Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.
Labda katishiwa asipoenda watafumua maufisadi yake so imebidi awe mpole c unajua zake JK kumtumia kila mtu pale atakapo la umeenda tofauti nae kisasi!

Hivi ile kesi ya Mchungaji Mtikila aliyoshtakiwa kwa kumwita huyu Che Nkapa ni raia wa Msumbiji iliishia wapi. Kwa ukimya wa kesi hii ni kweli huyu dingi si raia maana kwa jinsi alivyoiuza nchi yetu kisha kumkabidhi mzee wa pamba za kuhongwa aje amalizie hakuna ubishi huyu ni raia wa nchi nyingine kabisa.

Wewe 'mrisya' nini? Ila ujue kuwa mang'ana ghasarikire Mura. Na kumbuka 'bhitta ni bhitta' na nyie warisya will have to face the whip.

Hata kwenye kampeni za mwaka jana watu walijaza sana mikutano yenu lakini kilichofuata ni aibu kwenye matokeo. Kama wingi wa watu ndiyo ushindi, basi hongereni sana. Lakini ninachojua mimi watanzania wengi huwa wanafuata na wanachagua sera

Yaani picha za mwaka jana ndiyo unazijaza hapa?

Unajua wasanii ambao walikuwa wanatumiwa na chama cha magamba ili kuvutia watu wajae kwenye kampeni zao wamegoma, hivyo wakaona ni vyema kumtumia huyu mzee kutokana na umaarufu wake watu watajaa kwenye mikutano ili kumuona, kwa kufanya hivyo watajazwa sera. CHAMA HOYEEE!

Yaani picha za mwaka jana ndiyo unazijaza hapa?
unadhani ni habari za mwaka jana, hahhaaaha pole , umesahau Juzi kulikua na msiba wa Roli lililobeba wanaccm lililoua mtoto, wewe uko wapi, uko China ama ?

Tinga tinga lilokosa grease,tinga tinga litafanya kazi gani jamani halina hata spear mmh ,

ingekuwa huku kwetu mnaenda na mabango ya kumdai kwa ufisadi alioufanya akiwa ikulu

Tukiachilia mbali hao waliotumwa na Nape sidhani kama mtanzania mwenye akili za kawaida anaweza kusema chama cha Magamba kinastahili kupewa hata cheo cha ubalozi wa nyumba kumikumi.
Mliotumwa na magamba tunawatakia kazi njema ila mjue one day issue hii itakula kwenu.
WanaIgunga kamata hiyo Kapa piga chini na Kufumu yake tuletee jembe jingine bungeni tufanye kazi za wananchi tukomboe nchi yetu.

Binafsi nashukuru sana mwanajf kwa kututumia picha hizi maana zinatoa ukweli ulivyo tofauti na washabiki wa magamba wanaotumia baadhi ya vyombo vya habari kuongea uongo kwa wananchi kuwa CDM Igunga imedorola. Hapa tumeona watu nyomi na wanonekana kuwa na hamu kweli ya kubadili maisha yao , Yaani, from deceleration to acceleration. Nawapongeza sana wanaigunga kwa kuchagua kuishi.

Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…