bmbalamwezi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 788
- 195
Bigteacher nawe umefufukia wapi! Inallah Maswabrina. Wabillah Tawfiq. Soma katiba Inayopendekezwa ujue mambo usizoee kumeza kama ulivyomeza hiyo aya isiyo aya!Unachokiongea hapo wenzio wala hawakuelewi? ongea lugh ay wengi bhana ucjifanye kuwa we unajua hiko kilugha.
Mhhh! Leo amekua Good President hee!
Ukisha malaiza tulaana twako mbuzi.Laatuaniquu jawahiril ulumi fii unuqil-khinzir
Swadaqa Aalim al Allamaa
we umenena kaka, bora wapeqne namba za cm huko ndo wawekeane nukta.Kama munapenda matusi mupeane namba za simu mutukanane huko whatsapp
Unashangaa nini hapa au huelewi kusoma?
Bwana hayo ya Kadhi, Buzz, Canon Law, Sharia Law, Decagon na Mengine mengi tunawaachie ninyi watu wa dini. Hapa wazalendo soma Katiba Inayopendekezwa ili ikishapita waanze mambo ya ammendments. Pokea hicho.
Acha kujificha kwenye kivuli chako Juha wewe. Soma uwelewe nini kimeandikwa.
Baada nyaraka kusambazwa makanisani kumpinga na waislamu kuwashtukia na kuamua kumrudisha Madarakani, leo amekua rais mzuri kwa kuwasaliti waliomuweka madarakani. Chui waliovaa ngozi ya kondoo.
Duh! Hakuna ubinadamu bila sheria.
Ukisha malaiza tulaana twako mbuzi.
Nionyeshe. Wapi Allah kasema muanzishe Mahakama ya Kadhi? Nipe aya bana.
Duh! Hakuna ubinadamu bila sheria.
Kama munapenda matusi mupeane namba za simu mutukanane huko whatsapp
Ubinadamu wa sheria unaoutaka ni wewe mwenyewe kufuata sheria za nchi!
Mzimu unajichanganya mwenyewe kwani nini umekiandika,unajifanya hujui nini kinaendelea kwa kifupi kasome vizuri Ibara ya 41 kwenye Katiba Pendekezwa utapata majibu sahihi na hutarudi tena hapa,hii hali ndio watanzania tunaitaka.
Mzimu Rais wa Jamhuri sio wa Waislamu peke yao ni wa watanzania wote, kama unafikiri alichaguliwa na waislamu au wakristo pekee unajidanya na unahitaji kuongozwa sala ya toba uokoke wewe.
Wakati Nyaraka zinasambazwa Makanisani katika uchaguzi wa 2010, CCM walikimbilia Misikitini na kujinusuru. Na kweli hiyo karata imekua ikiwasaidia tangu zamani. Not any More. You will see. Mark My words. BAKWATA, haiwakilishi Waisalamu kabisa zaidi ya wale Masheikh bora liende nipate tonge Mdomoni.
Uwelewa wako huakuruhusu kuchangia hapa! Walengwa wa Mada hii wameshaelewa!