kweli nyie ni kama chama chenu, bado hamjakomaa kisiasa.
Uwingi wa watu ni ishara kuwa ccm watashinda kwa ushindi wa kimbunga ccm oyeeeee
haya sherlock holmes.historia huwa haifutiki, inabaki vichwani mwa wengi walio weledi.
1. Chadema hawana historia ya kumwagia watu tindikali ccm wanayo historia hiyo. Kumbuka baada ya kujua kuwa waandishi wa mwanahalisi ni mwiba kwa ccm, walihujumiwa kwa kumwagiwa tindikali usoni ili wasiwe na uwezo wa kusoma na kuandika tena. Mungu mkubwa aliwanusuru japo mmoja mpaka leo amekuwa mtu wa mawani.
2. Ili ubaini nani alimwaga hiyo sumu, fikiria mazingira ilipomwagwa, mda na mahali. Ukufuatilia hayo utabaini kuwa ni mchezo uliopangwa kufanyika na kuratibiwa vizuri. Cjajua ilikuwa saa ngapi, but taaluma yangu ya upelelezi inanisukuma kuamini ilikuwa usiku tena watu wamelala.
Hizi hadithi za udaku usilete hapa, peleka kwenye kijiwe cha kahawa au kilabuni.Wakuu nimepata habari toka ndugu yangu ambaye yuko Igunga kuwa yule mbunge Wa Iramba magharibi Mwigulu alikutana na baadhi ya wachungaji wiki mbili kabla ya kuanza kampeni na kuwaahidi pikipiki pia jumapili moja alienda kanisa fulani maarufu hapo Igunga na kutoa milioni moja Kama sadaka ya kutangaza mbele ya kanisa pia kawaahidi wanakwaya kiasi fulani cha pesa.
Wakuu je hiyo si rushwa?
Naomba takukuru wafuatilie hilo kwa nini asiende nyakati zingine aende wakati Wa kampeni?
Kama hamuamini futilieni kwenye makanisa mtapata habari kamili.
<br />
<br />
Wanaangalia ze commedy tu hapo c unajua kasafirishwa bure halafu wamepewa magunia ya deki (t-shirt) bure kwanini wasije?
Najiuliza ni lini CCM wataacha kutoa kofia, t shirt na kanga kwa kina mama, inabidi tuondoke katika dhana hii ya kampeni.