Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.
hivi miaka hamsini ya uhuru bado kuna WATU MABARADHURI ,WAONGO, na MATAPELI namna hii hivi huyu mwenye babari anatuonaje kwa kutaka kurubuni namna hii wakati wa CDM ndio waliofunika mpaka CUF wakazuia msafara kwa kuona gere

waache wafu (ccm and cuf) waongozane maana mwisho wao ni kutumbukia shimoni kama si kujikwaa na kuanguka.

CUF ni chama cha msimu kama UMD ambavyo vinainuka kwenye chaguzi. Na kwakuwa wanajua hawana kitakachowafanya wasikike masikioni mwa watu, wanaamua kufanya fujo maana ndio njia pekee inayokifanya kisikike.

CHADEMA wamefungua radio inaitwa WAPO? Inawezekanaje watu twice as many wazuiliwe na watu wachache? Tena wanamagwanda wapiganaji? Hapa kuna walakini!

Ukibeba mayai akatokea mkorofi akaonye dalili za kufanyia fujo, inabidi uwe mpole uyalinde mayai. ile form ndiyo mbunge mtarajiwa, cuf inawezekana walikuwa wanaiwinda. wameliwa!!!

Jesuit swali lako linaonyesha wewe ni mtu wa namna gani ki itikadi, kishabiki na kimaslahi

Hata tbc1 leo wameonesha japo kwakukatakata jinsi wagombea walivyorejesha fomu zao. Du kweli cdm wamefunika jamani, hawaongei ila vitendo vimepaza sauti mara dufu.

Kweli nimeamini JF kuna wataala wa kugeuza Habari!
Ukweli wa hii habari ni kwamba CDM ndio wamewaingilia CUF na kuwafanyia fujo!CUF tayari wameshaliripoti hili.
Leteni habari hapa kwa umakini bila kukurupuka plzz!

wewe ndo umekurupuka. Unaendeshwa na tumbo kufikiri.

Kweli nimeamini JF kuna wataala wa kugeuza Habari!
Ukweli wa hii habari ni kwamba CDM ndio wamewaingilia CUF na kuwafanyia fujo!CUF tayari wameshaliripoti hili.
Leteni habari hapa kwa umakini bila kukurupuka plzz!

Cuf wameleta fujo wao na kuwahi kuriport eti wao ndo wamefanyiwa ndo maana baadhi ya vituo vimetangaza cdm ndo imeleta fujo, Hawa cuf watakuwa wanatumia maelekezo waliyopewa jana na NAPE

Kweli nimeamini JF kuna wataala wa kugeuza Habari!
Ukweli wa hii habari ni kwamba CDM ndio wamewaingilia CUF na kuwafanyia fujo!CUF tayari wameshaliripoti hili.
Leteni habari hapa kwa umakini bila kukurupuka plzz!

<br / br/ na wewe kama una uhakika zaidi tadhali 2elezee nini chanzo ama ukweli uko wapi usipindishe habari

Hivi jina la operesheni ya CUF igunga ni lipi vile...?CUF wapo huko kuisaidia CCM ishinde ndo maana maalim seif yupo huko tena kaanza kwa kuzindua miradi....sasa sijui jukwaani atatangaza sera za chama gani?cuf au za ccm alizoanza kuzindua miradi iliyotokana na sera zake!TAFAKARI

hivi hatuna vijana wa cdm wa kuripoti kupitia jf live tukio hili? Hawafahamu umuhimu wa jf kama kipaza sauti huru kufikia potential people wenye ushawishi? Naamini wapo vijana kule,leteni habari on time bana

Wapo FM si radio ya Kanisa unategemea watasema nini juu ya CDM zaidi ya kusifia Magwanda!

Chadema siku zote wamekuwa makini kuhakikisha fujo hazitokei. Lakini kutokana na nguvu kubwa ya hoja walizonazo, wamekuwa wakiungwa mkono na wazalendo wa nchi hii, jambo ambalo limesababisha serikali ya ccm kutumia nguvu ya dola kuwafanyia fujo.

Sitashangaa kuona cuf wanawafanyia fujo chadema kutokana na ndoa yao na magamba. Iko siku tutafika tu.

Kweli nimeamini JF kuna wataala wa kugeuza Habari!

Ukweli wa hii habari ni kwamba CDM ndio wamewaingilia CUF na kuwafanyia fujo!CUF tayari wameshaliripoti hili.

Leteni habari hapa kwa umakini bila kukurupuka plzz!

wamewaingilia? fafanua kidogo rejao.

Changanya na za Kwako, Hao sio CUF ilani......
ccm Cuf.jpg

CHADEMA wamefungua radio inaitwa WAPO? Inawezekanaje watu twice as many wazuiliwe na watu wachache? Tena wanamagwanda wapiganaji? Hapa kuna walakini!

sikiliza zaidi radio clouds upate habari unazopenda kusikia magambani kwenu maana hiyo ndo reliable source yako.
Mpe salam riz.

Safi sana, na ingependeza mno uzinduzi wa kampeni kwa vyama vyote ungefanyika kwa siku na muda mmoja ili kupima ni nani zaidi! Naamini uwingi wa wahudhuriaji ungekuwa hivi:
1. CHADEMA
2. CUF
3. CCM
4. ....
5. .....
6. ......

Acha hizo wewe kwani imekuwa ngoma za Kisukuma (Wighashe) zinazopimwa kwa wingi wa watu kwa Manju?

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom