Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: contentheading, width: 100%"]CUF yakwama kuvizuia CCM, Chadema Igunga [/TD]
[TD="class: buttonheading, width: 100%, align: right"] Send to a friend [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: createdate"] Wednesday, 07 September 2011 21:38 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 0digg

Boniface Meena na Geofrey Nyang’oro, Igunga
CHAMA cha Wananchi (CUF), kimewawekea pingamizi wagombea ubunge kupitia vyama vya Chadema na CCM kwa madai kuwa hawakurudisha fomu kwa kufuata kanuni na sheria za uchaguzi. Hata hivyo, akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana, Msimamizi wa Uchaguzi, Magayane Protas alisema ametupilia mbali pingamizi hilo.“Mgombea wa CUF, Ndugu Mahona amewasilisha pingamizi dhidi ya wagombea wa Chadema na CCM akidai kuwa walirudisha fomu kinyume cha sheria. Lakini nimeangalia sheria inavyoeleza na kuona hawakufanya kosa lolote wakati wakirudisha fomu hivyo, nimelitupilia mbali pingamizi hilo.”

Pia alisema mgombea wa SAU, John Magid aliwasilisha pingamizi dhidi ya wagombea wa Chadema na CCM akidai kuwa si wanachama halali wa vyama hivyo kwa kuwa ni wafanyakazi wa Serikali. Akizungumzia madai hayo, Magayane alisema Magid alisahau kuwa kuna waraka namba 1 mwaka 2000 ambao unaruhusu mtumishi wa umma kugombea katika chama.

“Kwa bahati nzuri hawa wagombea wa Chadema na CCM walishaandika barua serikalini kuachia nafasi zao na barua zenyewe ni hizi hapa, hivyo ni halali wao kugombea,” alisema Magayane.

Alisema kuwa kutokana na kujiridhisha, ametupilia mbali pingamizi hilo pia. Hata hivyo, Magayane alisema kuwa kama walalamikaji hawajaridhishwa na uamuzi wake, wanaweza kukata rufaa ndani ya saa 24.

Alisema wagombea wa vyama vinane wamepitishwa kuwania ubunge wa jimbo hili ambao ni kutoka CCM, CUF, Chadema, Chausta, AFP, UPDP, SAU na DP.

Chadema kuzindua kampeni leo
Chadema kinatarajia kuzindua kampeni zake rasmi leo. Mkurugenzi wa Sera na Utafiti wa chama hicho, Waitara Mwita alisema kuwa watawapokea viongozi wa kitaifa kwa maandamano kuanzia saa 6:00 mchana ili kuelekea kwenye eneo la mkutano katika Uwanja wa Sokoine.

“Tutaanza maandamano yatakayoongozwa na Mwenyekiti, Freeman Mbowe na Katibu Mkuu, Dk Willibrod Slaa na wajumbe wa kamati kuu pamoja na wabunge na mkutano utaanza saa 8:00 mchana na kumalizika saa 12:00 jioni,” alisema

Polisi yavifungulia mashtaka Chadema, CUF

Jeshi la Polisi limefungua jalada la mashtaka dhidi ya vyama vya Chadema na CUF, kutokana na madai ya kukiuka taratibu za uchaguzi wakati wa urudishaji fomu za wagombea wao katika uchaguzi huo mdogo wa Jimbo la Igunga.
Mbali ya kufungua jalada hilo, jeshi hilo pia limetoa onyo kwa vyama hivyo kuhusu mabaunsa wao na kuwataka wahakikishe wanafanya ulinzi kwa kufuata utaratibu, sheria na kanuni zilizowekwa.

Mkuu wa Operesheni Maalumu wa Polisi, Simon Sirro alisema walifungua jalada dhidi ya Chadema akidai kwamba baada ya kumaliza kurudisha fomu walifanya mkutano wa hadhara kinyume cha sheria.

Juzi, mashabiki wa vyama vya Chadema na CUF walitunishiana misuli wakati wa urejeshaji fomu za wagombea wao kwenda Ofisi ya Tume ya Uchaguzi, hatua ambayo nusura isababishe ghasia na uvunjifu wa amani na baadaye Chadema kilifanya mkutano wa hadhara.

Sirro alisema: “Tumefungua madai hayo kama polisi dhidi ya Chadema kwani baada ya kumaliza kurudisha fomu, walifanya mkutano wa hadhara na nilikwenda kuwaambia hiyo si sawa,” alisema Sirro.
Alisema Mkurugenzi wa Oganaizesheni na Mafunzo wa Chadema, Kigaila Benson alihojiwa na polisi kuhusu tukio hilo hivyo maelezo yake yako polisi. Benson alikiri kukutana na polisi kuzungumzia suala la Chadema na CUF kuingilia msafara wao juzi.

