Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.
Gazeti la mwananchi limeeleza kwa kirefu leo kuhusu maandalizi makubwa yaliyofanywa na ccm jana kuhusu kufanikisha uzinduzi wa mgombea wao leo.Waandishi wa gazeti hilo wameenda mbali zaidi na kutabiri mkutano wa ccm leo utavunja rekodi ya mikutano yote kuwahi kufanywa ktk uwanja wa sokoine.Kama vile haitoshi waandishi wa gazeti pendwa la mwananchi pia wamerudia taarifa ya mapokezi ya mkapa juzi ambapo wamesema alilakiwa na umati mkubwa wa watu kuwahi kushuhudiwa.Source habari kuu Mwananchi leo.

CCM kuvunja rekodi ya CHADEMA ni kitu kilichotarajiwa, kuna habari tulizipata tokea juzi kuwa yapo Malori zaidi ya 100 yameandaliwa kuwabeba watu kutoka nzega, singida na iramba.
Taarifa zimetanabaisha kuwa ugawaji wa khanga, T-shirt na kofia kama kawaida, watakao toka nje ya Igunga watapewa posho za kuhudhuria. kweli pesa za walipa kodi zina kazi nyingi sana.
 
na Gazeti hilo la mwananchi haikuishia kusema tu makada wa ccm wasaka wapambe mitaani kwa ajili ya kushiriki Uzinduzi wake wa Kampeni, baadhi ya makada hao ni hawa katika picha hii
305725_219111744811969_100001394361466_661647_911392601_n.jpg

sasa mbona wengi nawaona watoto? au na wao wanaruhusiwa kupiga kura?
angalia ya chadema hapa chini.
updated:
attachment.php

 
jamani, sisi tulioko opposition tupunguze fanatacism zizizokuwa na maana. tunataka kuwa kama wana-ccm bana??

to me, mwananchi is one of the few papers ambazo zinaandika credible and unbiased news.

mathalani...jana wali-cover vizuri sana story ya uzinduzi wa kampeni ya chadema...it was a well balanced story.
sasa kuna ubaya gani kwao kuandika walichokiona jana kuhusu ccm (ambacho ni ukweli)??

tuwaache akina tz daima na uhuru waendelee kuwa propaganda machinery za vyama vyao, huku tukiwaacha akina mwananchi watupe balanced stories...
 
Leo ndio tutajua kuna muungano au lah, kama zanziba ni sehemu ya tanzania na igunga ni sehemu ya tanzania.. Kampen lazma wasogeze mbele uzinduzi na hii gundu kwa chama
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Leo kwa ccm ni kipimo cha kutuonyesha kweli msiba uko nchi jirani au uko Tanzania,hat hivyo miaka hamsini ya uhuru hatujawa tu na mbinu mbadala wa kuwasiliana na kuokoa maisha ya watu pindi wanapopata ajali za majini?kwani pigo la MV Bukoba hatujifunza kitu?lakini kweli chama chetu kimechoka kwani ndicho kinachopanga safu ya uongozi,kwani tulikuwa na Richmond na bado haikuwa fundisho leo tene tuko kwenye mgawo,duuh...sasa wanaosafiri kutumia vyombo vy majini wataendelea kuzama mpaka lini?walau tu mtuambie ni wengi kiasi gani waliofariki,msitufiche
 
Labda mmewasahau wana magamba wameona maji yako shingoni wameamua kutoa kafara raia wa nchi jirani.
 
Bwana wee mwandishi alikuwa anaueleza umma kwamba hata kama kutakuwa na uwingi wa watu lakini ni watu wameandaliwa sio wale waliojitokeza wenyewe kwa hiari yao
305725_219111744811969_100001394361466_661647_911392601_n.jpg
 
Kiitakuwa kipimo cha kutosha kuona kama kweli watazindua kampeni huku tukiwa na msiba mkubwa wa kitaifa

JMT=Tanganyika +Zanzibar

Nawakumbusha tu!
 
Hii urgent call for all doctors and nurses to assist with the ZnZ Boat Accident mbona inatatanisha kwa habari nilizozipata kutoka kwa doctor alomaliza MD hivi juzi hapo muhimbili anadai walikuwa wameshaanza kukusanyana na kujiandikisha lakini Mkurugenzi kasema si suala la muungano labda wanzanzibar mpaka wawaombe,labda niliweke mezani wakuu mjaribu kutafuta information zaidi ya chanzo changu tujue ukweli wa jambo hili.
 
hili sishangai,waislamu wabinafsi sana...ikianza vita ya dini nchi hii itakuwa imeanzishwa na waislam,wakati mwingine huwa napita mwenge,mabibo mabwawa ya maji machafu kule au magomeni,nakuta na vipaza sauti vyao wanaongea vibaya sana kuhusu wakristo..nafikiri uvumilivu ukiwashinda wakristo patakuwa hapatoshi..ni upuuzi huu,na tatizo ni kukosa maarifa na kukosa kazi pia..Serekali isipokuwa makini patachimbika siku sio nyingi
 
sasa mbona wengi nawaona watoto? au na wao wanaruhusiwa kupiga kura?
angalia ya chadema hapa chini.
updated:
attachment.php


.....and infact ukisoma kwa makini mwananchi la leo tunaweza kusema kuwa wako sarcastic sana kwa ccm kwenye toleo lake la leo:

1. wameandika eti ccm wanatafuta wapambe kwa ajili ya mkutano wa kampeni wa leo.....(which is a fact)
2. wametoa picha za watoto ambao siyo eligible voters eti ndiyo wanaowatafuta hao wa wapambe..which is another fact!!

so, mi sioni grounds zo zote za mtu kuwa-suspect mwananchi kwa toleo lao la leo.
 
CCM kwa siasa za maji taka na fitna tu hawajambo,lakini hawatubabaishi wala hawatutishi mwisho wao unakaribia.
 
Kijana ndani ya chama kizee,mwambie MKAPA katika uzinduzi wa kampeni zake huko Igunga iwe kijijini au town awape wana wa igunga majibu ya maswali yafuatayo:
1.Ni wakina nani walio HUJUMU MGODI WA MAKAA YA MAWE kiwila mkoani mbeya enzi za utawala wake?
2.kwanini alishindwa kuidhibiti wizi wa EPA kaitka enzi ya utawala wake?na awataje WAIZI wote hadharani na hukumu zilichukuliwa juu yao?
3.Hawa ambie wana wa igunga kwanini hakuwatimizia ahadi za maendeleo yao ktk enzi ya utawala wake?
4.Wamewafanyia nini wana wa igunga kwa maisha yao ya sasa mpaka kitakachoshawishi wawachague?je,sukali kuuzwa kilo 1 shilingi 2500/=?je,lita 1 ya mafuta ya taa kuuzwa 2400?je,matatizo ya umeme,maji,barabara,huduma duni za afya na elimu na umaskini ndio utakao washawishi wana wa igunga wawachague?
Kama anajihamijni aende na majibu sahihi na ya kweli kama hajihamini katika hili hasiende kwani bado anayo heshima kubwa.KWA KIFUPI ASITAFUTE AIBU NA ROSTAM AMBAYE ULIMPIGIA KELELE KUWA NI9 FISADI.tuonane 2015.
 
katika ulingo wa siasa TZ bado sana, tupo nyuma, hasa vijijini watu hawajui kuwa vyama vyote vinahaki ya kuwatumikia waTZ

Ni hatari sana kwa viongozi wa dini kujihusisha na siasa 100% kwani ndani ya watu wanao waongoza wanaitikadi tofauti
 
CCM inavuja, ccm inatoboka, ccm inakufa, ccm inawenyewe na wenyewe ni wadokozi, mafisadi , wasioelemika, wasiojiheshimu na mafukara waliofukarishwa hadi ubongo
 
Yaani hapa naona malori makubwa yanaleta watu toka sehemu mbalimbali, kuja kuhudhuria kampeni zao CCM wananchi hapa Igunga wanamsemo wao sasa usemao.‎"UJINGA NI KURUDIA KOSA PINDI UNAPOPEWA NAFASI YA KUJISAHIHISHA"(Kauli ya wazee na vijana+mama kutoka IGUNGA.
CDM wanaweza kushinda iwapo CCM aka mafisadi wasipochakachua
Akina Toma tupo wengi hapa,John lazima uutuwekee picha,na hesabu ya malori yanayoingia bila hivyo hii haitakuwa habari kamili
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom