Picha na 1 ni WANAMAGAMBA hao wanamsubiri kumpokea MKAPA ambaye amewasili leo kwa mapokezi hafifu, kuhusu Jukwaa ni kupenda au kutopenda ni uamuzi wako, kuhusu Vijana c kweli kuwa Vijana hawapigi kura kwani ukifuatilia mwaka jana Vijana wengi walijitokeza kupiga kura jua moja hii inajulisha kuwa ZAMA CCM NDIO KWANZA NDIO ZINAZAMAkwa kuwa na wazee kama ulivyona ili hali ZAMA ZA CHADEMA KUSHIKS HATAMU ZIMEKARIBIA kwa kuwa na vijana kama ulivyoona.
baada ya jana chadema kuuteka mji wa igunga na ccm kujikuta kwenye wakati mgumu leo wameshindwa kuzindua kampeni kama walivyotangaza na kufanya maandalizi hapo awali na hii ni dalili kuwa wamejua moto uliowashwa jana ni mkubwa mno.
Sasa wameamua kuwa wataenda kuzindulia kampeni zao kijiji kinaitwa choma na hiki kipo mpakani na nzega , inawezekana wanataka wabebe watu kwa malori siku hiyo na uzinduzi sio kesho wala kesho kutwa .
Nawapa taarifa hiyo , hadi baadae.

The story is purely apocryphal although the booboisie might find it veracious and some of ninnyhammers will even dare to award it many thanks. The reality is CCM have landed Igunga by storm, the crowd was astonishing and jubilant populace waved the party's flags as a clear harbinger of, as usual, a landslide victory.

Mkuu usipoteze muda wako kubishana na hawa mende na panzi Endelea na kazi mimi nawatosha tu mkuu.
Chadema wakichukua Igunga mimi nahama mji narudi kijijini Komuge.
Unajua wasanii ambao walikuwa wanatumiwa na chama cha magamba ili kuvutia watu wajae kwenye kampeni zao wamegoma, hivyo wakaona ni vyema kumtumia huyu mzee kutokana na umaarufu wake
Dear Comrade Nape Nnauye
You know what, you are doing a commendable job for your party...so please don't be discouraged by some of the negative messages against your party and yourself. Honestly, you are better off and of course you deserve it! So please keep it up!
I am in Igunga right now, I tell you what, Dr. Kafumu is at the PEAK! Mwl. Kashindye isn't that much composed and lacks both public political speaking skills and confidence. Truly CDM is up there....but their political contender is much much down......Unless miracles happen......and he is not that much strong despite the CDM's top leadership back-up!
Please, note that I am neither a CCM nor CDM or any other party.....just an indpendent consultant on a different assignment based in Igunga until October 4, 2011.
Cheers and keep well!
KWANI UNAPATA NINI KUTOA TAARIFA ZA UONGO KAMA HIZII? shame on you

Na haya yote ni matunda ya CCMHata Chama cha Demokrasia ya Maandamano wamefurahia kutembea kwa lami hadi Igunga!
Haya ndo baadhi ya mambo yanayonifanyaga naona kwamba mwisho wa CCM umekaribia....Kiongozi unatakiwa kujibu hoja kwa hoja ...otherwise usije humu unaweza kudondosha taulo mbele ya watoto

Nape amefurahi sana, sasa subiri zawadi ya chupi ya njano na kijani, fulana na khanga