bmbalamwezi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 788
- 195
Mkuu we ni team Gwajima ee?
Big teacher naomba ubadilishe jina na uwe big student kwani inaonekana unahitaji sana kujifunza kuliko kufundisha maana wahenga walishasema kuwa you cannot give what you don't have. Sasa wewe huna elimu ya kutosha katika mjadala huu hasa wa Katiba Inayopendekezwa je utawaelimishaje wananchi!
big teacher au small teacher? Naona jamaa kakutwanga za uso umekwazika sana! Ila kakwambia ukweli kaka kuwa mpole fata ushauri wake?sasa hapa mchango wako uko wapi mijitu mingine bana aaaagh
big teacher au small teacher? Naona jamaa kakutwanga za uso umekwazika sana! Ila kakwambia ukweli kaka kuwa mpole fata ushauri wake?
hahahaha hqpana usikwazike bhana humu tumo kuelimishana wala usife moyo?nimegusa pabaya
Jibuni swali bana.
Waislam wanasema kuwa, wao wapewe Mahakama ya Kadhi.
SWALI:
WAPI Allah kasema katika Quran kuwa Waislam watumie Mahakama ya Kadhi?
Nimeweka maswali mengi sana ya msingi lakini hayajibiwi:
1. Wapi Allah kasema kuwa Waislam watumie Mahakama ya Kadhi?
2. Wapi kwenye Quran panasema na au toa Wadhifa wa nani awe hakimu/kadhi?
3. Je, Sunni na Shia watatumia Mahakama hiyo hiyo na hakimu wa Shia atatoa hukumu kwa Sunni?
4. Kwanini Wanawake wa Kiislam hawaruhusiwi kuwa Mahakimu wa hizo Mahakama?
Haya jaribu kutafuta majibu ya hao maswali.
Ishameil Mie najaribu kujibu kama ifuatavyo hao wananchi kudai mahakama ya kadhi sijui wanataka nini Afu hao ni waislam wachache sana wanaodai Mahakama ya Kadhi afu nashangaa sijui wanaidai wapi ili wapewe? Imekuwa biscut, bigji au mshahara? Kwani hiyo serikali ndio imeichukua ikaifungia kwenye makabati hadi mtake iwarudishie? serikali haina dini na wala hiyo mahakama hawaijui ndo maana piga chini fasta,
Sijui nimekujibu hapa naomba mwongozo.
1. Wapi Allah kasema kuwa Waislam watumie Mahakama ya Kadhi?
2. Wapi kwenye Quran panasema na au toa Wadhifa wa nani awe hakimu/kadhi?
3. Je, Sunni na Shia watatumia Mahakama hiyo hiyo na hakimu wa Shia atatoa hukumu kwa Sunni?
4. Kwanini Wanawake wa Kiislam hawaruhusiwi kuwa Mahakimu wa hizo Mahakama?
Jamani, dini zetu zote zipo kwa ajiki ya kumsaida mwadamu aishi maisha mema ya kumpendeza Mwenyezi Mungu. Naamini Tanzania tuna dini za aina hiyo endapo waumini wa dini hizo hawazitumii kulingana na maagizo ya mwenyezi Mungu maana yake hata wao wamekiuka miiko ya dini hizo. Kwa hiyo dini ziwe kichocheo cha maisha mema hapa duniani na hatimaye zitufikishe kwa Mola
Hv kweli muislam unaongea hvyo din inasema muongozo wetu uwe quraan kisheria ndo maana kuna mahakama ya kadh ambayo mahakama iyo sheria zake znatoka kwenye quraan din inasema tufuaten sheria za din mpka kwenye ukumu zetu tutaongozwa na quraan il waislam wakutane eneo ambalo haki itafanyika paitwaje ndo mahakama ya kadh shekhe wng kama ujui usiongee bna nyamaza tu unaleta mambo ya shia na sunni unajua yalipo anzia wale wote wanafuata sheria za quraan acha kupotosha watu
HATA SIYO CHAMA WE SOMA HAPA CHINI UTAIELEWA TU.
MAHAKAMA YA KADHI NI HATUA YA AWALI KATIKA KUIFANYA TANZANIA KUWA TAIFA LA KIISLAM
Mahakama ya Kadhi ni nini?
Mahakama ya kadhi ni chombo cha kiislam kwa ajili ya kufanya mashauri ya ndoa , mirathi na mambo ya kidini kwa kutumia Sharia.
Sharia ni nini?
Sharia ni mkusanyiko wa sheria za dini ya kiislam ambazo zinatokana na kitabu cha quran na tamaduni za kiislam kwa kufuata mafundisho na hadithi za Mtume Muhammad.
Mambo ya kidini yanayo hukumiwa na mahakama ya kadhi ni yapi?
Ni mambo yote yanayokwenda kinyume na tamaduni za kiislamu. Mfano Kula hadharani wakati wa mwezi, wa ramadhani, kuchinja kwa mtu ambaye siyo muislamu, kufanya biashara ya vileo, biashara ya nyumba za kulala wageni, biashara ya nguruwe, mavazi yasiyoendana na tamaduni za kiislam kwa maana hiyo ili uwe salama kwa swala la mavazi sharti uvae hijabu kwa wanawake, kanzu na kibaragashia kwa wanaume, msuri na visuruari vizivyogusa viatu.
Kwa nini waislam wanataka Mahakama ya kadhi iingizwe kwenye katiba ya nchi?
Waislam wanataka mahakama ya kadhi iingizwe kwenye katiba ya nchi ili itambulike kisheria na iwe na nguvu kama mahakama za kawaida za makosa ya jinai na hiyo iwe na mamlaka ya kuhukumu watu wote waislam, wakristu na hata wapagani limradi tu hawaishi kwa kufuata tamaduni za kiislam. Mfano mtu atakaye kutwa anakula hadharani wakati wa mwezi wa ramadhani sharia itachukuwa mkondo wake na hukumu iliyotawala kwenye sharia kwa mtu anayeishi kinyume na tamaduni za kiislam ni kuuwawa kwa kuchinywa na jukumu hilo liko kwa Makadhi.
Hivyo basi mahakama ya kadhi ikiingizwa kwenye katiba itakuwa na nguvu za kuhukumu mambo ya siasa, kijamii na makosa ya jinai kwa ujumla kwa raia wote na si kwa waislam peke.
Muundo wa mahakama ya kadhi
Mahakama ya kazi inafuata muundo wa mahakama za kawaida hivyo zinaanzia ngazi ya chini kabisa kwenye wilaya na hadi ngazi ya kitaifa na mahakimu wa mahakama za kadhi ni makadhi amboa wote ni waislam
Kazi za Makadhi
1.Kusikiliza mashauri na kuhukumu kwa kufuata sharia
2.Kuhakikisha anatokomeza ukristu katika eneo lake na uislam unatawala
3.Kuhakikisha hakuna kanisa linajengwa katika eneo lake na wala kanisa linapo bomoka halitaruhusiwa kukarabatiwa wala kujengwa tena. Kujenga kanisa ni kinyume na tamaduni za kiislam ndiyo maana utaona wameanza kuchoma makanisa huko Zanzibar na sehemu zingine za Afrika kama Nigeria.
Madhara ya Mahakama ya Kadhi
1.Kuvunjika kwa umoja wa kitaifa uliopo kati ya waislam, wakristu na wapagani
2.Ugomvi wa kimasrahi kati ya wakristu, wapagani na waislam. Endapo Mahakama ya kadhi itaingizwa kwenye katiba ya nchi ni wazi itagharamikiwa na serikali na hivyo viongozi wa dini ya kiislam ambao ndiyo watakuwa makadhi watatumia fedha za walipa kodi wa Tanzania ambao ni waislam, wakristu na wapangani kujinufaisha wenyewe kwa kujitengenezea ajira. Vipi kuhusu viongozi wa dini za wakristu Maaskofu, Mapadri, Wachungaji na Viongozi wa dini za Jadi nao watakuwa wanalipwa na Serikali?
3.Kutoweka kwa wakristu kutokana na utawala wa sharia, sababu hukumu iliyo tawala kwenye sharia ni kifo hivyo wakristu watauwawa kwa kuwa hawatakubali kuishi tamaduni za kiislam
4.Kuporomoka kwa uchumi wa nchi na kuongezeka kwa tatizo la ajira kwa mfano mashule ya wakristu au taasisi za kikristu zitachomwa kama ambavyo unaona yanatokea nchini Nigeria.
Viwanda vyote vya vileo vitafungwa, makumbi ya starehe yote yatafungwa. Ukiangalia uchumi wa Tanzania unategemea sana viwanda vya bia, Sigara nk. Sector hiyo ndiyo imeajiri watu wengi sana, anzia kwenye viwanda vyenyewe njoo kwenye mabaa, grosary na makumbi ya starehe
Uwelewa wako huakuruhusu kuchangia hapa! Walengwa wa Mada hii wameshaelewa![/QUOTE
SASA WEWE USIYEJUA SOMA HAPA WENZIO WATOA DATA HIZI MAHAKAMA YA KADHI - HAIKUBALIKI MAHAKAMA YA KADHI NI HATUA YA AWALI KATIKA KUIFANYA TANZANIA KUWA TAIFA LA KIISLAM
Mahakama ya Kadhi ni nini?
Mahakama ya kadhi ni chombo cha kiislam kwa ajili ya kufanya mashauri ya ndoa , mirathi na mambo ya kidini kwa kutumia Sharia.
Sharia ni nini?
Sharia ni mkusanyiko wa sheria za dini ya kiislam ambazo zinatokana na kitabu cha quran na tamaduni za kiislam kwa kufuata mafundisho na hadithi za Mtume Muhammad.
Mambo ya kidini yanayo hukumiwa na mahakama ya kadhi ni yapi?
Ni mambo yote yanayokwenda kinyume na tamaduni za kiislamu. Mfano Kula hadharani wakati wa mwezi, wa ramadhani, kuchinja kwa mtu ambaye siyo muislamu, kufanya biashara ya vileo, biashara ya nyumba za kulala wageni, biashara ya nguruwe, mavazi yasiyoendana na tamaduni za kiislam kwa maana hiyo ili uwe salama kwa swala la mavazi sharti uvae hijabu kwa wanawake, kanzu na kibaragashia kwa wanaume, msuri na visuruari vizivyogusa viatu.
Kwa nini waislam wanataka Mahakama ya kadhi iingizwe kwenye katiba ya nchi?
Waislam wanataka mahakama ya kadhi iingizwe kwenye katiba ya nchi ili itambulike kisheria na iwe na nguvu kama mahakama za kawaida za makosa ya jinai na hiyo iwe na mamlaka ya kuhukumu watu wote waislam, wakristu na hata wapagani limradi tu hawaishi kwa kufuata tamaduni za kiislam. Mfano mtu atakaye kutwa anakula hadharani wakati wa mwezi wa ramadhani sharia itachukuwa mkondo wake na hukumu iliyotawala kwenye sharia kwa mtu anayeishi kinyume na tamaduni za kiislam ni kuuwawa kwa kuchinywa na jukumu hilo liko kwa Makadhi.
Hivyo basi mahakama ya kadhi ikiingizwa kwenye katiba itakuwa na nguvu za kuhukumu mambo ya siasa, kijamii na makosa ya jinai kwa ujumla kwa raia wote na si kwa waislam peke.
