Dragunov Sniper
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,795
- 9
Teh teh teh ulitaka nikufurahishe kukupa majibu ya maana kwa utumbo uliouongea?hoja ngumu iko wapi we kikojozi?nenda kasome Ibara ya 41 ya Katiba inayopendekezwa utaacha kukojo kitandani!
Tanzania ni nchi ya amani na utulivu,tena inasifika duniani kote kwa sifa hiyo kubwa iliyotujengea sifa kubwa kote duniani hadi baadhi ya nchi zinatuonea kijicho,sasa nashangaa mtanzania ww unayeleta hoja zenye misingi ya kutugawa umetokea wapi? Au somalia? Sijui any way umetumwa kuleta mada zenye misingi ya kutugawa,tuko imara watanzania na hatutagawanyika kamwe,siasa na dini havichangamani,kama umeamua kuwa mwanasiasa basi fanya siasa,kama dini basi jikite huko, umoja wetu na mshikamano udmu, asante
Usiongee historia wewe, ongea mambo ya sasa, we kataa lakn ukweli unaujua ila unaona aibu kukubali tu, hahaha pole sana ndugu we kubali ukweli tu wala hufungwi hapa.Amani na Utulivu???. Hivi hata watu Wenye akili unaweza kuwaambia maneno haya! Hivi unaweza kwenda Nyumbani kwao Davidi Mwangosi ukawaambia maneno hayo?. Hivi kule Mabwe Pande ndio kituo cha Amani na Utulivu?.
Julius Nyerere alipo Mwambia Padre John C. Sivalon kua katika kuiongoza nchi hii hakuliweka Nyuma kanisa lake alikua ndio anamaanisha amani na Utulivu unayo izungumzia?.
Hivi unaju nini unakiongolea au unaimba nyimbo kama kama kasuku?.
Katiba ipi sasa? Ya Joseph Sinde Warioba au ya Andrew John Chenge?
Amani na Utulivu???. Hivi hata watu Wenye akili unaweza kuwaambia maneno haya! Hivi unaweza kwenda Nyumbani kwao Davidi Mwangosi ukawaambia maneno hayo?. Hivi kule Mabwe Pande ndio kituo cha Amani na Utulivu?.
Julius Nyerere alipo Mwambia Padre John C. Sivalon kua katika kuiongoza nchi hii hakuliweka Nyuma kanisa lake alikua ndio anamaanisha amani na Utulivu unayo izungumzia?.
Hivi unaju nini unakiongolea au unaimba nyimbo kama kama kasuku?.
Wewe ukienda nyumbani kwako unawaambia maneno gani?unachoshangaa ni nini hapa?inayokupa jeuri ya kutext hizi chenga zako si amani na utulivu vilivyopo nchini?au wewe unaandika ukiwa msituni au kwenye mapango umewakimbia waasi???tumia mwili wako sawasawa kufikiri!
Leo unakataa historia ya Kwenu?
Wapi nimesema nimekataa historia au unaota? Nimekwambia usiongelee historia humu ndani ongea mada za sasa! Qe mgumu kuelewa sana, hivi class ndo ulikuwa kilaza namna hiyo eeenh pole sana ungekuwa na upungufu wa damu ningekuongezea lakn tatizo lako wewe una upungufu wa akili nikusaidieje hapo ndugu?Leo unakataa historia ya Kwenu?
Wewe unashangaa text? Achana na texts, inapobidi ku expose the truth, hata video clips zinakua posted from any where, be it Palestine or USA.
Tatizo hapa ni Brainwashed V/S Open Mind.
Ni shidaa Kweli kweli? Hapo pia unahitaji Mkalimani?
Historia ni muhimu ila jiulize, hiyo historia inahusu nini. Tunajifunza nini katika historia hiyo? Siyo kila historia ni historia kwa wanahistoria. Sasa tumia muda wako kujifunza yaliyo mbele ya taifa lako. Tumia muda wako soma Katiba Inayopendekezwa.
Wapi nimesema nimekataa historia au unaota? Nimekwambia usiongelee historia humu ndani ongea mada za sasa! Qe mgumu kuelewa sana, hivi class ndo ulikuwa kilaza namna hiyo eeenh pole sana ungekuwa na upungufu wa damu ningekuongezea lakn tatizo lako wewe una upungufu wa akili nikusaidieje hapo ndugu?
Unatumia nguvu kubwa kutetea vioja!usipigane na kivuli chako mwenyewe utaumia education purpose ni kureplace un empty mind with an open one, you dont fit in Palestine or USA Unapenda sana mteremko ili uonewe huruma rudi njia kuu acha kuchepuka shimoni kwa kujifariji Unabwbwaja kwa kuwa uko TZ a peaceful country.
Jaman chonde chonde hivi huo msamiati mahakama ya kadhi!bado tu unatamkwa?naomba kwa Tanzania yenyewe misingi ya usawa na isiyoongozwa kwa misingi ya dini,hili suala halina nafasi itafutwe nchi nyingine!maana katiba ya mwaka 1977haina kipengele hicho ,PENDEKEZWA pia Haina!nadhan hata kujadili hili tuna potea za muda wa kujadili katiba PENDEKEZWA tu!
Tafuta huyo mkalimani wako aka zero brain najua wote mtakua mnafanana akili!habari ndo hiyo KATIBA INAYOPENDEKEZWA NDO MPANGO!
Hivi hakuna watu wengine wenye akili na hoja za kujadili hili zaidi ya hawa! Hii nadhani ni Mizuzu bora liende. Nikiambia hivi inajibu vile. Hata nikiiwekea Ushahidi bado hailewi. Waje wengine hawa hapa sio mahala pake.
We ni Mburula wenye akili unaowataka wewe ndo sisi,hapo una hoja gani umedisplay instead of copying michango yetu ili ujaze page na saver,Wewe ni msukule na aliyekufungulia uropoke humu ndani karibia anakurudisha ulikotoka!ustarabu ni kitu kidogo tumia akili acha kurukaruka kama pimbi!hapa hafagiliwi mtu.
kila mtu ana haja ya kulaani maana wenzetu kama ni dini inawaambia hivo basi wajue moto mkali unawasubiri ingawa wanasema usihukumu ila kwa hawa is too much kwakweli.Hivi bakwata wamelaani mauaji ya Gharisa?