Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.
Wakuu,,Mwita na wengineo wa mlengo wake wanachofanya ktk kila thread ni kutupia vitu kuwatoa great thinkers kudadavua na kuchangia thread mama badala yake wanaanza kumshambulia yeye jambo ambalo anafanikiwa sana. Nadhani wanajamvi tuwe tuna m ignore na kuendelea kujikita katika mada/thread husika

Niliwahi kuandika kuwa Mwita25 ni kikatuni cha kupuuzwa tu!!

Ndio maana bajeti ya magamba kwa ajili ya uchaguzi huu wa igunga ni zaidi ya milioni mia nne, sasa naanza kujua matumizi ya pesa nyingi kiasi hicho.

Katika hili ngoja tusubiri habari za kutoka igunga tutajua nani kawekwa mfukoni na nani yuko huru. Na hapa ninasubiri kwa hamu sana kuona mwananchi watatoka vipi,hao wengine tushawazoea hakuna jipya, hata wasipotengewa bajeti wao ni watiifu siku zote.

pingamizi zote zimetupiliwa mbali na msimamizi wa uchaguzi. CUF(CCM-B) wana akili kama ya mnyama fulani aliyesababisha mods kumfungia mpambanaji wetu Daudi Mchambuzi.

Kama kweli zimetupiliwa mbali,ninaanza kukubali kwamba kuna watu wanatumia masaburi kufikiri na kutenda mambo yao.

Mara baada ya C.C.M kumteua Rais mstaafu B.W Mkapa kuongoza kampeni za Igunga.Kumeibuka mjadala ktk vyombo vya habari na ktk jamii na hapa Igunga ndio kumetia fora.Wana Igunga wamekuwa wakimjadili kila wakati Mkapa kana kwamba yeye ndio anagombea.Wananchi hapa Igunga kila kilinge vijana kwa wazee wanamkubali mkapa kwa kusema amefanya makubwa ktk awamu yake ukilinganisha na awamu ya sasa.Kati ya viongozi waliotumwa na vyama vyao kuzindua kampeni Igunga ni kiongozi mmoja tu ambaye anamvuto naye ni Mkapa.Vyombo vya habari na hasa magazeti yamekuwa mstari wa mbele kumjengea umaarufu mtu huyu hivyo watu kuacha kujadili Slaa na seif na kumjadili Mkapa.Watu hapa Igunga wanashangazwa na ukimya wa Mkapa na kupelekea kuwa na hamu ya kuhudhuria kampeni za CCM ili wasikilize kauli yake juu ya wanaomchafua.Ukweli ni mchungu na mimi naumia ila CCM wamelamba karata ya turufu.Maana hata watu wa Nzega na Ulambo nasikia fununu hapa kuwa watahudhuria uzinduzi wa kampeni za CCM hiyo j'mosi lengo kumsikiliza Mkapa hasa ukizingatia umahiri wake wa kuzungumza na kujenga hoja.Wadau tuwe makini na hali ya vyombo vya habari kumpa umaarufu Mkapa na kupelekea chama chetu kutojadiliwa sana kwa watu wa kada zote.Huu ndio ukweli najua baadhi mtapinga ila vyombo vya habari vinatuharibia.

Niliwahi kuandika kuwa Mwita25 ni kikatuni cha kupuuzwa tu!!

Ni kweli hata mimi niliisoma ile makala kwenye gazeti la Mwanahalisi, lakini unadhani una ushawishi mkubwa kiasi cha kuwaambia watu wanipuuze. Kwasababu kitendo chako cha kunitoa gazetini kimenipa umaarufu maradufu.

Narudia tena, ningekuwa punguani ningewezaje kupata GPA ya 4.0?

YA WAPI? fafanua kidogo KAKA! maana wanataka kukuonea hawa. GPA Yote hiyo af wakuite punguani? hawana hurumaa!

Wakuu, nimekuwa na mjadala mkali na jamaa wawili, watatu na wengine wana 'ukigogo' kiasi fulani ndani ya CCM. Dondoo zilizozua mjadala huo naziweka hapa chini kama maswali.

Sote tunaelewa na kufahamu kuwa Katibu Mwenezi CCM - Nape Nnauye alikuwa Igunga kwa ajili ya kuhamasisha na kuandaa taratibu za ufunguzi wa kampeni, kwa ajili ya uchaguzi mdogo wa jimbo la Igunga. Haikuwa siri, kwani picha na taarifa zipo, na hata Nape mwenyewe binafsi amethibitisha hilo.

Pia tunakumbuka kuwa katika kikao cha Kamati Kuu kilichopita, mojawapo ya maazimio ya kikao hicho ni kutoa tamko rasmi lililowazuia Nape na Chiligati kwenda Igunga na/au kushiriki shughuli za uchaguzi Igunga.

Hakuna kikao kingine cha Kamati Kuu kilichokaa na kutengua uamuzi huo, au kutoa tamko linalotengua tamko hilo la awali.

Mjadala unakuja.

Je, Nape kwa kwenda Igunga, amekaidi na kupuuza maamuzi ya Kamati Kuu?

Na kama anafanya alivyoagizwa na makao makuu (kwani sidhani kama Nape anaweza kuondoka mwenyewe tu kwenda hadi Igunga kivyake-vyake), je, ni mtendaji gani aliyeamua/aliyekaidi hivyo nje ya vikao halali vya Kamati Kuu ambavyo vilitoa uamuzi wa kumzuia Nape na Chiligati kwenda Igunga, na haijakaa tena kubadili uamuzi huo?