Muundo wa mahakama ya kadhi
Mahakama ya kazi inafuata muundo wa mahakama za kawaida hivyo zinaanzia ngazi ya chini kabisa kwenye wilaya na hadi ngazi ya kitaifa na mahakimu wa mahakama za kadhi ni makadhi amboa wote ni waislam
Kazi za Makadhi
1.Kusikiliza mashauri na kuhukumu kwa kufuata sharia
2.Kuhakikisha anatokomeza ukristu katika eneo lake na uislam unatawala
3.Kuhakikisha hakuna kanisa linajengwa katika eneo lake na wala kanisa linapo bomoka halitaruhusiwa kukarabatiwa wala kujengwa tena. Kujenga kanisa ni kinyume na tamaduni za kiislam ndiyo maana utaona wameanza kuchoma makanisa huko Zanzibar na sehemu zingine za Afrika kama Nigeria.
Madhara ya Mahakama ya Kadhi
1.Kuvunjika kwa umoja wa kitaifa uliopo kati ya waislam, wakristu na wapagani
2.Ugomvi wa kimasrahi kati ya wakristu, wapagani na waislam. Endapo Mahakama ya kadhi itaingizwa kwenye katiba ya nchi ni wazi itagharamikiwa na serikali na hivyo viongozi wa dini ya kiislam ambao ndiyo watakuwa makadhi watatumia fedha za walipa kodi wa Tanzania ambao ni waislam, wakristu na wapangani kujinufaisha wenyewe kwa kujitengenezea ajira. Vipi kuhusu viongozi wa dini za wakristu Maaskofu, Mapadri, Wachungaji na Viongozi wa dini za Jadi nao watakuwa wanalipwa na Serikali?
3.Kutoweka kwa wakristu kutokana na utawala wa sharia, sababu hukumu iliyo tawala kwenye sharia ni kifo hivyo wakristu watauwawa kwa kuwa hawatakubali kuishi tamaduni za kiislam
4.Kuporomoka kwa uchumi wa nchi na kuongezeka kwa tatizo la ajira kwa mfano mashule ya wakristu au taasisi za kikristu zitachomwa kama ambavyo unaona yanatokea nchini Nigeria. Viwanda vyote vya vileo vitafungwa, makumbi ya starehe yote yatafungwa. Ukiangalia uchumi wa Tanzania unategemea sana viwanda vya bia, Sigara nk. Sector hiyo ndiyo imeajiri watu wengi sana, anzia kwenye viwanda vyenyewe njoo kwenye mabaa, grosary na makumbi ya starehe
[/COLOR]
Kwa mawazo yangu mimi ningewaacha waislam waweke mahakama hizo na hukumu zote ziwe za kiislam mpaka za jinai mana wahalaifu wa kiislama wangepungua kwa woga wa kukatwa vichwa.
Serikali ibaki kuwalinda wakristo watakaofuata sheria za kisekula.
Wengi wangekimbia uislam na kukimbilia kwenye usekula.
Kuna wanaodhani kuwa sheria za dini na hukumu zake ni nyepesi.
Kwa mkristo safi uislam sio tishio.Tishio ni ugaidi wanaofanya baadhi ya waislam kwani wanawaua hata wakristo wasio na hatia yoyote bila hata kufikishwa kwenye mahakama na kuwa na ushahidi mbele ya mahakama ya kadhi.
Msijifunze Uislamu kutoka kwa Maadui wa Uislamu. Lazima mtapotoshwa. Kama mnataka kuujua Uislamu na Mahakama ya Kadhi, waulizeni Waislamu wenyewe!
Naangalia TBC sasa hivi, Namuona Rais wa Nchi yetu akiongolea suala la kura kwa katiba Pendekezwa. Inaonekana Rais amelishwa maneno mengi ya Uongo kuhusu ukusunywaji wa Maoni ya Katiba hiyo.
Waislamu wote na Taasisi zake walitoa Maoni kuhusu Mahakama ya Kadhi, lakini Sio Jaji Joseph Warioba wala Kundi la Kina Endrew Chenge waliothamini maoni ya Waislamu hao.
Leo Rais ametuthibitishia kua Serekali haita anzisha Mahakama ya Kadhi wala haita igaramia. Jukumu hilo ni la Waislamu wenyewe.
Mimi nimemuelewa sana Muheshimiwa Rais kua, Nyie Waislamu tumewachezea vya kutosha, tumewatumia vya kutosha, tumetumia majina yakiislamu kwa maslahi yetu. Tumewazuga vya kutosha. Imekula kwenu mtajua wenyewe.
Huo ndio uliokua msimamo wa Serekali ya CCM tangu zamani, ila wanapo ona wamebanwa hukimbilia kwa Waislamu na Misikitini kama ilivyokua Uchaguzi wa 2010. Waislamu walikua wanaswali Msikiti Kichangani ni Mashuhuda ya hili ni nalo lisema. Pale Yule Sheikh Kijana Mweupe alipokua akisimama na ijumaa takribani tatu za Mwisho kabla ya Uchaguzi na kuwabadilsha Waislamu muelekeo. Kua tumchague mwenzetu. Je Sheikh Umemuona mwenzetu huyo na kundi lake?
Sheikh Jongo hili tulikwambia. Sasa umeyaona. Sasa tunasubiri yale uliyoyasema pale Msikiti wa Gadafi Dodoma.
Sasa Jukumu la Mahakama ya Kadhi lipo Mikononi mwa Waislamu wenyewe. Haya sasa Waislamu ni Mpambano kati ya Dunia na Akhera.
Kila nafsi itauonja Umati.
Si waislamu wala Wakristo wanaoitaka hiyo, kwa Tanzania haina kazi tuna mahakama ya Tanzania Yatosha kama ilivyo kwa Katiba Inayopendekezwa ile ibara ya 41 YATOSHA, Pia muundo wa Serikali 2 tu unatosha sana! byeee
SIASA ni VITA isiyoendana na umwagaji wa damu.
Na VITA ni SIASA inayoendana na umwagaji wa damu.
Dini na siasa havichangamani
Ni kana chuma na udongo.
Eee mungu tulindie amani ya nchi yetu,na uirejeshe kule ilikopotea
Aaaamin
jamaa kaongea maneno ya maana hapo juu.Kivipi sasa Maskofu na Makadinali watake kutoana roho kisa Mahakama ya Kadhi?. Tell your philosophy to the Birds.
Acha unafiki waislamu wanaitaka.
We usilete bla bla zako hapa ndani ya JF kamamhuna hoja kaa kimya tu.Wakristo tumewashtukia. Imekula kwenu. Kwanza kabisa tutaiondoa CCM madarakani ambayo imekua ikiingia Madarakani Miaka yote kwa Mgongo wa Waislamu.
We usilete bla bla zako hapa ndani ya JF kamamhuna hoja kaa kimya tu.
hoja yako uloweka ndugu iko kama umeandika lugha isiyoeleweka sawa na wewe uandike kijamaica ambaxho hata hukijui, mambo ya vyama si mahala pake hapa, we kamq ni wa chama fulani basi uchama wako weka pembeni, uzalendo kwanza mengine baadae, hatuhitaji wachumia matumbo kwenye mada kama hizi.Leo tulikua na mjadala huo. Wabunge Waislamu wa CCM hawana msaada wowote kwa Uislamu. Lakini tumeona Wabunge Wakristo wa vyama vyote wakiwa wamoja inapokuja Maslahi ya Kanisa.
Well noted. Ila tutaanza na CCM kwanza.
hoja yako uloweka ndugu iko kama umeandika lugha isiyoeleweka sawa na wewe uandike kijamaica ambaxho hata hukijui, mambo ya vyama si mahala pake hapa, we kamq ni wa chama fulani basi uchama wako weka pembeni, uzalendo kwanza mengine baadae, hatuhitaji wachumia matumbo kwenye mada kama hizi.
Muslim enemy number one is CCM. So we are going to remove it from power first and then we will deal with other enemies. This time we are going to Use our Power of Democracy to choose who we want to lead us.