Kigaila alisema katika mkutano huo aliwaambia polisi kuwa Chadema haikufanya mkutano, bali ilikuwa ikiwashukuru wananchi na kuwatawanya baada ya kumaliza kurudisha fomu na kurejea nao kwenye viwanja vya ofisi yao, vilivyopo katika Barabara ya Singida.

“Nilimweleza Sirro kuwa hatukufanya mkutano kwa kuwa kabla hatujapeleka fomu tulikuwa na watu wengi ofisini kwetu na tuliondoka nao kwenda kuchukua fomu na kurudi nao kisha tukawashukuru na kutawanyika,” alisema Benson.
Sirro alifafanua kuwa CUF imefunguliwa jalada la madai kutokana na kitendo chake cha kuingilia msafara wa Chadema wakati wa kurudisha fomu za mgombea wao juzi. Alisema kutokana na tukio hilo, Naibu Katibu Mkuu wa CUF, Julius Mtatiro alihojiwa na polisi.

“Tumefungua pia jalada dhidi ya CUF kuingilia msafara wa Chadema na mhamasishaji wa CUF Bwana Mtatiro, alihojiwa kuhusu kilichotokea jana (juzi),”alisema Sirro.

Alisema juzi aliviita vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2, mwaka huu na kuvitaka vifanye kampeni kwa amani kwa kuwa mbunge wa jimbo hilo hawezi kupatikana kwa vurugu.

“Wote ni viongozi hivyo lengo ni kufanya kampeni kwa amani na utulivu. Hatutegemei kupata mbunge kwa njia ya vurugu, bali kampeni ziwe za utulivu na amani na kuongeza: “Tuko nao muda wote wa kampeni wajue hilo.”
Juzi, Sirro aliwasili jimboni Igunga kwa ajili ya kuhakikisha kampeni za uchaguzi huo zinakwenda sawa na kuweka usalama hadi utakapokamilika.

Alisema jeshi la polisi limejipanga vyema kusimamia usalama katika uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2, mwaka huu.

“Tumejipanga vizuri na kazi inaendelea vizuri, nitakuwapo muda wote kwa kuwa ndiyo kazi yangu ila nikitoka mkuu wa FFU ndiye atakayekuwa akisimamia haya,” alisema Sirro.
mwisho

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Haki ya mtu haipotei kwa rushwa, waandishi wanadharaulika kwa vitendo kama hivyo hata wamekuwa tukiitwa Makanjanja. lakini pia wakati mwingine lawama na laana kwa haki ziwaendee wahariri watendaji (Managing editors) na wamilikiwa vyombo hivyo (Media owners kwa kuingilia uhuru wa waandishi mtahukumiwa sawa na makosa yenu....... The freedom is coming tomorrow
 
nafurahi kukuona tena jamvini MS, na sasa unaonekana kurudi na fikra mpya kabisa. sasa Nnauye akujibu bila kumung'unya maneno kwa swali bora ulilomuhoji
 
ANAEJIBU GAZETI HILI NAE NI UCHWARA? maana kaka nape huwa mwepesi kujibu gazeti uchwara

uongo ukisemwa sana watu huanza kuuamini kama ndio ukweli, ndio maana hata wakijamba watu wenye akili huja kusafisha hewa, wewe nilidhani una akili za kulijua hili lakini naona ile fuse imechoka kwenye ubongo umeiunganisha kwenye masaburi
 
Hii thread iunganishwe na ile nyingine ambapo nimechangia jinsi ninavyomkubali Mkapa kwa kuwaita wapinzani KOKOTO. Hopefully mods will do the needful, won't they?
iungani mi jina la mchezaji wa golf adis ababa,
 
Hamna Mtanzania asiyemkubali Mkapa kwa mambo aliyotufanyia. Kikwete naye kafanya vizuri pia.
CCM still ipo juu. Hop itashinda kwa kishindo jimbo la Igunga
Mie ni mtanzania na simkubali.chunga wingi na umoja kwenye kauli zako.
 
<br />
<br />
Narudia tena, ningekuwa punguani ningewezaje kupata GPA ya 4.0?

Hako ka G.P.A ka 4.0 unatamba nako huku JF unaona kana maana saaaaaaaaaana. Watu wana zaidi ya hiyo na hawasemi.....Utashika chaki sana na kutumikishwa mpaka unakufa. Toa hoja sio unang'ang'ania GPA tu.
 
mimi huwa sio mnafiki kama nyinyi cdm. ukiwambiwa nyeusi japo nyeupe lkn kwa kuwa kasema dk slaa basi unakubali. zinduka
Wazungu wanatuita sisi weusi japokuwa ni kikahawia, wao weupe japokuwa ni pink mbona tunayakubali?
 
Hamna Mtanzania asiyemkubali Mkapa kwa mambo aliyotufanyia. Kikwete naye kafanya vizuri pia.<br />
CCM still ipo juu. Hop itashinda kwa kishindo jimbo la Igunga
<br />
<br />
ndio.swala.lililobaki.. wakafue magwanda you yananuka..
 
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: contentheading, width: 100%"]CUF yakwama kuvizuia CCM, Chadema Igunga [/TD]
[TD="class: buttonheading, width: 100%, align: right"] Send to a friend [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: createdate"] Wednesday, 07 September 2011 21:38 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 0digg

Boniface Meena na Geofrey Nyang'oro, Igunga
CHAMA cha Wananchi (CUF), kimewawekea pingamizi wagombea ubunge kupitia vyama vya Chadema na CCM kwa madai kuwa hawakurudisha fomu kwa kufuata kanuni na sheria za uchaguzi. Hata hivyo, akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana, Msimamizi wa Uchaguzi, Magayane Protas alisema ametupilia mbali pingamizi hilo."Mgombea wa CUF, Ndugu Mahona amewasilisha pingamizi dhidi ya wagombea wa Chadema na CCM akidai kuwa walirudisha fomu kinyume cha sheria. Lakini nimeangalia sheria inavyoeleza na kuona hawakufanya kosa lolote wakati wakirudisha fomu hivyo, nimelitupilia mbali pingamizi hilo."

Pia alisema mgombea wa SAU, John Magid aliwasilisha pingamizi dhidi ya wagombea wa Chadema na CCM akidai kuwa si wanachama halali wa vyama hivyo kwa kuwa ni wafanyakazi wa Serikali. Akizungumzia madai hayo, Magayane alisema Magid alisahau kuwa kuna waraka namba 1 mwaka 2000 ambao unaruhusu mtumishi wa umma kugombea katika chama.

"Kwa bahati nzuri hawa wagombea wa Chadema na CCM walishaandika barua serikalini kuachia nafasi zao na barua zenyewe ni hizi hapa, hivyo ni halali wao kugombea," alisema Magayane.

Alisema kuwa kutokana na kujiridhisha, ametupilia mbali pingamizi hilo pia. Hata hivyo, Magayane alisema kuwa kama walalamikaji hawajaridhishwa na uamuzi wake, wanaweza kukata rufaa ndani ya saa 24.

Alisema wagombea wa vyama vinane wamepitishwa kuwania ubunge wa jimbo hili ambao ni kutoka CCM, CUF, Chadema, Chausta, AFP, UPDP, SAU na DP.

Chadema kuzindua kampeni leo
Chadema kinatarajia kuzindua kampeni zake rasmi leo. Mkurugenzi wa Sera na Utafiti wa chama hicho, Waitara Mwita alisema kuwa watawapokea viongozi wa kitaifa kwa maandamano kuanzia saa 6:00 mchana ili kuelekea kwenye eneo la mkutano katika Uwanja wa Sokoine.

"Tutaanza maandamano yatakayoongozwa na Mwenyekiti, Freeman Mbowe na Katibu Mkuu, Dk Willibrod Slaa na wajumbe wa kamati kuu pamoja na wabunge na mkutano utaanza saa 8:00 mchana na kumalizika saa 12:00 jioni," alisema

Polisi yavifungulia mashtaka Chadema, CUF

Jeshi la Polisi limefungua jalada la mashtaka dhidi ya vyama vya Chadema na CUF, kutokana na madai ya kukiuka taratibu za uchaguzi wakati wa urudishaji fomu za wagombea wao katika uchaguzi huo mdogo wa Jimbo la Igunga.
Mbali ya kufungua jalada hilo, jeshi hilo pia limetoa onyo kwa vyama hivyo kuhusu mabaunsa wao na kuwataka wahakikishe wanafanya ulinzi kwa kufuata utaratibu, sheria na kanuni zilizowekwa.

Mkuu wa Operesheni Maalumu wa Polisi, Simon Sirro alisema walifungua jalada dhidi ya Chadema akidai kwamba baada ya kumaliza kurudisha fomu walifanya mkutano wa hadhara kinyume cha sheria.

Juzi, mashabiki wa vyama vya Chadema na CUF walitunishiana misuli wakati wa urejeshaji fomu za wagombea wao kwenda Ofisi ya Tume ya Uchaguzi, hatua ambayo nusura isababishe ghasia na uvunjifu wa amani na baadaye Chadema kilifanya mkutano wa hadhara.

Sirro alisema: "Tumefungua madai hayo kama polisi dhidi ya Chadema kwani baada ya kumaliza kurudisha fomu, walifanya mkutano wa hadhara na nilikwenda kuwaambia hiyo si sawa," alisema Sirro.
Alisema Mkurugenzi wa Oganaizesheni na Mafunzo wa Chadema, Kigaila Benson alihojiwa na polisi kuhusu tukio hilo hivyo maelezo yake yako polisi. Benson alikiri kukutana na polisi kuzungumzia suala la Chadema na CUF kuingilia msafara wao juzi.

Kigaila alisema katika mkutano huo aliwaambia polisi kuwa Chadema haikufanya mkutano, bali ilikuwa ikiwashukuru wananchi na kuwatawanya baada ya kumaliza kurudisha fomu na kurejea nao kwenye viwanja vya ofisi yao, vilivyopo katika Barabara ya Singida.

"Nilimweleza Sirro kuwa hatukufanya mkutano kwa kuwa kabla hatujapeleka fomu tulikuwa na watu wengi ofisini kwetu na tuliondoka nao kwenda kuchukua fomu na kurudi nao kisha tukawashukuru na kutawanyika," alisema Benson.
Sirro alifafanua kuwa CUF imefunguliwa jalada la madai kutokana na kitendo chake cha kuingilia msafara wa Chadema wakati wa kurudisha fomu za mgombea wao juzi. Alisema kutokana na tukio hilo, Naibu Katibu Mkuu wa CUF, Julius Mtatiro alihojiwa na polisi.

"Tumefungua pia jalada dhidi ya CUF kuingilia msafara wa Chadema na mhamasishaji wa CUF Bwana Mtatiro, alihojiwa kuhusu kilichotokea jana (juzi),"alisema Sirro.

Alisema juzi aliviita vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2, mwaka huu na kuvitaka vifanye kampeni kwa amani kwa kuwa mbunge wa jimbo hilo hawezi kupatikana kwa vurugu.

"Wote ni viongozi hivyo lengo ni kufanya kampeni kwa amani na utulivu. Hatutegemei kupata mbunge kwa njia ya vurugu, bali kampeni ziwe za utulivu na amani na kuongeza: "Tuko nao muda wote wa kampeni wajue hilo."
Juzi, Sirro aliwasili jimboni Igunga kwa ajili ya kuhakikisha kampeni za uchaguzi huo zinakwenda sawa na kuweka usalama hadi utakapokamilika.

Alisema jeshi la polisi limejipanga vyema kusimamia usalama katika uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2, mwaka huu.

"Tumejipanga vizuri na kazi inaendelea vizuri, nitakuwapo muda wote kwa kuwa ndiyo kazi yangu ila nikitoka mkuu wa FFU ndiye atakayekuwa akisimamia haya," alisema Sirro.
mwisho

Add this page to your favorite Social Bookmarking websites

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[h=4]Comments [/h]

#1 Beano 2011-09-08 00:53 Kuna baadhi ya mapingamizi yanaashiria kufilisika kisiasa, hili la CUF ni mojawapo. Kama kweli CUF inataraji ushindi wa mezani basi sio Igunga kwa maana pingamizi lao linaihusisha na CCM. Ingekuwa ni CHADEMA peke yao ndio wanawekewa pingamizi, naamini Tendwa angepiga simu mara moja kutoa muongozo kwa msimamizi, lkn kilaza wa CUF amejichanganya kumjumuisha na mtoto wa baba mwenye nyumba.

Kwa upande mwingine nao CCM hawako nyuma. Naona polisi wameanza kutumika kama kawaida kusaidia kudhoofisha upinzani. Hivi kulikuwa na ubaya gani mtu kutoa neno kwa wasindikizaji wa msafara na kuwataka watawanyike? Siro kuwa makini kwa kuwa yawezekana ulipoambiwa usaidie kubeba mtoto ulikurupuka kukubali bila kuzingatia kuwa yawezekana mtoto unayeombwa kumbeba ni wa tembo.
Quote
 
aaaaaah . MOU inaniumiza Kichwa sana. kwani kwanini viongozi wetu wa kiislam hawakuwashtua wenzao BAKWATA kufunga na wao mkataba? na sisis tukawa tunakula bata gizani
Elimu ndogo, huwezi kuvaa vidotachi na kushinda umelala msikitini kutwa nzima, unategemea kuna akili itasalia hapo?
 
aaaah. na sisi Tunataka mapesa ya MOU. wasile peke yao
Sasa MoU inapatikana hapa JF au kuna sehemu yake husika? au inawezekana siku zote ni kazi ya kulalamika tu lakini ikifika jukumu la kuchukuwa hatuwa mbona hamuendi kwenye vyombo husika?

Hapa kuna ajenda ya siri, ukweli ni kwamba Viongozi wa kiislamu wanajuwa hawana cha kuingia mkataba na serikali ili kuwa na hiyo Mou sasa kinachofanyika ni kuwadanganya walioishia darasa la 4 kama Marelia Sugu kwamba waislamu tunaonewa!
Mbona Aga khan ni taasisi ya kiislamu lakini wameingia kwenye huo mkataba? sasa Bakwata ikiomba kuingia kwenye MoU SWALI NI MOJA TU WATASHIRIKIANA NA SERIKALI KUTOA HUDUMA GANI?
JAMANI SHULE MUHIMU, TUPELEKENI WATOTO ZETU SHULE.
 
Mwandishi Wetu

7 Sep 2011
Toleo na 202

  • Adaiwa kumwangukia ashirikishwe

KAMPENI za uchaguzi mdogo Jimbo la Igunga zinazinduliwa mwishoni mwa wiki huku kukiwa na taarifa kwamba kuna mgawanyiko ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) juu ya ushiriki wa mbunge wa zamani wa jimbo hilo, Rostam Aziz, Raia Mwemalimearifiwa.

Taarifa za ndani ya CCM zimethibitisha kwamba chama hicho kilimwomba rais mstaafu Benjamin Mkapa kuongoza kampeni hizo na kwamba hakijapata kutoa mwaliko kwa mwingine, japo taarifa za vyombo vya habari zimekuwa zikisema Mkapa angeungana na Aziz katika shughuli hiyo.

Ni utata huo unaoelezwa sasa kuwa umezua mvutano wa ndani, baadhi wakisema kwamba Aziz hajaalikwa na wengine wakishinikiza kwamba ashiriki hata kama yeye mwenyewe alikwishakutangaza kwamba ameacha kabisa siasa.

Wakati Mkapa akifungua kampeni za CCM, Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dk. Wilbroad Slaa, atazindua kampeni za CHADEMA na Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, atazindua kampeni za CUF.

Taarifa zilizopatikana tukienda mitamboni zinasema zimekuwapo jitihada za kutoka upande wa Aziz za kushawishi timu ya Mkapa imshirikishe kwenye kampeni hizo.

Lakini taarifa huru kutoka ndani ya Kamati Kuu ya CCM na watu walio karibu na Rais Jakaya Kikwete zinaeleza kuwa, Kamati Kuu haikuwahi kumwomba rasmi Rostam ashiriki kampeni hizo, hali ambayo imekuwa ikitajwa na watu waliokaribu naye kuwa imekuwa ikimsumbua.

Kwa muda mrefu, Rostam amekuwa akishiriki shughuli mbalimbali za CCM hasa za maandalizi ya uchaguzi na wakati mwingine amekuwa akihusika kwenye kamati za kutafuta fedha, lakini wakati huu, mambo yamekuwa kinyume kwake licha ya kwamba ndiye aliyekuwa Mbunge wa Igunga.

Kumbukumbu zinaonyesha kuwa amewahi hata kushiriki katika baadhi ya mikakati ya kampeni za mwaka 2000 za Benjamin Mkapa, na 2005, kamati ya kampeni za Jakaya Kikwete.

Taarifa za uhakika kutoka kwa baadhi ya wajumbe wa Kamati Kuu walioshiriki kikao cha mwisho cha chombo hicho hivi karibu, pamoja na baadhi ya wasaidizi wa Rais Kikwete, zinaeleza kuwa mbunge huyo wa zamani amekuwa akijitahidi kupata miadi na Kikwete bila mafanikio na ameelekeza matumaini yake kwa Mkapa sasa, ambaye ametangazwa kuongoza kampeni za CCM Igunga.

"Hakuna popote kwenye Kamati Kuu ambako Rostam ameombwa kushiriki kampeni za Igunga, tulishangaa kuona baadhi ya magazeti yakiandika hivyo kama vile habari hiyo imeratibiwa kwa taratibu na malengo maalumu.

"Tunajua Rostam amekuwa akifanya lobbying (ushawishi) kwa Ndugu Mkapa amshirikishe kwenye kampeni hizo. Sisi kama chama hatuna tamko rasmi la kikao tukimtaka ashiriki kampeni na kwa kweli chama kitaendelea kusimamia uamuzi wake wa vikao vya awali (Halmashauri Kuu-NEC) ukiwamo wa kujivua gamba," alisema mmoja wa wajumbe wa Kamati Kuu, aliyeshiriki kikao kilichomteua Mkapa kuzindua kampeni za CCM.

Lakini wakati mjumbe huyo akisema hayo, taarifa zaidi kwa watu waliokaribu na Rais Kikwete, wakiwamo baadhi ya wasaidizi wake, zinaeleza kuwa hakuna siku ambayo Rostam amekutana na Kikwete au Kikwete kutoa maelekezo kuwa Rostam ashiriki kampeni za Igunga, ingawa kumekuwapo na jitihada za kuhamasisha suala hilo kwa njia mbalimbali, ikiwamo kwa kutumia baadhi ya vyombo vya habari.

"Imedhihirika kuwa Rostam au watu wake wanaweza kucheza na vyombo vya habari na kujenga dhana yoyote wanayoamini itawasadia kwa mujibu wa mikakati yao, kama hili suala la kusema Kamati Kuu imemtaka aende Igunga ambalo si kweli.

"Wengine wanasema eti Rostam ameombwa hata na Rais Kikwete na amekutana naye. Si kweli, Rais hakuwahi kukutana na Rostam na wala hakuna chochote ambacho Rais ameelekeza kuhusu Rostam kwenda Igunga," alisema mmoja wa watu waliokaribu na Rais Kikwete.

Taarifa hizo zinaibuka katika wakati ambao tayari baadhi ya vyombo vya habari, takriban wiki mbili zilizopita, vikiwa vimeripoti kuwa Rostam ameombwa rasmi kushiriki kampeni za Igunga, licha ya uamuzi wa awali wa kumtaka ajivue madaraka yote ndani ya CCM, yeye pamoja na wenzake, Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa na Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge.

Kampeni za CCM jimboni Igunga zinatarajiwa kuzinduliwa na Mkapa Jumamosi (Septemba 10, 2011) ambapo atakuwa na jukumu la kumnadi mgombea wa chama hicho jimboni humo, Dk. Dalali Peter Kafumu, ambaye ndiye aliyekuwa Kamishna wa Madini katika Wizara ya Nishati na Madini.

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye amewahi kuzungumzia suala hilo akikiri kuwa CCM hakikuwahi kutoa mwaliko rasmi kwa Rostam, isipokuwa kwa Mkapa pekee na kwamba, yeyote ambaye ni mwanachama wa chama hicho anaruhusiwa kushiriki kampeni.

Moja ya magazeti yaliyoandika Rostam ameombwa na Kamati Kuu kushiriki kampeni lilimnukuu Nape akisema;

"Ukiachilia mbali watu kama Mzee Mkapa ambaye atakuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi, hatukupeleka mwaliko kwa mtu mmoja mmoja, ila tuliwaalika wanachama wetu kusaidia kampeni hizi, kwa hiyo Rostam akiwa mwana CCM ana haki ya kukipigia kampeni chama chake."

Uchaguzi wa Igunga unatarajiwa kufanyika Oktoba 2, mwaka huu, ambako mbali na mgombea huyo wa CCM, wagombea wengine ni pamoja na Moses Edward (TLP), Joseph Kashindye (CHADEMA), John Maguma (SAU) na Leonard Mahona (CUF).

CCM kwa sasa imekuwa katika mtihani mkubwa kutoka kwa wananchi baada ya kutangaza uamuzi wake wa kujivua gamba ambao unajumuisha wito wa kuwataka baadhi ya viongozi wake wenye tuhuma ukosefu wa maadili kujiuzulu nyadhifa zote walizonazo ndani ya chama hicho.

Msingi wa uamuazi huo ni hotuba ya Rais Jakaya Kikwete ambaye ni Mwenyekiti wa chama hicho, aliyoitoa wakati wa maadhimisho ya miaka 34 ya kuzaliwa kwa CCM, yaliyofanyika kitaifa mkoani Dodoma, Uwanja wa Jamhuri.

Katika hotuba hiyo, Kikwete alisema chama chake ni lazima kijitazame upya ili kurejesha imani ya wananchi na hasa katika suala la uadilifu wa viongozi wake.

Hotuba hiyo, ilifuatiwa na uamuzi wa kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, ambacho pamoja na maazimio mengine, kilifanya mabadiliko ya kiuongozi kwa kuiondoa Sekretariati iliyokuwa chini ya Katibu Mkuu, Yusuf Makamba na kuingiza Sekretariati inayoongozwa na Wilson Mukama.

Chama hicho pia kiliazimia viongozi wenye madaraka ya utendaji waachie madaraka mengine waliyonayo ndani ya Serikali. Hata hivyo, tangu uamuzi huo ufikiwe wa kujivua gamba, ni Rostam pekee ndiye amejiuzulu nyadhifa zake, huku wenzake, Lowassa na Chenge, wakibaki kimya, ingawa taarifa za hivi karibu zinaeleza kuwa; katika kikao chao na Pius Msekwa, anayesimamia mchakato wa kujivua gamba, Lowassa na Chenge, waliomba muda wa kutafakari zaidi, ingawa mwenzao Rostam aliwahi kuhitimisha tafakari yake na kujiuzulu.

Mara mwisho, CCM ilieleza kuwa suala hilo la kujivua gamba litahitimishwa kwenye kikao kijacho cha NEC ambacho kilitajwa kufanyika mwezi huu wa Septemba, wakati ambao kampeni za uchaguzi mdogo wa ubunge Igunga zitakuwa zinaendelea kabla ya upigaji kura mwanzoni mwa Oktoba, mwaka huu.

Wakati huohuo, mgombea wa ubunge jimbo la Igunga kwa tiketi ya CCM, Dk. Dalaly Peter Kafumu amerejesha fomu kwa msimamizi wa uchaguzi na kusema anao uhakika wa kutapata ushindi usio na shaka.

Akijibu maswali ya waandishi wa habari baada ya kurejesha fomu hizo ili kuteuliwa rasmi kuwa mgombea, Dk. Kafumu pia ametaja mikakati yake kuwa ni pamoja na kuifanya Igunga kuwa ya kisasa kimaendeleo.

Dk. Kafumu alisema, miongoni mwa atakayoyapa kipaumbele katika kuijenga Igunga ni uboreshaji wa huduma za maji, uboreshaji miundombinu ya barabara hadi vijijini ikiwemo inayounganisha Igunga na Manonga.

Aliahidi kusimamia ujenzi wa daraja la Mbutu kwa kusimamia upatikanaji wa fedha za mradi huo ambazo alisema anafahamu kuwa serikali imeshazitenga na kilichobaki ni usimamizi wa fedha hizo kufika Igunga.

Dk. Kafumu alisema, atasimamia kwa karibu kuhakikisha shule zinapata mahitaji muhimu na pia kusimamia uboreshaji wa kilimo cha pamba na ufugaji ili sekta hiyo ifanyike kisasa zaidi jimboni humu.

"Baadhi ya mambo haya yameshafanywa kwa kiasi chake na mbunge wetu aliyepita Rostam Aziz, basi nitahakikisha kuanzia pale alipoishia kuyaboresha zaidi na kuanzisha mapya ambayo itaifanya Igunga kupiga hatua ya kupigiwa mfano hapa nchini", alisema.

Boniface Meena na Geofrey Nyang’oro, Igunga

CHAMA cha Wananchi (CUF), kimewawekea pingamizi wagombea ubunge kupitia vyama vya Chadema na CCM kwa madai kuwa hawakurudisha fomu kwa kufuata kanuni na sheria za uchaguzi. Hata hivyo, akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana, Msimamizi

wa Uchaguzi, Magayane Protas alisema ametupilia mbali pingamizi hilo.“Mgombea wa CUF, Ndugu Mahona amewasilisha pingamizi dhidi ya wagombea wa Chadema na CCM akidai kuwa walirudisha fomu kinyume cha sheria. Lakini nimeangalia sheria inavyoeleza na kuona hawakufanya kosa lolote wakati wakirudisha fomu hivyo, nimelitupilia mbali pingamizi hilo.”

Pia alisema mgombea wa SAU, John Magid aliwasilisha pingamizi dhidi ya wagombea wa Chadema na CCM akidai kuwa si wanachama halali wa vyama hivyo kwa kuwa ni wafanyakazi wa Serikali. Akizungumzia madai hayo, Magayane alisema Magid alisahau kuwa kuna waraka namba 1 mwaka 2000 ambao unaruhusu mtumishi wa umma kugombea katika chama.

“Kwa bahati nzuri hawa wagombea wa Chadema na CCM walishaandika barua serikalini kuachia nafasi zao na barua zenyewe ni hizi hapa, hivyo ni halali wao kugombea,” alisema Magayane.

Alisema kuwa kutokana na kujiridhisha, ametupilia mbali pingamizi hilo pia. Hata hivyo, Magayane alisema kuwa kama walalamikaji hawajaridhishwa na uamuzi wake, wanaweza kukata rufaa ndani ya saa 24.

Alisema wagombea wa vyama vinane wamepitishwa kuwania ubunge wa jimbo hili ambao ni kutoka CCM, CUF, Chadema, Chausta, AFP, UPDP, SAU na DP.

Chadema kuzindua kampeni leo
Chadema kinatarajia kuzindua kampeni zake rasmi leo. Mkurugenzi wa Sera na Utafiti wa chama hicho, Waitara Mwita alisema kuwa watawapokea viongozi wa kitaifa kwa maandamano kuanzia saa 6:00 mchana ili kuelekea kwenye eneo la mkutano katika Uwanja wa Sokoine.

“Tutaanza maandamano yatakayoongozwa na Mwenyekiti, Freeman Mbowe na Katibu Mkuu, Dk Willibrod Slaa na wajumbe wa kamati kuu pamoja na wabunge na mkutano utaanza saa 8:00 mchana na kumalizika saa 12:00 jioni,” alisema

Polisi yavifungulia mashtaka Chadema, CUF

Jeshi la Polisi limefungua jalada la mashtaka dhidi ya vyama vya Chadema na CUF, kutokana na madai ya kukiuka taratibu za uchaguzi wakati wa urudishaji fomu za wagombea wao katika uchaguzi huo mdogo wa Jimbo la Igunga.
Mbali ya kufungua jalada hilo, jeshi hilo pia limetoa onyo kwa vyama hivyo kuhusu mabaunsa wao na kuwataka wahakikishe wanafanya ulinzi kwa kufuata utaratibu, sheria na kanuni zilizowekwa.

Mkuu wa Operesheni Maalumu wa Polisi, Simon Sirro alisema walifungua jalada dhidi ya Chadema akidai kwamba baada ya kumaliza kurudisha fomu walifanya mkutano wa hadhara kinyume cha sheria.

Juzi, mashabiki wa vyama vya Chadema na CUF walitunishiana misuli wakati wa urejeshaji fomu za wagombea wao kwenda Ofisi ya Tume ya Uchaguzi, hatua ambayo nusura isababishe ghasia na uvunjifu wa amani na baadaye Chadema kilifanya mkutano wa hadhara.

Sirro alisema: “Tumefungua madai hayo kama polisi dhidi ya Chadema kwani baada ya kumaliza kurudisha fomu, walifanya mkutano wa hadhara na nilikwenda kuwaambia hiyo si sawa,” alisema Sirro.
Alisema Mkurugenzi wa Oganaizesheni na Mafunzo wa Chadema, Kigaila Benson alihojiwa na polisi kuhusu tukio hilo hivyo maelezo yake yako polisi. Benson alikiri kukutana na polisi kuzungumzia suala la Chadema na CUF kuingilia msafara wao juzi.

Kigaila alisema katika mkutano huo aliwaambia polisi kuwa Chadema haikufanya mkutano, bali ilikuwa ikiwashukuru wananchi na kuwatawanya baada ya kumaliza kurudisha fomu na kurejea nao kwenye viwanja vya ofisi yao, vilivyopo katika Barabara ya Singida.

“Nilimweleza Sirro kuwa hatukufanya mkutano kwa kuwa kabla hatujapeleka fomu tulikuwa na watu wengi ofisini kwetu na tuliondoka nao kwenda kuchukua fomu na kurudi nao kisha tukawashukuru na kutawanyika,” alisema Benson.
Sirro alifafanua kuwa CUF imefunguliwa jalada la madai kutokana na kitendo chake cha kuingilia msafara wa Chadema wakati wa kurudisha fomu za mgombea wao juzi. Alisema kutokana na tukio hilo, Naibu Katibu Mkuu wa CUF, Julius Mtatiro alihojiwa na polisi.

“Tumefungua pia jalada dhidi ya CUF kuingilia msafara wa Chadema na mhamasishaji wa CUF Bwana Mtatiro, alihojiwa kuhusu kilichotokea jana (juzi),”alisema Sirro.

Alisema juzi aliviita vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2, mwaka huu na kuvitaka vifanye kampeni kwa amani kwa kuwa mbunge wa jimbo hilo hawezi kupatikana kwa vurugu.

“Wote ni viongozi hivyo lengo ni kufanya kampeni kwa amani na utulivu. Hatutegemei kupata mbunge kwa njia ya vurugu, bali kampeni ziwe za utulivu na amani na kuongeza: “Tuko nao muda wote wa kampeni wajue hilo.”
Juzi, Sirro aliwasili jimboni Igunga kwa ajili ya kuhakikisha kampeni za uchaguzi huo zinakwenda sawa na kuweka usalama hadi utakapokamilika.

Alisema jeshi la polisi limejipanga vyema kusimamia usalama katika uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2, mwaka huu.

“Tumejipanga vizuri na kazi inaendelea vizuri, nitakuwapo muda wote kwa kuwa ndiyo kazi yangu ila nikitoka mkuu wa FFU ndiye atakayekuwa akisimamia haya,” alisema Sirro.
mwisho

Chanzo: CUF yakwama kuvizuia CCM, Chadema Igunga
 
Watu WOTE WENYENAKILI MBONA WALISHAACHANA NA UPUPU UNAOTOKA HUKO SIKU NYINGI????? Ukitaka ujue nenda kaulize ma sellll

Mkuu nadhani kama ni mauzo ungelinganisha gazeti lenu Uhuru na mengineyo otherwise kama hicho ni kigezo basi gazeti lenu linaongoza kwa upupu Tanzania nzima.
 
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
Narudia tena, ningekuwa punguani ningewezaje kupata GPA ya 4.0?
<br />
<br />
Hatuna shida na GPA yako kaa nayo sisi haituhusu na hiyo GPA inaweza ikawa ya chuo chenu cha pale kivukoni haina msaada katika maisha ya kila siku ya mtanzania
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom