomvi na wewe!

Soma uwelewe kilicho andikwa na ukilinganishe na ukipime katika vipimo vya haki bila kua mshabiki au kufuata mkumbo katika kupinga jambo jema eti kwa kua tu analifanya mwenzako. Msitumiwe kwa maslahi ya watu hapahapa Duniani ili wananue Magari na Majumba ya Kifahari. Zindukeni katika ukweli na Dini ya haki.

Kanuni ya haki inasema, Usimhukumu jambo bila kulijua ukweli wake kwa kuliangalia kwa nje nje tu. Ni vyema mkawa na fikra huru katika kuhukumu jambo lolote. Uislamu unapinga mambo yote mabaya. Mfano Ushoga unapingwa kwa nguvu zote na Madhara yake kwa jamii yapo wazi kabisa. Leo wanaopinga Ushoga wanaoneka wabaya na Wanaotangaza na kuimarisha ushoga wanaonekana ni wema. Hivi hizo akili au Matope?
 
Kama unahitaji kuolewa sema nije kukutolea mahali maana unashobo sana kama demu! We unaona ulichoandika hapo ni cha maana? Huna jipya wewe ondoa mambo yako ya dini hapa, kahubiri huko kwenu msikitini.
 
Ukiwa na akili kama mke Mwenza, huwezi kuona uzuri wa Mwenzio hata kama hana ugomvi na wewe!

Soma uwelewe kilicho andikwa na ukilinganishe na ukipime katika vipimo vya haki bila kua mshabiki au kufuata mkumbo katika kupinga jambo jema eti kwa kua tu analifanya mwenzako. Msitumiwe kwa maslahi ya watu hapahapa Duniani ili wananue Magari na Majumba ya Kifahari. Zindukeni katika ukweli na Dini ya haki.

Kanuni ya haki inasema, Usimhukumu jambo bila kulijua ukweli wake kwa kuliangalia kwa nje nje tu. Ni vyema mkawa na fikra huru katika kuhukumu jambo lolote. Uislamu unapinga mambo yote mabaya. Mfano Ushoga unapingwa kwa nguvu zote na Madhara yake kwa jamii yapo wazi kabisa. Leo wanaopinga Ushoga wanaoneka wabaya na Wanaotangaza na kuimarisha ushoga wanaonekana ni wema. Hivi hizo akili au Matope?
Nyinyi ndio chanzo cha ugaidi huna lolote wewe, umezungumzia ushoga tu inamana ndo umeona tatizo kubwa hilo hapa duniani? Je ugaidi unaofanywa na waharabu wa ISIS, ALSHABAB, ALNUSRA, ALQAEDA ndo useme ni dini isiyo na ubaya, acha porojo wewewe.
 
Tanzania ni nchi inayoheshimu uhuru wa kuabudu hilo la Mahakama ya Kadhi sio wakati wake!
 
Back
Top Bottom