Regia,
Asante kwa video. CHADEMA kama chama kinachopenda amani, mpelekeni huyo kijana polisi ili alisaidie jeshi la polisi.
Hizi kanda za propaganda mtu yeyote anaweza kutengeneza kuanzia hao CCM mpaka nyie CHADEMA. Muhimu kwa wananchi ni kuhakikisha usalama wa raia.
Huyu kijana kama ameweza kujua hayo yote na mpaka pesa zilizotolewa basi na yeye ni mhusika na mahali pa kutoa ushahidi huo ni polisi.
Ni aibu kwa chama chochote cha siasa kufumbia kosa hilo. Vyama vyote vishirikiane kuhakikisha waliohusika wanakamatwa maana tukianza kumwagiana tindikali wala hayatishia hapo.
Ingia kwa ile ID yako halisi ya Mwita25, kwa nini unaogopa unaingia kivingine? kwisha habari yenu na sasa subilini hukumu kutoka kwa wananchi wa Igunga, halafu naomba nikushauri hii fake English yako peleka kwa washamba wenzako kama wewe na sio hapa JF.
Kwani aliyemwagiwa Tindikali amekufa mpaka asemewe na kijana wa kijiweni? Kama ni suala la kudai tu, unaweza kudai hata anayeongea naye kapewa pesa. Ningeweza kumuamini japo kidogo kama angewataja kwa majina wale waliohusika, na sio hii habari ya kusuka suka. Mh, huyu kweli ni mbunge wa kuleta ushaidi huu wa KISHERIA kwa members zaidi ya elfu 50 wa JF na bado ategemewe kutunga sheria bungeni. Ama kweli ushabiki utatupeleka pabaya
Hii sio hoja ya kujadiliwa na watu wazima hapa, mrusha thread nenda facebook kwa watoto wenzako haraka, "If you have nothing say nothing"[/QUOMhhhh! Watu wazima, hoja ya kitoto!! Mbona umeijadili pia, hukuona kuwa ni ya kitoto ukawaacha watoto wajadiliane?
mwe! sasa ndio kutaka kusemaje hapoUnamuuliza nani wewe si ndio mwanachama kawapatie ushauri kwenye vikao vya ndani
Unaona sasa umekasirika mpaka akili imehama unahamaki bure mpaka unatukana, unanipa unyonge sana ndugu yangu. Lakini nimekusamehe najua ni hasira tu, ngoja nikuombee kwa Mods! Msimpige BAN ni hasira tu hizo
Hao CCM badala ya kununua ambulance na kuboresha vituo vya afya wanaagiza magari ya maji ya kuwashaya bei mbaya ili kudhibiti upinzani! hebu angalia aibu tuliyoipata juzi kwenye ajali ya meli! Hata vifaa vya kujiokolea hakuna! Msafara wa RAIS WETU MPENDWA uana magari ya anasa ni balaa!
Ngoja sasa tusikie porijo za viongozi wetu juu ya hili! Maana ilipotokea ajali ya MV Bukoba tuliambiwa mengi mno! lakini baadaye kama kawaida Business as usual! Miaka 50 ya Uhhuru bado hata usafiri wa majini wa kueleweka hakuna! Looh1 Hebu wafike mahali waone aibu! Watanzania sasa ni wakati wa kufanya mabadiliko NO MORE POROJO!
kweli huyu ni kibabu na mshamba wa mapenzi na atakua anaongea kwa kutumia ****** sio mdomo mweInawekana ikawa vigumu kuamini, lakini ni kweli imetokea kwenye mkutano wa hadhara wa uzinduzi wa kampeni za CCM jana jioni, ilipofika zamu ya mgombea ubunge wa CCM kujieleza na kuomba ridhaa ya wananchi, alimpandisha Mke wake jukwaani na kusema "MNAMUONA HUYU? HUYU NDIE MKE WANGU, MAMA KAFUMU, ALINICHAGUA MIMI NIWE MUME WAKE, KWA HIYO NA NYINYI NYOOTE FANYENI HIVYOHIVYO!"
Nadhani kwa kila aliehudhuria hawezi kubisha, sasa wengi wetu tusio na ushabiki wa kupitukia tulipigwa na butwaa, yaani sijui alikuwa anataka kutufanya nini sijui, maana kama ni hao wake zetu na dada zetu wamtake yeye Kama alivyotakwa na mkewe, yenyewe ni balaa tosha, lakini sisi wanaume wenzake, marijali tuliokamilika sijui ametuweka kwenye fungu gani?
Namuomba Dr Kafumu afanye uungwana kidogo atuombe radhi kwa kejeli hiyo, kwani na sisi pia tuna wake zetu waliotuona tunafaa wakatuchagua.
I have an upmost honour and huge respect of Regia Mtema but this uncorroborative story of yours has completely changed my perception on you. I did not expect that you would be whiddled into foul politicking and spread of calumnies given the fact that you sneaked into the parliament through special seats! Your malevolence will not gain you any lucre more than seeing your reputation waned before the eyes of hoi polloi.
Hawa CCM si waliwahi hata kumwaga "unga unga" bungeni! Pamoja na kuonekana na kamera za ukumbi wa bunge bado wakabisha. Kwa hiyo hawa watu kudhuriana ni kawaida yao.
Wapi Papaa Kolimba? Wapi Mamaa Mbatia? Wapi
Wewe ujui tu ebu fuatilia hii thread uone nani kaanza kumuandama mwenzake na jinsi alivyoniita, lakini nimemsamehe ndio mambo ya JFritz vp wewe? mbona unapenda sana kumuandama matola?
ni kweli Bwana kandambili si kiatu, na uwezo wako kufikiri hapo ni mwishosi wakalale kwa mwalimu wao wanayemtafutia kula?
si dhani kama unaelewa mantini ya kuweka Source ya taarifaHivi udini kweli apo upo wapi labda udini maana yake ni pana! Igunga CDM sio wageni na juzi tumeona wamefanya mkutano mkubwa tu.
Mgombea ubunge wa CDM ni mkazi wa Igunga sidhani kama atashindwa kuwatafutia nyumba CDM wenzake, wewe ulioleta hii mada ndio mdini
naona anaefuata kwa kura bila kujali chama amalizie madaraka, nadhan ingepunguza garama au mnaonaje wadau
Mjadala alioibua Boss hapa ni idea nzuri kufikiria siku zijazo tunapofanya mabadiliko kwenye Katiba ya nchi. Sikubaliani na kwamba aliyeshika nafasi ya pili ndiye achukue kiti kwa sababu inaweza hatarisha usalama wa wabunge wengi.
Maoni yangu ingefaa kama ifuatavyo:
Nchini Marekani inaelekea walishayapata matatizo hayo ndio maana wakaweka sheria ya Gavana wa State kufanya uteuzi baada ya kushauriana na vyombo kadhaa vya kisheria na kisha uteuzi huo hupitiwa na wahusika ili kuthibitishwa, na asipokuwa na kiwango kinachotakiwa anakataliwa.
- Utaratibu wa baadhi ya wabunge kuteuliwa na chombo cha juu kama rais ungeweza chukua nafasi.
- Ratiba ya vyama vya siasa kupeana nafasi ya uteuzi huo kwa kadiri ya sheria zitakazowekwa.
- Tume ya uchaguzi kushauriana na wanasheria, Msajili wa vyama vya siasa na wanasiasa ili kujaza nafasi hiyo.
Tukumbuke kuwa kwa sasa hivi uchaguzi unaofanyika huko Igunga ni nje ya bajeti ya serikali na vyama vya siasa, kwa maana hiyo pesa hizo zimechukuliwa kutoka kitengo cha maendeleo au huduma nyingine za jamii na kupelewa kwenye uchaguzi. Kesho tutailalamikia serikali kwa nini haijajenga barabara, haijaajiri walimu nk kumbe pesa zilizokusudiwa zimepelekwa kwenye chaguzi ndogo ambazo hazikuwa na budget.
Mikael P.Diwani Nanyaro nakubaliana na wewe,
Msimamo wako ulionesha katika sakata la madiwani wa Arusha ulinifurahisha sana naomba unipigie kwa namba zangu kwenye signature yangu.