Kuna nchi ambazo system zake watu wanachagua chama na si mgombea as such, mf. Italy. kwa mtindo huo ni sawa kabisa kama nafasi imekuwa wazi ikarithiwa na mtu mwingine wa chama hicho. Lakini system yetu ni kwamba wananchi wanachagua mtu aliye mwanachama wa chama fulani. Kwa jinsi hiyo itakuwa ni makosa, kama nafasi imekuwa wazi, kurithisha mtu wa chama kilichokuwa kinashikilia uwakilishi bungeni. Hii ni kwa sababu watu hawakuchagua chama bali mtu, ambaye ni wazi ameshikamana na chama fulani.
Yap, yamewakuta. Wengi wa wananchi waliokwenda kwenye mkutano wa ufunguzi Chicm Igungwa walikusanywa. Vijana walikusanywa kutoka vijiji mbalimbali wakapewa uniform labda na posho. Ndo waliojaza mkutano.
Mbaya zaidi, wananchi wakaanza kuondoka. Sababu za kuondoka ni kuwa ccm haina jipya, Hao wananchi waliohojiwa na gazeti la mwananchi walisema ndio serikali inakusanya hela, mbona hakuna maendeleo??
Source: Mwananchi Paper, page 4.
Hayo uliyotaka kuyasikia tutayasikia kupitia vyama vingine, kama kweli vina dhamira ya kuondoa kero za wananchi. Maana majimbo yaliyo chini ya wapinzania mpaka sasa wanadai wanajipanga.
Maskini Mkapa! Badala ya kuendelea kujipumnzikia zake, amekubali kuja kukibeba chama kisichobebeka!
Finyini msosi ila octoba ikifika kumbuka CDM ndo mkombozi na hicho nachokiana utaanza kuwanacho kwako maana maisha yataboreshwa
Yap, yamewakuta. Wengi wa wananchi waliokwenda kwenye mkutano wa ufunguzi Chicm Igungwa walikusanywa. Vijana walikusanywa kutoka vijiji mbalimbali wakapewa uniform labda na posho. Ndo waliojaza mkutano.
Mbaya zaidi, wananchi wakaanza kuondoka. Sababu za kuondoka ni kuwa ccm haina jipya, Hao wananchi waliohojiwa na gazeti la mwananchi walisema ndio serikali inakusanya hela, mbona hakuna maendeleo??
Source: Mwananchi Paper, page 4.

majitu mengine bana eti Title HM na uchaguzi wa Igunga, kumbe hakuna lolote ambalo Mdee kazungumza kuhusu Igunga, no source no nini then unajiona ni GT masaburi thread
kama hujaelewa uliza uelezwa sio kuropoka non sense
hivi ni nchi zote duniani zina chaguzi ndogo?
nchi zingine wanafanyaje???????
unafikiri demokrasia imeanzia kwetu sio?

Hii niliisikia tangu jana, lakini sikuweza kupata sababu yake. Jamaa yangu mmoja huko Igunga alinipigia simu kwamba wakati Mkapa alipokuwa anahutubia watu kwa makundi walikuwa wakiondoka mkutanoni. Leo hii nimesoma habari kama hiyo katika Mwananchi Uk wa 4 chini ya kifungu cha maneno 'Wengine waondoka":

Wakati Mkapa akiendelea kuhutubia, baadhi ya watu wakiwa kwenye makundi walianza kuondoka kwenye mkutano huo.

wengi waliohojiwa na Mwananchi Jumapili walisema hakuna jipya katika hotuba ya Mkapa na kuongeza kuwa, waliyokuwa wakiambiwa na wapinzani yalithibitishwa na Mkapa mwenyewe.

Walitoa mfano kuwa Mkapa alipoingia madarakani, makusanyo ya Serikali kwa mwezi yalikuwa Sh 28 bilioni, lakini hadi anaondoka, makusanyo hayo yalikuwa Sh 400 bilioni na kuongeza kuwa ni wazi Serikali ina fedha, lakini hazitumiki kwa shughuli za maendeleo.

kama hujaelewa uliza uelezwa sio kuropoka non sense

hivi ni nchi zote duniani zina chaguzi ndogo?

nchi zingine wanafanyaje???????

unafikiri demokrasia imeanzia kwetu sio?