Daniel Anderson
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 872
- 141

hivi miaka hamsini ya uhuru bado kuna WATU MABARADHURI ,WAONGO, na MATAPELI namna hii hivi huyu mwenye babari anatuonaje kwa kutaka kurubuni namna hii wakati wa CDM ndio waliofunika mpaka CUF wakazuia msafara kwa kuona gere

CHADEMA wamefungua radio inaitwa WAPO? Inawezekanaje watu twice as many wazuiliwe na watu wachache? Tena wanamagwanda wapiganaji? Hapa kuna walakini!

<br / br/umeonaeee!CHADEMA wamefungua radio inaitwa WAPO? Inawezekanaje watu twice as many wazuiliwe na watu wachache? Tena wanamagwanda wapiganaji? Hapa kuna walakini!

Kweli nimeamini JF kuna wataala wa kugeuza Habari!

Ukweli wa hii habari ni kwamba CDM ndio wamewaingilia CUF na kuwafanyia fujo!CUF tayari wameshaliripoti hili.

Leteni habari hapa kwa umakini bila kukurupuka plzz!

<br / br/ na wewe kama una uhakika zaidi tadhali 2elezee nini chanzo ama ukweli uko wapi usipindishe habariKweli nimeamini JF kuna wataala wa kugeuza Habari!
Ukweli wa hii habari ni kwamba CDM ndio wamewaingilia CUF na kuwafanyia fujo!CUF tayari wameshaliripoti hili.
Leteni habari hapa kwa umakini bila kukurupuka plzz!
Nipo Igunga,na wewe kama una uhakika zaidi tadhali 2elezee nini chanzo ama ukweli uko wapi usipindishe habari

Kweli nimeamini JF kuna wataala wa kugeuza Habari!

Ukweli wa hii habari ni kwamba CDM ndio wamewaingilia CUF na kuwafanyia fujo!CUF tayari wameshaliripoti hili.

Leteni habari hapa kwa umakini bila kukurupuka plzz!

CHADEMA wamefungua radio inaitwa WAPO? Inawezekanaje watu twice as many wazuiliwe na watu wachache? Tena wanamagwanda wapiganaji? Hapa kuna walakini!
Safi sana, na ingependeza mno uzinduzi wa kampeni kwa vyama vyote ungefanyika kwa siku na muda mmoja ili kupima ni nani zaidi! Naamini uwingi wa wahudhuriaji ungekuwa hivi:
1. CHADEMA
2. CUF
3. CCM
4. ....
5. .....
6. ......