Nadhani ni vizuri ukizingatia kuwa tofauti na wengi wanavyoamini CCM si tena chama cha siasa bali ni mkusanyiko wa "opportunists" wa kimaisha na kisiasa ndiyo maana kwa mfano wabunge wengi wa CCM aidha wanakosekana Bungeni baada ya kulamba posho na wengine wanachapa tu usingizi. Pia CCM hawana mkakati wowote kisiasa ndiyo maana kwa mfano wanamtosa Rostam Aziz halafu tena wanampigia magoti.
Tatizo linaanzia kwa Mwenyekiti wao Vasco ambaye hana sifa yoyote wala uwezo wa kuongoza na ndiyo maana mtu kama Nape ana uhuru wa kufanya aonavyo yeye kuwa ni sahihi. Sasa kunapokosekana uongozi namna hiyo ni kwamba yeyote anayeona nafasi anajiamulia la kufanya; watu wenye final decision ndani ya CCM wako chungu tele kwa hiyo tusishangae na tunachokiona kuhusu Nape kwenda Igunga.

KWAKAWAIDA TAWALA ZINAZOANGUKA HUWA NA AINA HIYO YA VIASHIRIA,

Tawala zinazopenda kuandikwa vizuri hakika hazina miaka mingi yakuishi, tawala ambazo hazipendi kuambiwa ukweli , daima hupongezwa kwa kilemba cha ukoka, hudhani mambo yanakwenda vyema kumbe yanaharibika.

NI VYEMA KWA USTAWI WA TAIFA CCM WAKIENDELEA KUHONGA MAANA ITAHARAKISHA MAGEUZI NDANI YA TAIFA HILI.

(na nidhamu ya woga ndo ina2toka,na 2taanza na wanaohongwa ili wapndishe ukweli,just weit n c!

Ninachoweza kusema is up to them kama kamati kuu iliona hakuna muhimu wa nape kwenda na kabla ya hata mwezi kupita wanavunja waliyopanga sisi wengine tunaona it is lack of progressive plan chama kinatapatapa.

Kwa mujibu wa waraka huo magazeti yatakayotumika kwa mkakati huo ni mwananchi,majira,nipashe,jambo leo,habari leo na mtanzania..

Na Tanzania Daima pia, tena mshiko wao nimepewa mimi nitaupeleka kesho pale Bills mitaa ya saa nne na nusu.

Nadhani kama hivyo ndivyo ni mwendelezo tu wa ccm na mambo yake,kusema hili wakimaanisha lile. so hakuna kitu!

Paper ya Mabwege! Nimepitia hiyo bajeti sijaona uhalali wa kusema ni mkakati wa CCM! Mwanahalisi ni gazeti la umbeya na huangalia namna ya kuchota akili za watanzania kwa wakati! Kumbukeni jinsi lilivyo mzushiaa Zitto! Kwanza kubenea hana maadili ya Kitanzania kwani ni Sio LIZIKI! Na anaendeleaa hadi kesho kukunwa mgongo! Naamanisha kubenea ni shoga! Liko wazi!

"Unajifurahisha mwenyewe ila ukweli unaujua moyoni mwako.Naheshimu mtu akiwa kazini najua uko kazini.
Wewe ambaye ujifurahishi ebu niambie Jeet Patel na Manji, wakili wao ni nani kama sio Mabere Marando, wewe ni CDM-Kata unafuata mkumbo tu huna unalolijua zaidi ya kuwa mateka wa CDM

Watu WOTE WENYENAKILI MBONA WALISHAACHANA NA UPUPU UNAOTOKA HUKO SIKU NYINGI????? Ukitaka ujue nenda kaulize ma sellll

khaaa!!!kumbe ni gazeti la vilaza tupu...kweli jembe gazeti loooote ni fulll upupu

Kiungani,
ILI TUSIONE NI MAJUNGU LETE HAPA HUO WARAKA WALIOAMUA KAMATI KUU YA CCM ILI TUJUE SI MAJUNGU.

UOTE=Kiungani;2464613]Wakuu, nimekuwa na mjadala mkali na jamaa wawili, watatu na wengine wana 'ukigogo' kiasi fulani ndani ya CCM. Dondoo zilizozua mjadala huo naziweka hapa chini kama maswali.

Sote tunaelewa na kufahamu kuwa Katibu Mwenezi CCM - Nape Nnauye alikuwa Igunga kwa ajili ya kuhamasisha na kuandaa taratibu za ufunguzi wa kampeni, kwa ajili ya uchaguzi mdogo wa jimbo la Igunga. Haikuwa siri, kwani picha na taarifa zipo, na hata Nape mwenyewe binafsi amethibitisha hilo.

Pia tunakumbuka kuwa katika kikao cha Kamati Kuu kilichopita, mojawapo ya maazimio ya kikao hicho ni kutoa tamko rasmi lililowazuia Nape na Chiligati kwenda Igunga na/au kushiriki shughuli za uchaguzi Igunga.

Hakuna kikao kingine cha Kamati Kuu kilichokaa na kutengua uamuzi huo, au kutoa tamko linalotengua tamko hilo la awali.

Mjadala unakuja.

Je, Nape kwa kwenda Igunga, amekaidi na kupuuza maamuzi ya Kamati Kuu?

Na kama anafanya alivyoagizwa na makao makuu (kwani sidhani kama Nape anaweza kuondoka mwenyewe tu kwenda hadi Igunga kivyake-vyake), je, ni mtendaji gani aliyeamua/aliyekaidi hivyo nje ya vikao halali vya Kamati Kuu ambavyo vilitoa uamuzi wa kumzuia Nape na Chiligati kwenda Igunga, na haijakaa tena kubadili uamuzi huo?[/QUOTE]

Mwacheni aende jamani, tumlipue kisawa sawa Igunga. Ndo kifo cha kumsukuma mlevi korongoni

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom