tofauti kubwa kati ya stori ya cdm na ccm.
Stori ya huyu kijana anayejiita mwana ccm inaonekana ku make sense zaidi kuliko ile ccm ya kusema kuwa vijana wa chadema walimwona kijana wa ccm anabandika picha ukutani wakaamua for no reason kumwagia tindikali.
Tanzania hatujafikia level hiyo ya kumuona mtu anabandika picha ya mgombea wake akamwagiwa tindikali kama ndiyo hivyo basi kwenye uchaguzi wa mwaka 2010 ingekuwa vita kila mahala ila inaweza kufanyiwa unyama kama huu kwa kudhurumu watu na hata zaidi ya huo kwa maana ya kifo.