MAGEUZI KWELI
JF-Expert Member
- Jul 16, 2011
- 1,947
- 253
​Kumbukeni gharama za uchaguzi ni zaidi ya Mil 350
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa aliongea pumba. Na raisi akifa, Nape anapewa nchi. Huu ni ujuha.
<br />Kaka haya maneno yako yana walakini mkubwa sana, kwa anayeelewa kusoma kwa maarifa hawezi kukuamini hata punje. Kwanza Intnal banks zipo nyingi sana; Kosa la kwanza hukusema hiyo bank kwa kuwa unaogopa hapa JF tuna wana benki hizo wengi sana, ; Pili hizo 3 billion ni utashi wa mtu kuzitoa ama kuziingiza na napenda kukuweka wazi wamba katapila la ujenzi linanunuliwa kwa zaidi ya milioni 800 ambapo kwa makandarasi wakubwa hiyo billion 3 ni pea nut tu, ; Tatu mkuu, umesema una ushahidi na kwa nini sasa huumwagi kwa kuwa hakuna anayekujua humu kwa kuwa wewe mwenyewe hujiamini, na mwisho; siku ingine usijaze JF kwa propoganda za kipuuzi mjinga wewe...
Perplex reasoning! The main theme/context is about "UCHAGUZI MDOGO" halafu unazungumzia Rais! Rais akifa (more clearly AKISHINDWA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAKE) automatically kuna Makamu wa Rais; ana take over. Kweli viumbe wazito.
<br />Bora ungesubiri uone kuliko kuleta tathmini njaa hapa.
naweza kusema mlezi wetu wa kidemokrasia au mfumo wa kiuchaguzi ni uingereza,sasa jee huku uingereza hawafanyi by elections kwa kuogopa gharama?Tujifunze mambo ya demokrasia toka kwa waliotufundisha mataifa makubwa. Aliyoyasema Halima Mdee ni sahihi kwa vile hata mataifa makubwa inapotokea jimbo la uchaguzi kuwa wazi wana utaratibu wa kuteua mtu wa kushikilia hadi uchaguzi utakapofikia muda wake ili kuongoa gharama za uchauzi.
Obama alipochaguliwa kuwa Rais wa Marekani, nafasi yake ya Useneta ilijazwa jimboni kwake kwa kuteuliwa mwakilishi mwingine hadi uchaguzi mwingine ulipowadia. So what is wrong?
Ongeza na hizi picha:
View attachment 36990
Hii chupa ya Mwenyekiti Mbowe imejazwa nini? inafanana na wiski.
Nashawishika kusema kuwa chupa ya maji imetumika kuficha kilevi!
View attachment 36991
Hwa nao vipi? Wanamuiga mwenyekiti wao?
Hivi CDM hawawezi kufanya kampeni bila ulevi wa kupindukia? Matokeo yake ni kumwagia tindikali watu wasio na hatia.
WAKATI UMEFIKA KUKOMESHA HUU UHUNI NA KUWAADHIBU KWA KUWANYIMA KURA.
Bora ungesubiri uone kuliko kuleta tathmini njaa hapa.
sio pumba....hata huko marekani hawarudii rudii chaguzi kwa staili yetu....
ni bora chama kinachoshika jimbo kifanye chaguzi ya ndani....au tuje na sysytem nyingine itakayokubalika.....
kuna system nyingi tu.....
naweza kusema mlezi wetu wa kidemokrasia au mfumo wa kiuchaguzi ni uingereza,sasa jee huku uingereza hawafanyi by elections kwa kuogopa gharama?
democratic system mst follow democratic principles, no shortcut, halima mdee isn't perfect she can make mistakes.
Mkiogopa cost hata katiba mpya haitakuwa na uhalali kuliko ya zamani.
kwa hiyo ulitaka vyama vitumie fedha za kampeni kupeleka umeme airport?usituwekee maneno mdomoni mkuu,ni asilimia ngapi ya watanzania wanafaidika na safari za ndege?sanasana kodi zetu zinatumika vibaya kuwapeleka viongozi nje bila tija yoyote.Licha ya matatizo makubwa tunayopata kutokana na kukosekana kwa pesa, lakini pesa za Kampeni Igunga zinapatikana.
Aibu kubwa nguvu zimeelekezwa Igunga na kusababisha hata Uwanja wa Kimataifa wa Ndege Dar kukosa umeme na ndege kutotua au kuruka. Yote hayo ni madhara ya Uchaguzi wa Igunga ambao haukuwa na budget.
Pesa inayotumika uchaguzi Igunda ni mabilioni ambayo yangeelekezwa mashuleni, ujenzi au kupunguza matatizo ya umeme ingekuwa big up.
Hiyo ni pumba mkuu wala usilete ubishi wa watumia Masaburi hapa!
Hizo ndo gharama za demokrasia! Kutuambia Marekani wanafanyaje hilo hatukuungi mkono. Kwani umeshajiridhisha Marekani wanafanyaje? Mbona huo uchaguzi wa aina hiyo huwa tunausikia na huko upo! Usilete porojo hapa.
Kama yeye Mdee anaona muda na raslimali zinapotea bure si akishauri chama chake na vyama vingine vya upinzani wasiweke wagombea, ili jamaa apite bila kupingwa! Vinginevyo na anyamaze milele!!
kumbe huu mtindo wa magamba hawajauacha tu hadi sasa hivi...Nape mwongo kweli na propaganfad zake