TUMBIRI
JF-Expert Member
- May 7, 2011
- 1,933
- 1,199
The Boss,
Hilo haliwezekani Mkuu. Kumbuka kwamba tunapofanya uchaguzi Mkuu tunachagua Chama pamoja na Mgombea wake. Ndio maana kunakuwa na picha ya mgombea pamoja na chama kinachomdhamini. Hatuchagui chama alafu then chama kinamteua muwakilishi.
Hoja yako ingekuwa ya maana kama kwenye uchaguzi Mkuu wapiga kura wanachagua chama, then chama kinachoshinda kinamteua mtu kuwakilisha jimbo lake. Tuendelee kujadiliana.