Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.
Ndugu zangu hawa, Ze komedi wanaitizama kwenye kwenye tv kutokana na tatizo la umeme yawezekana kitambo hawajafuatilia hiyo show wameambiwa watakuwa live kwanini wasi-attend na ccm wanajua bila kuleta wasanii watajikuta wako wenyewe uwanjani.
 
..Inahitajika kwanza kuujua uzuri wa vyama vingine ndipo watakapoweza kuuchukia kwa vitendo ubaya wa CCM, fahamu kuwa wengi wenye mashaka na uwezo na umakini wa vyama pinzani wata-opt kuendelea na Zimwi Walijualo, CCM,...

Yaaaaaaaaaaah man watanzania wanataka kujua tofauti iko wapi?wakiiona ndio watapata mwamko wa kuitaji kuhama chama na kuchagua chama cha upinzani.Mkuu pamoja
 
Kwa jinsi nyie wanyamwezi mlivyo majinga anayo haki ya kuwafananisha na mkewe kwa vile mkewe anamuomba hela ya matumizi kila siku na nyie mnamuomba hela, Tshirt, kofia na skafu na pia vuvuzela za njano. Wanyamwezi kwa CCM ni kama Samaki na maji, mtaozea kwenye nyumba zenu za tembe ambazo hamzijengei vyoo, mnaenda kukata gogo shambani.
Nimeandika hivi ingawa itaonekana offensive to you, lakini lile bango mliloliweka la kibaguzi kuhisisha vurugu na mikoa ambayo ina maendeleo makubwa hapa nchini wakati nyie hamjamudu hata kuchota maji bombani, mnategemea punda kuchotea maji huku mkisifia CCM kuwa ndio baba na ndio mama yenu. Haitatokea nyie mkoa mzima wa tabora mkaoga huku mmesimama, haitatokea kuacha nyumba zenu za tembe kama mtaendelea kukumbatia ndoa yenu na CCM. Mchagueni Dr Kafumu ili awafumue kama mkewe... tehe
 
yaaaaaaaaaaah man watanzania wanataka kujua tofauti iko wapi?wakiiona ndio watapata mwamko wa kuitaji kuhama chama na kuchagua chama cha upinzani.mkuu pamoja

watajuaje wakati elimu yenyewe ya kuwakomboa wamenyimwa? Midahalo ya kuwakomboa wamenyimwa, maandamano yanayofufua ufahamu wao yamepigwa stop. Watapataje kuzifahamu tofauti hizo?
 
Hakika unachokisema ndio sahihi kuwa CCM kwa sasa ndio wako kazini kuakikisha wale wote wnaoichukia CCM wageuke kuwa waumini wazuri wa CCM.Na hilo limekuwa hivyo ukizingatia hata humu ndani ya JF watu wamekuwa na chuki ya dhahili juu ya CCM el maalufu humu jamvini kama wanamagamba..

Sipendezwi na siasa za kuona kuwa hakuna watu wazuri ndani ya CCM,na kuwa ni lazima kila jambo sasa liwe ni upinzani tuu,no hiyo siyo sahihi,ili Nchi iende kwenye mstari tunawaitaji wote chama tawala na vyama upinzani,leo hii CCM wakiwa upinzani chadema wakawa chama madaraka CCM wataonekana wa maana kwa mujibu wa mapungufu ambayo CDM watayaonyesha na uhitaji wa matakwa ya umma.

Lakini kinachoendelea sasa haters wamekuwa mbele hata kwa mambo ambayo ni kwa faida ya Taifa na sio ya Chama.Ndio CCM wanamadudu yao lakini sio kuwa sasa kila jambo watu watengeneze chuki isiyo na msingi.Tutashindwa kutofautisha tofauti hiko wapi,itafikia hatua wananchi wataamua ni heri ya zimwi likujualao halikuli likakwishwa.

Yani ili kwa lugha nyepesi ni afadhari ya kubaki na CCM hii ya sasa kuliko kuchagua chama ambacho ujui kesho itakuwaje.Na hili swala itabidi wana JF ambao baadhi wana mapenzi na chama cha CDM, watumie uchaguzi mdogo wa Igunga kubadilika na kuwa na mikakati humu ndani ya kisayansi na sio kuwa na ushabiki wa kupinga kila kitu,vinginevyo tunakokwenda uenda wakatengeneza aina ya usindikizaji.

Ebu tuwe wazi humu ndani wapenzi wa JF ni wangapi uwa wanalusha madongo ya kuwakejeri wanaCDM humu ndani ukiachia FF ambae anajulikana kwa misimamo yake ambayo imeegemea kuchallange zaidi na kujenga mjadala uweze kuleta tofauti ya mawazo lakini hayuko kukejeri kiivyo.

Binafsi nimeshaweka msimamo wangu wazi Tanzania Mbele, kwangu Nchi kwanza vyama baadae,hivyo ni ukiwa mwana CDM kwangu poa,ukiwa CCM mwake,ukiwa CUF kama kawaida,hivyo kila mmoja atizame kuwa kwa zama hizi tuanze kujenga uungwana wa vitendo na maneno kwa kuwa fito wanazopigania CDM,CCM au CUF ni kwa ajili ya ujenzi wa Nchi inayoitwa Tanzania.

Vyama hivi vishiondane kwa HOJA kumjenga MPIGA KURA NA KUKUSANYA WAPENZI NA WANACHAMA WA KUWAUNGA MKONO.Waanze kutoa elimu ya kwa wapenzi na wanachama wao jinsi ya kuwa na muonekano [behave] ambao unabeba sura ya kichama kwa kila mmoja ambao kwa jumuiko lao ndio tunapata taswira ya kundi ambalo ndio chama kwa ujumla wake.

Tukiendelea kuona matusi ya kuwakebehi wana magamba kuliko mikakati ya kuibua mapungufu na changamoto za kuwafungua masikio yao Wananchi kuwa UPINZANI una sababu zote za kuaminika hakika itakuwa ni hadithi na malalamiko yasiyoisha wanaiba kura na maneno kadha wa kadha yasiyo na tija na ufanisi.

Ukiwaangalia CCM uwa wanabolonga kwelikweli,lakini ninachowakubali wakigundua kosa lao hakika CCM uwa ni wepesi sana kujirekebisha kimya kimya tena chini kwa chini ikibidi hata kwa kukopi mbinu ya adui wao lakini wao cha msingi wa win mapenzi yao kwa wananchi wao.Kwa sasa wameeanza kuwa na ustaarabu wa kauri hata kwa viongozi wao,ambao walio wengi walikuwa na busara.CDM viongozi wana ustaarabu wa matumizi ya maneno lakini wapenzi wake na wanachama wamekuwa na lugha za matusi na kejeri kwa wingi sana na kwa mfano mkubwa ni ndani ya JF.

Please tunawategemea CDM,kuleta changamoto kwa CCM na CUF ambao ni vyama tawala,kwa mambo haya tufika kweli mpaka CDM kuwa chama tawala uko tunakokwenda.Kwenye Red ni hakika hesabu mpya zinatakiwa

Sijui wamekiweka wapi kitufe cha thanks! You've said it all sir...
 
kweli jeuri ya pesa yaweza fanya jambo, hasa kwa jamii ya ki-kwetu ambayo fedha kwao ni zaidi ya maisha. Hatuna ushahidi wa nani kampanini nani, ila kuna ushahidi wa matukio ambao unahitaji macho tu.. Ukiangalia picha za uzinduzi huu utagundua mambo kama matatu makubwa.

1. Majukwaa


View attachment 36981
jukwaa hili ni gharama sana, kuliunda na kulipack pale lilipo, si chini ya paund 7,218 (kama mil16 zaktz). Nadhani wahandisi wabobezi tunajua hilo. Ama ametoa mtu mmoja au chama kimegharimia, ila tunajua ni fedha toka ardhi ya tanzania, na ni fedha ya wananchi wa tz. Na hii inafanyika tu kwa uchaguzi wa jimbo moja tu kati ya majimbo 348 ya uchguzi nchi nzima. Inatisha. Nadhani chama hiki chawaza kuwa ni cha wafujaji wa mali..


View attachment 36982

jukwaa la hili: Jukwaa la kizalendo, linalo jazia hisia ya uhalisia wa mkutano, wananchi, na matumizi halali ya mali za uma. Sidhani kama viongozi wote wa chama hiki wangechanga nadhani wangeunda jukwaa kubwa sana, but why, kwanini kutumia mali nyingi kwa tukio la siku moja. Mie kwangu nashawishika kufikiri kwamba huo ni moyo wa kizalendo zaidi. Kwa nchi yangu.
2: Mkutanoni.

View attachment 36983
wakazi hawa, maskini ya mungu, mbali na kuvishwa kofia, tshirt, hadi kupewa vuvuzela za njano, ila bado wanaonekana wana tafakari nzito. Wana umakini wa kupima kila jambo na kila neno, hawako kwa kudanganywa. Nadhani wana jua wanachokifanya. Sikubahatika kusikia hotuba iliyotolewa, ila wananchi wanaonekana hawajaridhika na yaliyotamkwa.

View attachment 36984
wananchi wa chama hilki wanaonyesha uhai wa hisia juu ya chama hiki. Kwa hisia moja, tendo moja na hamasiko moja, nadhani chama hiki kinajua kinachofanya kwa watu. Nadhani pia chama hiki kinaelewa nini wananchi wanahitaji ndio mana wako tayari kuonyesha hisia zao kwa chama chao. Sisi tunasema, mwanamke bora ni yule mwenye uwezo wa kuonyesha hisia zake kwa wazi kwa mwanamme ampendaye"..

Mie si mwanasiasa kiivyo sana.. Naangalia tu.. Napitapita

well reseached, well analysed. God job brother, nimeipenda presantion yako.
 
mimi kama mzawa wa kilimanjaro niliyekulia arusha, nawalaani wale vijana waliokua wamebeba bango wakikashifu kua vurugu zao wakafanyie arusha na kilimanjaro,,,, how could someone dare speak something like that to the public???? That is sooo insane,,, walaaniwe na vizazi vyao vyooote milele,, yani nimeshindwa hata kuongea, presha imepanda

Em,
Jf is not good for your health. This is the place where people dare to talk openly. Tegemea sana kuwa disapointed, tena hapo hata hujatukanwa.
Ni ushauri tu...
 
Inanisikitisha sana kuwaona vijana ambao tunatakiwa kilikomboa taifa letu kutoka mikononi mwa mafisadi wamevaa minguo ya kijani wanaipigia ccm kampen, tubadilike jamani msifikiri kuna mtu mwingine wakuja tofauti na sisi wenyewe especialy vijana.
 
Kuwa CCM ufurahie maisha!!


wewe unatafutia watu ban tuu kwa kutumia masaburi kwenye vitu muhimu vya kitaifa, nenda hi 5 au facebook maana akili yako na hilibichwa lako sihitaji ushahidi mwingine mazafaka
 
mwita25 ndo atampenda kama mkewe anavyompenda au wameanza mchezo wa kuingiliana kwenye masaburi hawa magamba kwa kauli hiyo sisi watu wa PWANI wallah tungemchalaza bakora m§€n¿€ yule
<br />
<br />
Naunga mkono hoja kwa asimia mia moja.
 
Hao walifata comedy na sio ccm @steve hizi pics zisikuzengue, waliambiwa atakaerudisha kadi ya cdm analamba wekundu watano na RA wakati kuipata kadi cdm buku unadhani waliorudisha ni mafala..? wanajua wanachokipata, alafu mbona umechagua pics za kuweka ungeweka na zile za watoto wa shule waliobakia baada ya comedy kuisha..? kama wewe sio gamba na za cdm ziko wapi hapo..?


Sad to say, but idadi ya mbumbumbu Tanzania haitopungua...!!! :sad:
 

inaendana sema hujamusosama vizuri. Anamaanisha, ukiwa mweledi huwezi kufika wala kujihusiha na mahali ccm walipo. Kushangalia kwao, kukusanyika kwao, na mbwembwe zao inaonesha ni mbumbumbu, kwa hawajui umaskini na hali duni ya maisha waliyonayo umesababishwa na haohao cmm. Pia hawajui ni kivipi ccm wanaliibia taifa
.

Changamoto je, mtaweza kuwashawishi mambumbumbu kukichagua chama chenu?!
Get smart daugg...
 
Hivi mpaka sasa bado hamjamfungulia kesi?
Au unatania!Haiwezekani mpo na watoto na wake zenu halafu mtukanwe hivyo kisha mkae kimya.
NAOMBA MUONGOZO.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom