Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.
Unaona Mwananchi katuonyesha hali halisi CCM haina washirika inasomba watoto na we fanya hivyo bro

Kama mw
305725_219111744811969_100001394361466_661647_911392601_n.jpg
 
Vipi cheche za Mkapa Igunga?. Tunaomba update.
 
Kujaza watu usishangae kwa ccm kwani wewe ni mgeni Yerusalem?kwa tabia za usukumani na viongozi wa ngazi za matawi na mashina na shule za msing i zote wanafunzi watakuwa wamealikwa na wengine waoga watatishwa na vitongoji vyao na ma-fuso kubeba watu baada ya kupewa chumvi,t-shirt za njano,kanga,sabuni na kofia.na watpikiwa ubwabwa na kuchinjiwa n'gombe zote hizo ni takrima zilizohalalishwa.hakika fuso leo zitafanya kazi sana na tayari kuna watu wanafuatilia kuona gari ngpi zitatoka hapo wilaya ya Nzega ambapo ni jirani na Igunga.
Nitawapasha nikipata vivid information kwa maana gari number ngapi,mmiliki na limebeba takribani watu wangapi kisha tutafuatilia kuona kama limeingia igunga.
Laikini je msiba hou vipi ni wa kupiga mziki,kwaya za shangwe na kuunguruma kama wanavyodai?au msiba uko nchi jirani?
 
Yaani hapa naona malori makubwa yanaleta watu toka sehemu mbalimbali, kuja kuhudhuria kampeni zao CCM wananchi hapa Igunga wanamsemo wao sasa usemao.‎"UJINGA NI KURUDIA KOSA PINDI UNAPOPEWA NAFASI YA KUJISAHIHISHA"(Kauli ya wazee na vijana+mama kutoka IGUNGA.
CDM wanaweza kushinda iwapo CCM aka mafisadi wasipochakachua
tufanyie msaada mdogo sana chukua picha maana hawachelewi kuja na mameno mengi hapa ooh tumefunika.......
 
Kuna msiba leo, hizo shamrashamra za nini? huyo atakaehutubia atajilazimisha kusahau meli iliyozama? au huko igunga hakuna redio?

anaweza akatoa hotuba kiugumu hivyo hivyo ili mradi tu ujumbe uwafikie walengwa,mbele ya chama kushika hatamu nasikia mambo ya msiba huwekwa pembeni
 
tufanyie msaada mdogo sana chukua picha maana hawachelewi kuja na mameno mengi hapa ooh tumefunika.......
<br />
<br />

Ni kweli lakini wakati mwingine kama unatumia simu si rahisi sana ku uplaod picture. Bora ujumbe tumeupata
 
  • Ni takribani miaka miwili sasa, Tume ya Taifa ya Uchaguzi haijafungua vito vya kujiandikisha, na wapenzi wengi wa upinzani ni vijana na hivyo watakua hawana sifa za kupiga kura, ilihali wengi wametimiza umri huo kwa kipindi chote hiki...!
  • Ni dhahiri kabisa kuwa ikitokea CCM wakiipoteza jimbo hilo, basi na ratios ndani ya baraza la wawakilishi itabadilika, na hivyo hata ratios za wabunge wa viti maalum nao utarejewa tena....! Kitu ambacho CCM huenda wasiwe tayari sana...!
  • Mnamo tarehe 02-October-2011, vyuo vingi vitakuwa vimefunguliwa, na hivyo kuwalazimu wanavyuo wengi kuwa nje ya jimbo hilo, na hivyo kushindwa kushiriki kupiga kura...! Hata hivyo, wale watakao kuwa nyumbani by then, watakuwa walijiandikisha kwingine na hawajawahi kubadilisha, na hivyo hawataruhusiwa kupiga kura pale Igunga....!
Ni mtazamo wangu tu......!
 
Hayo uyasemayo yana mantiki kiasi fulani. Lakini ili mgombea aweze kueleza sera na matarajio yake kwa watu wake ni lazima apate mkusanyiko wa watu. Ukumbuke sera zinauzwa au kunadiwa kwa watu,sasa ukisema wanaishia kujaza watu tu unakosea mkuu.

Mimi nadhani tuvute subira ili tuoine ni mgombea gani anaonyesha matumaini kwa wana igunga. Na huyo ndiye atakayefaa kupeaw dhmana na wana igunga. Igunga ni sehemu ya jamuhuri ya tanzania, hivyo wana igunga wakikosea wanakuwa wamekosea watanzania wote kwa ujumla ingawa kwa wana igunga ndio itakuwa pigo zaid.

Chonde chonde wana wa igunga jaribuni kuwa makini sana kwenye huu uchaguzi ili mfanye maaamuzi yaliyo sahihi na yenye manufaa kwa taifa kwa ujumla.
 
sidhani kama ni udini nafikiri ni umbumbu zaidi wa siasa za vyama vingi na ccm imekuwa ikitumia mwanya huo kuwatisha wahusika ili wasishirikiane na upinzani kwa kuwatisha kufunga biashara zao au kuwatisha kuwadai kodi zao za miaka yote ambazo wamekuwa hawalipi na vitu kama hivyo.

kwa watu tunaofuatilia vizuri mfumo wa vyama vingi ulivyoanza Tanzania ni kwamba vitu hivi havikuanza leo kwani huko miaka ya nyuma wagombea wa urais wa vyama vya upinzani walipokuwa safarini mikoani walinyimwa hadi mafuta kwenye baadhi ya vituo kwa sababu ya wahusika
kutishwa au kwa humbumbu wao kisiasa. ktk issue hii ya nyumba inaonekana wazi kuwa ni vitisho kwani kama walikuwa hawawataki chadema wangeshakataa pesa toka mwanzo lakini kupokea pesa na baadaye ghafla kuzikataa hiyo inaonhyesha wazi kuwa ni mchezo mchafu wa CCM.
Hapa ndipo kuna hoja,ni dalili za vitisho ambavyo wanafanyiwa wafanyabiashara na wananchi kwa ujumla ili kudhoofisha juhudi za vyama vya upinzani
Ni mikakati ambayo hufanywa na CCM wakati wa chaguzi miaka nenda rudi
 
Kikubwa mwana JF tupigie picha zao na je wanawashusha moja kwa moja pale sokoine au stand au hapo center,hakikisha unapata picha itaka verify mazingira ya Igunga kuna watu wanapajua hapo.
Tuhabarishe mwana familia ya JF
 
NI NANI HUYO MWENYE NGUVU NA FEDHA HATA AKAENDELEA KUSHINDA AZMA YA HIARI
NA KWELI YA WANANCHI KUJIAMULIA KUSAKA UKOMBOZI NA MABADILIKO YA
KUJITAWALA, NI NAAANIIIIIIIIII?????????

CHADEMA, tumuogope fisadi yupi wakati tangu sasa na kwenda huko miaka ya mbele zaidi Mungu yuko upande wetu???????????

Kwa nini tuhangaike kuwasomba na malori makubwa na kuwahonga wakati tayari kila mwananchi anaelewa jukumu lake binafsi la 'kuuchinja' kabisa ufisadi nchini kwa kutumia kura zao ili wapate uwepesi wa maisha??????

WASOMI wetu wa vyuo na vyuo vikuu nchini ambao ni wazaliwa wa Igunga, asanteni saaaaaana kwa kazi nzuri mnaoendelea kuifanya nyumba hadi nyumba hapovijijini; Wa-Tanzania wengi sana tayari tumetambua na kuthamini sana mchango wenu.

PIPOZZZZZZZ PAWAAAAAAAAA; Aluta Continua!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!


Yaani hapa naona malori makubwa yanaleta watu toka sehemu mbalimbali, kuja kuhudhuria kampeni zao CCM wananchi hapa Igunga wanamsemo wao sasa usemao.

&#8206;"UJINGA NI KURUDIA KOSA PINDI UNAPOPEWA NAFASI YA KUJISAHIHISHA"(Kauli ya wazee na vijana+mama kutoka IGUNGA.
CDM wanaweza kushinda iwapo CCM aka mafisadi wasipochakachua
 
hivi mizimu ya ben inatambikiwa majini?mimi sijaelewa naomba mnijuze.mia
 
Igunga nzima nyumba ni moja tu jamani Magwanda?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom