Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.
RA aliamua kuachana na siasa uchwara za CCM na leo anapigia kampeni siasa uchwara za CCM. Wana igunga macho ni yenu na masikio ni yenu na akili ni zenu.

John Marwa like the rest of you mnawaza kwa kutumia masburi mko wasahaulifu na matusi baada ya kuwatumia watu kama waalimu na Mgambo then mnaanza kuwatusi .Ona leo unawatukana Mgambo wakati wamekuwa muda wote wanawasaidia kuiba kura na hata kuiendesha CCM.Ama kweli ma CCM akili zenu mnajijua wenyewe

Kuna nchi ambazo system zake watu wanachagua chama na si mgombea as such, mf. Italy. kwa mtindo huo ni sawa kabisa kama nafasi imekuwa wazi ikarithiwa na mtu mwingine wa chama hicho. Lakini system yetu ni kwamba wananchi wanachagua mtu aliye mwanachama wa chama fulani. Kwa jinsi hiyo itakuwa ni makosa, kama nafasi imekuwa wazi, kurithisha mtu wa chama kilichokuwa kinashikilia uwakilishi bungeni. Hii ni kwa sababu watu hawakuchagua chama bali mtu, ambaye ni wazi ameshikamana na chama fulani.

mkuu mi nao tuna ji-fool kuwa tunachagua mtu wakati mtu huyo anatekeleza sela za chama kilicho mdhamini, akienda nje ya hapo ndo utaona ya akina shibuda na cdm!. Ova!

Ilo neno angelitamka mikoa ya kusini hasa mbeya naona uyo dokta angeambulia kura za nduguze wa karibu!
Sasa nae kuanza na kuanza ndo hayo,ivi ukiwa ccm ata uwezo wa kupambanua mambo unapungua nini au ndo ule udocta kama wa Kamala na nchimbi?

Yap, yamewakuta. Wengi wa wananchi waliokwenda kwenye mkutano wa ufunguzi Chicm Igungwa walikusanywa. Vijana walikusanywa kutoka vijiji mbalimbali wakapewa uniform labda na posho. Ndo waliojaza mkutano.

Mbaya zaidi, wananchi wakaanza kuondoka. Sababu za kuondoka ni kuwa ccm haina jipya, Hao wananchi waliohojiwa na gazeti la mwananchi walisema ndio serikali inakusanya hela, mbona hakuna maendeleo??

Source: Mwananchi Paper, page 4.

That is to be expected in a democratic society. There is nothing strange about it.

Hayo uliyotaka kuyasikia tutayasikia kupitia vyama vingine, kama kweli vina dhamira ya kuondoa kero za wananchi. Maana majimbo yaliyo chini ya wapinzania mpaka sasa wanadai wanajipanga.

chema chadema kinajiuza kibaya ccm kinajitembeza, kugawa fulana, kupeleka ze comedy na bendi. dr slaa anajiuza mwenyewe huitaji kupeka bendi watu waende kumsikiliza slaa ila ccm bila kupeleka magari na vivutio hawaendi

Hayo uliyotaka kuyasikia tutayasikia kupitia vyama vingine, kama kweli vina dhamira ya kuondoa kero za wananchi. Maana majimbo yaliyo chini ya wapinzania mpaka sasa wanadai wanajipanga.

ningependa kusikia kutoka kwako unafikiri kwanini mkapa hakujibu tuhuma nzito alizotumiwa ikiwemo kufanya biashara ikulu ?? je unafikiri kuwa yeye kuhubiri uhadilifu na uwajibikaji halafu ku ignore tuhuma zake tunawezaje kumchukulia huyu mtu seriously?

Maskini Mkapa! Badala ya kuendelea kujipumnzikia zake, amekubali kuja kukibeba chama kisichobebeka!

Mkapa nilazima akubali kuja kukipigia debe chama cha magamba ingawaje hawa wanamtandao walimtukana sana walipoingia madarakani na kuweka wazi ufisadi wake. Sasa kuna mawili, kwanza kama akikataa kuwapigia debe wanaweza kumuwekea bifu na kuanza kumuhukumu kutokana na wizi wa mgodi wa kiwira; jingine la pili linalimuamsha aje kwenye kampeni ni kuogopa chadema kama ikishinda na kuwa na nguvu bungeni wanaweza kuamsha hoja za kumsulubu kuhusiana na kufanya kwake biashara IKULU! Hivyo kwenda kwake Igunga is partly a strategy to save his MASABURI from potential punishment.

Yap, yamewakuta. Wengi wa wananchi waliokwenda kwenye mkutano wa ufunguzi Chicm Igungwa walikusanywa. Vijana walikusanywa kutoka vijiji mbalimbali wakapewa uniform labda na posho. Ndo waliojaza mkutano.

Mbaya zaidi, wananchi wakaanza kuondoka. Sababu za kuondoka ni kuwa ccm haina jipya, Hao wananchi waliohojiwa na gazeti la mwananchi walisema ndio serikali inakusanya hela, mbona hakuna maendeleo??

Source: Mwananchi Paper, page 4.

kama chadema maskini ni ninyi... swali la kujiuliza ni moja .. hao waliopewa pesa.. na T-shirt! ni wapiga kura ama sio wapiga kura...? .. uwingi wa watu mkutanoni haujalishi..

mwaweza mkawa na watu wengi.. kumbe asilimia kubwa si wapiga kura... alafu mwaweza mkawa na wachache waliowengi ni wapiga kura... mwisho wa siku .. mtu anapigwa bao la kisigino anaanza kulalama amechakachuliwa..

majitu mengine bana eti Title HM na uchaguzi wa Igunga, kumbe hakuna lolote ambalo Mdee kazungumza kuhusu Igunga, no source no nini then unajiona ni GT masaburi thread

Hata mie kwa kweli hii kitu inanikera sana hili jukwaa limevamiwa na watu ovyo kabisa hakuna uhusiano wowote kati ya Tittle na mada husika thread kama hizi Moderators wazitupilie mbali tuwe serious bhana.

kama hujaelewa uliza uelezwa sio kuropoka non sense

hivi ni nchi zote duniani zina chaguzi ndogo?
nchi zingine wanafanyaje???????

unafikiri demokrasia imeanzia kwetu sio?

Good idea but how to implement it is a problem is how do you arrive at the formula?

Hii niliisikia tangu jana, lakini sikuweza kupata sababu yake. Jamaa yangu mmoja huko Igunga alinipigia simu kwamba wakati Mkapa alipokuwa anahutubia watu kwa makundi walikuwa wakiondoka mkutanoni. Leo hii nimesoma habari kama hiyo katika Mwananchi Uk wa 4 chini ya kifungu cha maneno 'Wengine waondoka":

Wakati Mkapa akiendelea kuhutubia, baadhi ya watu wakiwa kwenye makundi walianza kuondoka kwenye mkutano huo.

wengi waliohojiwa na Mwananchi Jumapili walisema hakuna jipya katika hotuba ya Mkapa na kuongeza kuwa, waliyokuwa wakiambiwa na wapinzani yalithibitishwa na Mkapa mwenyewe.

Walitoa mfano kuwa Mkapa alipoingia madarakani, makusanyo ya Serikali kwa mwezi yalikuwa Sh 28 bilioni, lakini hadi anaondoka, makusanyo hayo yalikuwa Sh 400 bilioni na kuongeza kuwa ni wazi Serikali ina fedha, lakini hazitumiki kwa shughuli za maendeleo.

magamba mtakoma!mbwa nyie.

kama hujaelewa uliza uelezwa sio kuropoka non sense

hivi ni nchi zote duniani zina chaguzi ndogo?

nchi zingine wanafanyaje???????

unafikiri demokrasia imeanzia kwetu sio?

Good idea but how to implement it is a problem is how do you arrive at the formula?

Unasema walisomba watu mbona sijaon viashiria jamani hebu sema nikasome wapi ili nijiridhishe juu ya tukio la kusomba watu toka mikoa na wilaya za jirani .

Hukuona kwenye picha za Mkutano yale malori makubwa? angalia hapa

attachment.php

3.jpg
attachment.php

9.jpg

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom