figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Gazeti la mwananchi limeeleza kwa kirefu leo kuhusu maandalizi makubwa yaliyofanywa na ccm jana kuhusu kufanikisha uzinduzi wa mgombea wao leo.Waandishi wa gazeti hilo wameenda mbali zaidi na kutabiri mkutano wa ccm leo utavunja rekodi ya mikutano yote kuwahi kufanywa ktk uwanja wa sokoine.Kama vile haitoshi waandishi wa gazeti pendwa la mwananchi pia wamerudia taarifa ya mapokezi ya mkapa juzi ambapo wamesema alilakiwa na umati mkubwa wa watu kuwahi kushuhudiwa.Source habari kuu Mwananchi leo.
ccm mtavunja rekodi zote lakini siyo rekodi ya list of shame.mia
ni kweli gazeti hilo limeandika hivyo. sasa unatakaje??
kuandikwa hivyo na gazeti ndo faraja yenu ninyi ccm, wengine faraja yetu ni kuona tunaungwa mkono live live na watu maelf na sio kwa kupika propaganda.
kama ni hivi mbon hukuandika habari ya gazeti la mtanzania daima kua chadema imeiumbua ccm igunga??
ua just a walking dead body, you are waiting for your fall.
hiki kizazi hatuwataki na hamtaweza kutulazimisha tuwatake.
tunamatatizo makubwa sana kwenye mifumo ya vyombo vyetu vya habari. Chadema wangekuwa makini yale maandamano yangeendana na kuchangisha fedha kwa ajili ya uanzishaji wa vyombo vya habari.
what goes around comes around.mwanahalis wameshatueleza na ile nakala ya dokezo wanayo.sasa ni dhahir shahil na waz kwamba kwa wiki tatu zijazo wapenz wa magazet machache makin itatulazim tuwe na subira turudi kule tulikotoka then baada ya 2 oct tutaanza kurud mstalini. Pole watz.
hayawi hayawi sasa yamekuwa
Ccm leo siku ya tarehe 10/sep/2011 inategemea kuzinduwa kampani ya chama chao juu ya uchaguzi wa ubunge kwa kiti kilichoachwa na RA
Inasemekana Mzee Mkapa ndiye atakaye unguruma na kuamsha hisia za wana igunga
vipi kuhusu vyama vingine yaani CDM na CUF?
Mkutano wa ccm leo unaweza kweli kujaza watu.lkn nina hakika si watu wanaokuja voluntarily bali baada ya kupewa bakshishi na wengine kusombwa.unajua kilichokuwa kinafanyika jana ile hamasisha haikuwa ya hivihivi. so umati kuwa mkubwa leo c kikwazo cha kuelekea mabadiliko
<br />Chama cha demokrasia ya maandamano mbona mnapepeta mdomo sana kama mabinti wa saloon! Mda wa kazi huu sio maneno tena,kutabiri mambo kwa kutumia makalio ni ujinga!