Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.
Baada ya kutoa hayo maneno alishangiliwa. Kwanini hawakumzomea ili ajue kosa lake pale pale? Watanzania tumezidi unafiki.
Hilo ni bonge la dharau, lina maswali mengi sana. Ina maana vigezo alivyotumia kumpata mkewe ndivyo hivyohvyo avitumie kwenu. Atakavyomfanyia mkewe same applied kwenu.
Ni dharau kubwa.
 
kweli nyie ni kama chama chenu, bado hamjakomaa kisiasa.

hujui ulisemalo nakupa pole sana we ambaye unaipenda ccm wkt haijakusaidia chochote pamoja na kwamba wameshika hatamu kwa miongo kumi. Kama wewe ni kuadi wa ccm, utakuwa umefaidi matunda ya ufisadi wa ccm lakini kufaidi kwako kumeenda sambamba na kuufukarisha umma wa mtanzania unaonyimwa hata haki ya kupata elimu, matibabu na makazi bora.
 
Wakuu kwa uzoefu wangu wa picha na mikutano ya Vyama,mimi sioni umati wowote hapa kwenye picha hizi. Mpiga picha ametumia utaalamu kuonyesha kusanyiko kubwa lakini in reality watu ni wachache sana.

CCM inaprint kadi za Chadema na kuwapa vijana waonekane wanarudisha kadi. Hizi ni siasa za zamani kabisa na hazitaisaidia CCM.

Mtaji wao upo kwenye kuiba kura ndio maana wanafanya kila waezalo kuonyesha kuwa wanakubalika ili kuhalalisha wizi wa kura.

Chadema wakisimama kidete mbinu hizi chafu hazitafanikiwa na Chadema wataibuka kidedea.

Adui pekee wa Chadema hapa si CCM ni CUf kwani wao ndio wata divide kura na kuwapa CCM ushindi.
 
Hivi wenyeji wa Igunga ni wangapi kwenye umati huo ukilinganisha na idadi ya wana-CCM waliolazimika kusafirishwa kwa mi-lori kutoka mikoa mbalimbali hapa nchini????????????????

Uwingi wa watu ni ishara kuwa ccm watashinda kwa ushindi wa kimbunga ccm oyeeeee
 
historia huwa haifutiki, inabaki vichwani mwa wengi walio weledi.

1. Chadema hawana historia ya kumwagia watu tindikali ccm wanayo historia hiyo. Kumbuka baada ya kujua kuwa waandishi wa mwanahalisi ni mwiba kwa ccm, walihujumiwa kwa kumwagiwa tindikali usoni ili wasiwe na uwezo wa kusoma na kuandika tena. Mungu mkubwa aliwanusuru japo mmoja mpaka leo amekuwa mtu wa mawani.

2. Ili ubaini nani alimwaga hiyo sumu, fikiria mazingira ilipomwagwa, mda na mahali. Ukufuatilia hayo utabaini kuwa ni mchezo uliopangwa kufanyika na kuratibiwa vizuri. Cjajua ilikuwa saa ngapi, but taaluma yangu ya upelelezi inanisukuma kuamini ilikuwa usiku tena watu wamelala.
haya sherlock holmes.
 
Nilichokiona kwenye picha hizo:
Picha ya kwanza:
1. Mgombea aliyekata tamaa akilazimishwa kurejesha matumaini

Picha ya pili:
1. Wananchi walichoshwa na chama kilichopo mbele yao wakijifanya kusikiliza kinachoongelewa lakini kinaingilia sikio la kulia na kutokea kushoto.
2. Wananchi wakigoma kushangilia, ukiacha mikono takriban mitano ya akina mama waliohongwa kanga na buku 5.
3. Kijana aliyelipwa kuhamasisha akijitahidi kumaliza pumzi zake kupuliza vuvuzela bila kupata sapoti yoyote.
4. Watu waliokata tamaa wakijisemea mioyoni: "Bwabwajeni tu, safari hii hampati kitu, mmetudanganya sana".
5. Watu ambao unaweza ukadhani ni umati lakini si wengi kiidadi kwani wamebanana katika sehemu ndogo.
6. Malori yaliyoleta wananchi hao kutoka wilaya jirani yakiwa yamepaki kusubiri kuwarudisha yalipowatoa.
Picha hii inatoa taswira kubwa kuwa katika "umati" huo, ccm hawatapata hata 10% ya kura za wananchi hao (Angalia vizuri na utafakari).

Picha ya tatu:
1. Waganga njaa wakiendelea kujikomba na kujipa matumaini kuwa huenda siku moja "watakumbukwa", "hata John Komba alianza hivyo".

Picha ya nne:
1. Vijana waliolipwa ujira "wakirudisha kadi" ambazo wao si wanachama wake. Kadi zimepatikana kwa njia ambazo wanazijua waliowapa.

Picha ya tano:
1. Mtu aliyekuwa amekata tamaa akijipa matumaini kuwa sasa ameanza kazi.

Picha ya sita na ya saba:
1. Meza kuu ikiwa imekata tamaa kutokana na hali ilivyokuwa ikiendelea
2. RA akionekana wazi kuwa amelazimishwa na hayupo hapo kwa ridhaa yake.

Picha ya nane:
1. "Walianza kwenye udini, na sasa ukabila". Wanachojali wao ni kushinda kwa namna yoyote ile, hawaangalii madhara ya kile wanachosema au kufanya. Wanatupeleka kubaya! Tuwakatae!
 
Hawa Ccm watashinda kimjinimjini Kama kawaida Yao. Siunaona kwenye kampeni wanakuletea mpaka the comedy usanii mtupu siasa za bongo na njaa ya jamii yetu
 
PESAMBILI MRAMBA (aliyekua waziri wa fedha na mbunge wa rombo) kwenye campen 2010 alisema "HAKUNA MWANAMKE WA KICHAGA ANAYEWEZA KUZAA KIONGOZI".

Wamama wa kichaga waligundua kuwa hilo ni zaid ya tusi kwani walichukia sana na kwenye kura walimuadhibu vibaya sana. SASA SIJUI KWA WANAIGUNGA WAO WAICHUKULIAJE KAULI HIYO!!
 
Jimbo la Igunga hakika bado ni mali ya CCM kwa asilimia 80% na kuna watu walisema oooooooooooh Rostam awezi kwenda kupiga kampeni tukawaambia kuwa kama sio CCM huyo Rostam aaache kwenda aone kilichomnyoa kanga manyoa,kaenda tena kwa adabu,kuna mdau alimuona airport akatuletea taarifa wana JF kuwa kamuona RA lakini akasema kamuona kama yuko desparate,inavyoonekana alikuwa akisumbuliwa na kuchelewa kwa ndege, pata picha ikiwa atachelewa kisha mkutano uliofunguliwa na Mkapa ukaanza ajafika CCM watamuelewaje, wataona alifanya makusudi na kumbe alikuwa kusudio lake bali ni kuchelewa kwa usafiri wenyewe.

Hao ndio CHAMA CHA MAPINDUZI, Wazee wa Mapinduzi ukiwaelewa watakulea na kukutetea,lakini ukiwaletea ukauzu wao ndio kauzu zaidi,wazee wa diplomasia kwa aliye mstaarabu lakini watemi kwa aliye na kiburi.

Wamebaki wawili,hakika ukiisha uchanguzi wa Igunga wakatathimini upepo uko wapi,waka tizama umma unaendeleaje na kasi ya kuomba MAFISADI wapigwe chini basi, basi wanendeleza zoezi huku wakijijenga kuludisha heshima yao kwenye jamii haswa wakazi wa pembezoni ya miji mikubwa ambako kuna asilimia kubwa ya Watanzania.
 
