the boss, sounds sensible lakini inategemea na sababu ya uchaguzi mdogo. endapo ni kifo inawezekana kumpa 2nd runnerup wa uteuzi chamani.lakini kama ni issues ambazo zilisababisha wapiga kura kukosa imani na chama, ama mfumo mzima wa uchaguzi inaweza kutokuwa sawa sana kukwepa uchaguzi. kumbuka kuwa sio wanachama wenzie mbunge pekee wanaompigia kura, bali wanajimbo wote bila kujali sana itikadi zao za kisiasa wanaweza kumchagua mbunge kwa sababu wanaona anaweza kuwaongoza na kutatua matatizo yao sugu.
kila unapotokea uchaguzi mdogo najikuta namkumbuka Halima Mdee
yeye peke yake alizungumza kitu cha maana kuhusu hizi chaguzi ndogo...
alisema chaguzi ndogo zinapoteza muda na pesa nyingi
ni bora ukawekwa utaratibu wa chama kinachoshikilia jimbo hilo
kuchagua ni nani arithi jimbo......
hakuna anaesikiliza haya,but huu ndo ukweli mtupu....
hizi chaguzi ndogo its a waste of time and money.....
zipigwe marufuku......
Gharama unazozizungumzia ndio gharama za Demokrasia na kwa kawaida hazina short cut. Ni lazima tuendelee hivyo hivyo kwani waliochagua mwanzo ni wananchi na kwamba kiongozi aliyechaguliwa kupitia uchaguzi nafasi hiyo haiwezi kuwa ya uteuzi ni lazima taratibu zifuatwe.
Binafsi namuamini mpambanaji huyo (Halima Mdee) lakini kama ni kweli alisema hivyo na si kwamba amenukuliwa vibaya, hapa naona alichemka!
Hoja ni kwamba wamchague na sio kama magwanda mnavyo potosha! Shame on you magwanda na magwanda yenu kama mgambo!
majitu mengine bana eti Title HM na uchaguzi wa Igunga, kumbe hakuna lolote ambalo Mdee kazungumza kuhusu Igunga, no source no nini then unajiona ni GT masaburi thread
kwa nini kwenye ubunge tu na sio udiwani,urais?well hapo unaongea kitu cha maana.....
tunaweza kutenganisha sababu..
mfano kama ni kifo basi apewe second runner up...
au ya chama kilichoshinda kwa asilimia labda sabini..wafanye uchaguzi wa chama
na atakeshinda apewe
au vyovyote vile but sio hivi sasa..
kwa nini kwenye ubunge tu na sio udiwani,urais?
Hapa aliongea pumba. Na raisi akifa, Nape anapewa nchi. Huu ni ujuha.
Tatizo lako huwezi kutofautisha Igunga na Arusha....Kikwete alipokuja mwaka jana kufanya kampeni pale kwenye uwanja wa sheikh Amri Abed, walipomaliza wasanii kutumbuiza watu walianza kuondoka ikabidi polisi waliokuwa magitini kuwazuia kutoka hata Kikwete alihutubia chini ya dakika 10, kwasababu watu walikuwa wanatoka....Arusha huwezi kutukusanya kwa wali na maharage labda pesa, kanga, kofia ,T-Shirt na wasanii na mbinu hizi tulichazijulia akikupa pesa chukua maana ni pesa yako akikupa t-shirt chukua utaenda kudekia au litakuwa vazi lashamba....Nimeipenda ile picha yenye bango linalowataka CDM wapeleke fujo zao Arusha na Kilimanjaro. Wakamalizia...KURA HATUWAPI!
Saafi sana.