Humo kwenye red: ina maana ili kugombea ubunge ni lazima mgombea apitishwe na Shirikisho la soka la Africa? Hii kali!Wote wanaweka pingamizi kumpinga mgombea wa CAF hakupitishwa na kikao rasmi cha chama chake zaidi waliandika barua ya utambulisho na kusainiwa na mtu asiye na mamlaka kichama CAF niwakurupukaji sana ngoja tusubiri.
<br /> <br / wassira naye nondo??Naona kila chama kimepeleka nondo zake Igunga, ni suala la muda tu kitaeleweka
Ukipelekwa sehemu wakati mnaelekea kushindwa ...huko ni kuokoa jahaziSiyo kuokoa jahazi ila anawajibika, kama kada wa CCM, kufanya lolote linalowezekana kuhakikisha magwanda hawapati madaraka.
Nimeweka taarifa ya mkakati Igunga na jinsi JF,WAHARIRI NA WAANDFISHI WALIVYONUNULIWA ILA NAONA HAIPOSTIWI JE?Moderetor nao wamefikia bei?
Ngereja................. Na hili giza ataeleza nini zaidi ya kutaja MEGAWATI...Yani CCM tegemeo lao ni Wassira....lol!! Kweli chama kinaelekea pabaya,ila tunashukuru maana wanatuongezea mtaji CDM...naomba na hawa waende jamani...
- Yusuf Makamba
- Chiligati
- Mkuchika
- Hawa Ghasia
- Celine Kombani
- Ngeleja
- Tambwe Hizza
- ......................
Siyo kuokoa jahazi ila anawajibika, kama kada wa CCM, kufanya lolote linalowezekana kuhakikisha magwanda hawapati madaraka.
<br />Nilitaka kusema hivyo hivyo. Are you sure huyu mheshimiwa hatasinzia njiani?
Mitandao ya kijamii nayo wainunue? -- sina uhakika kwa hilo ila kwa JF hata waje na 100billion tutasema ukweli daima fitna kwetu mwiko.
Mwandishi Jacob Daffi wa mwanahalisi amedai kunasa waraka wa ccm unaelezea kwamba ccm imepanga kutumia sh milioni 35 kuhonga waandishi wa magazeti na television ili kupika habari nzuri kuhusu chama hicho.
Lengo ni kuhakikisha habari nzuri tu ndizo zinaandikwa kuhusu kampeni za Igunga.
Kwa mujibu wa waraka huo magazeti yatakayotumika kwa mkakati huo ni mwananchi,majira,nipashe,jambo leo,habari leo na mtanzania.
Television zitakazohusika ni itv,tbc one na chanel ten.Pia baadhi ya mitandao ya kijamii itahusishwa katika mpango huu mchafu.
Imedaiwa mpango huu wote umeandaliwa na idara ya nape nnauye.Habari kamili imeandikwa uk wa 6 wa mwanahalisi.
i will always tell the truth coz i think it helps.! This i do believe is the filosofi of Many Jf membersMitandao ya kijamii nayo wainunue? -- sina uhakika kwa hilo ila kwa JF hata waje na 100billion<b> tutasema ukweli daima fitna kwetu mwiko.
Nimesema mara kadhaa humu. CUF na CHADEMA mtawapa ushindi CCM wa "kishindo" endapo mtaendelea kutafunana hivi. CCM watakuwa wanapongezana sana tu kwa kuangalia mnavyosigana hapo Igunga. Ushauri wangu kwenu CUF: Kwa kuwa Maalim Seif ameonekana akianza ziara ya kiserikali mkoani Tabora kabla hajafika hapo Igunga, kuna haja gani ya ninyi kuweka mgombea?