  • Thanks
Reactions: Omr
Wakuu nimepata habari toka ndugu yangu ambaye yuko Igunga kuwa yule mbunge Wa Iramba magharibi Mwigulu alikutana na baadhi ya wachungaji wiki mbili kabla ya kuanza kampeni na kuwaahidi pikipiki pia jumapili moja alienda kanisa fulani maarufu hapo Igunga na kutoa milioni moja Kama sadaka ya kutangaza mbele ya kanisa pia kawaahidi wanakwaya kiasi fulani cha pesa.
Wakuu je hiyo si rushwa?
Naomba takukuru wafuatilie hilo kwa nini asiende nyakati zingine aende wakati Wa kampeni?
Kama hamuamini futilieni kwenye makanisa mtapata habari kamili.
 
Wakuu nimepata habari toka ndugu yangu ambaye yuko Igunga kuwa yule mbunge Wa Iramba magharibi Mwigulu alikutana na baadhi ya wachungaji wiki mbili kabla ya kuanza kampeni na kuwaahidi pikipiki pia jumapili moja alienda kanisa fulani maarufu hapo Igunga na kutoa milioni moja Kama sadaka ya kutangaza mbele ya kanisa pia kawaahidi wanakwaya kiasi fulani cha pesa.
Wakuu je hiyo si rushwa?
Naomba takukuru wafuatilie hilo kwa nini asiende nyakati zingine aende wakati Wa kampeni?
Kama hamuamini futilieni kwenye makanisa mtapata habari kamili.
Hizi hadithi za udaku usilete hapa, peleka kwenye kijiwe cha kahawa au kilabuni.
 
mwita25 ndo atampenda kama mkewe anavyompenda au wameanza mchezo wa kuingiliana kwenye masaburi hawa magamba kwa kauli hiyo sisi watu wa PWANI wallah tungemchalaza bakora m§€n¿€ yule
 
<br />
<br />
Wanaangalia ze commedy tu hapo c unajua kasafirishwa bure halafu wamepewa magunia ya deki (t-shirt) bure kwanini wasije?

Na kwa nini wasiwachague!!
Halafu niliona usafiri wa aina hiyo kwenye uzinduzi Chadema.
Oosh, forget it. Inawezekana yale yalikodiwa na wananchi wenyewe wala Chadema hawakuhusika. Ila lazima watu "waibiwe kura" huko, lazima...
 
@Inahitaji akili za uendawazimu kuelewa mambo yanayofanywa na CCM kwa sasa. Kitendo cha kumtumia Mkapa na Rostam kwenye kampeni za Igunga, kinamaanisha sasa CCM wameamua kuua chama chao na kukizika kabisa. Katika hili tu hakuna mwana Igunga yoyote mwenye akili timamu atakayejaribu kukipigia kura chama cha mapinduzi. @Ni simanzi kubwa sana kwa wanaCCM wa ukweli, kuona sasa viongozi wao kwa makusudi kumeamua kuwaachia Chadema jimbo la Igunga kwa urahisi kabisa, kutokana na maamuzi ya kipuuzi ya chama cha mapinduzi kwa kuwaleta mafisadi papa kuja Igunga kuongoza kampeni.
 
Hata mimi ningekuwa ni mkazi wa igunga ningeenda ili niwaone the original commedy.
 
huyu anastahili apigwe faini kama Richard Ndassa alivyopigwa faini kipindi anapiga kampeni jimboni mwake 2005 aliposema wanawake wote kila jambo wanalofanya lazima wataje ndasa wawe na waume zao kitandani ndasa, etc
 
Najiuliza ni lini CCM wataacha kutoa kofia, t shirt na kanga kwa kina mama, inabidi tuondoke katika dhana hii ya kampeni.

Khanga na Tshirt labda ni ghali kwa Chadema kumudu. Lakini kofia wanagawa kama kawa, which means they are willing to but not able.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom