Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.
Tunasubiri mtupatie taarifa za uzinduzi wa kampeni...
 

asante kwa taarifa mkuu, vipi mahudhurio ya watu hapo? ikiwezekana tuwekee picha. maana tunaambiwa wengi ni watoto wa shule za msingi ndio wamejazana hapo.
 
asante kwa taarifa mkuu, vipi mahudhurio ya watu hapo? ikiwezekana tuwekee picha. maana tunaambiwa wengi ni watoto wa shule za msingi ndio wamejazana hapo.

jamaa maji yamewafika shingoni,,hivi lazima wapeleke wakina masanja??tangu lini masanja akawa mwanasiasa??hawawezi kupiga kavukavu kama cdm?
 
crap za ccm......meeeeeeen, yaan kwa uchaguzi mdogo BWM heshma yake iko zerooooooooo......kwa nn hakukataaaaa??!!!! aje huku kusin tuendeleze kusini yetuuuuuuuu.......
 
Tunaomba uongozi unaoratibu shughuli za kampeni chadema Igunga kutujuza kwanini mwanasiasa mahiri na naibu katibu mkuu bara zitto kabwe hakuhudhuria kwenye uzinduzi wa kampeni.Hii inatutia mashaka vijana na wananchi kwa ujumla kwa sababu viongozi wote wakuu walihudhuria.Naomba kuwasilisha.
 
<br />
<br />
Unapata faida gani kuleta habari ya uongo? Shame On You!
 
HATA MI NIPO HUKU CCM wamefulia hawana chao hapa wamebeba watu na malori kutuka wilaya za jirani.
 
Mraaa hebu tupe basi version yako yenye ukweli pamoja picha mbali mbali za kuthibitisha vinginevyo. Ikiwezekana kailete kwa KUDHUNGU ile nzuri nzuri ile.

<br />
<br />
Unapata faida gani kuleta habari ya uongo? Shame On You!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…