Daniel Anderson
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 872
- 141
<br />hivi miaka hamsini ya uhuru bado kuna WATU MABARADHURI ,WAONGO, na MATAPELI namna hii hivi huyu mwenye babari anatuonaje kwa kutaka kurubuni namna hii wakati wa CDM ndio waliofunika mpaka CUF wakazuia msafara kwa kuona gere
<br />
waache wafu (ccm and cuf) waongozane maana mwisho wao ni kutumbukia shimoni kama si kujikwaa na kuanguka.