KAKA A TAIFA
JF-Expert Member
- Apr 27, 2011
- 566
- 82
The second run up apewe nafasi kwani naye atakuwa alikubalika kwa wananchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM inafaidi umaskini na ujinga wa watanzania. wanadanganywa kwa pilau ya siku moja, wanaharibu maisha yao yote? Je hii pilau siyo rushwa?
<br />
<br />
exchuse us, who are u any way
Kama unatafuta bwana sema tukupe site za magay wenzako, hapa JF ni hoja kwa hoja na sio vihoja, this is too low to me, don't follow me i will blast your ass m.o.t.h.e.r F.u.c.k.e.r.Teh teh teh! Ant Matola, bana ujui nini hapo bana nilijua lazima utabold, maana ya hiyo ni Ingia halafu hiyo ingine Masaburi mpaka watu wote wajue? Umenipata sasa
Masikini nape jali ubinadamu kwanza kuliko madaraka kama kweli ulihusika kutoa pesa 150,000/= kwa unyama huu utalipwa hapahapa...............
![]()
Wangeruhusu tuu wakazi wa Igunga wapige kura; hata hivyo hizi haziwakilishi mawazo ya Wanaigunga kwani wenye access na computer ni watu tofauti kabisa na maskini wa kule Igunga
Unaona sasa umekasirika mpaka akili imehama unahamaki bure mpaka unatukana, unanipa unyonge sana ndugu yangu. Lakini nimekusamehe najua ni hasira tu, ngoja nikuombee kwa Mods! Msimpige BAN ni hasira tu hizoKama unatafuta bwana sema tukupe site za magay wenzako, hapa JF ni hoja kwa hoja na sio vihoja, this is too low to me, don't follow me i will blast your ass <b>m.o.t.h.e.r F.u.c.k.e.r.
Hakuna utawala wowote hapa duniani ulishinda nguvu ya umma,umma ukiamua kuwang'oa,CCM bado hawaamini kwamba wananchi wamekipa kisogo chama chao,bado wapo wengine wachache wanaodhani CCM ndio mkombozi wao lakini wengi walishang,amua janja ya nyanini vigumu kuamini, leo nilikuwa igunga ki ukweli watu wanakiri wazi kuwa ccm kushinda labda kwa mbinu chafu tu ila wamebanwa haswa, wanatumia mbinu nyingi sana chafu kuichafua chadema lakini hawawezi.
Mtu mmoja akaniambia walikuwa wamepanga kuchoma moto jengo lao wenyewe la ccm ili wauaminishe uma kuwa ni mahasim wao , ila naona chadema wana intelenjesia kali wakabaini huo mchezo mapema kabla haujatekelezwa. hayo siyo maneno yangu ni yajamaa tena walikuwa wananizibia pancha gari. Ni mengi mno wameniambia ukiachia shoo ya bure waliyopelekewa ya akina joti walipomaliza tu watu wakaondoka zao, mkapa hakuamini.
ukitaka kujua uhalisia wa mambo Igunga pata info ambazo hazijachakachuliwa kutoka hukohuko or kwa watu ambao sio biased. Yaani Magamba are capable of anything niko so worried wajameni.
naona anaefuata kwa kura bila kujali chama amalizie madaraka, nadhan ingepunguza garama au mnaonaje wadauMkuu punguza jaziba...mweleshe tu
naona anaefuata kwa kura bila kujali chama amalizie madaraka, nadhan ingepunguza garama au mnaonaje wadauMkuu punguza jaziba...mweleshe tu
<br />Humu ndani kumejaa ushabiki tu wa CCM na CHADEMA. Naona kama Jenerali Ulimwengu alivyosema ule msimu wa watu kuweka akili zao kando umewadia na sasa umeingia mpaka JF kwa great thinkers.
Binafsi naiunga mkono CHADEMA lakini si kama Kipofu. Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kwamba CCM si mama yake wala si dini yake. Hata mimi CHADEMA si mama yangu wala si dini yangu lakini ni chama ninachokiunga mkono toka moyoni mwangu.
Kuna tatizo naliona miongoni mwa "vijana" wa siasa kuamini kwamba CCM haiungwi mkono kabisa kabisa na watanzania, jambo ambalo si la kweli. Hittler na siasa zake za Kinazi huko Ujerumani aliteketezwa, lakini leo hii zaidi ya miaka hamsini tangu kuvunjiliwa mbali kwa utawala wa Kinazi bado wapo watu tena wengine ni vijana kabisa ambao wanaamini kwenye misingi ya Kinazi yaani ubaguzi wa rangi na ubaguzi wa asili ya mtu.
CHADEMA sasa ndicho chama kinachokua na kuimarika kila siku. Lakini kukua na kuimarika huko hakumaanishi kwamba ndiyo CCM imekufa kabisa na hakuna Watz wanaoiunga mkono CCM. KANU,UNIP kutaja vichache si vyama tawala tena kwneye nchi zao lakini huwezi kusema kwamba vyama hivi vimekufa au hakuna watu wanaoviunga mkono.
Hoja hii naitoa kuwatahadharisha CHADEMA wenzangu kwamba ndani ya siasa kuna walevi wa ushabiki ambao kwa kawaida wao huwa hawamo uwanjani,lakini wanapiga sana kelele. Kwa kuanzia na Igunga ni lazima tupambane na CCM kama chama "imara" na wala si kama chama "mfu" kama baadhi ya washabiki wetu wanavyotaka tuamini.
Igunga na kwenye kata 22 tunazogombea kuna kazi za kufanya na ni lazima tuifanye.Play your Part!!.
Kukasirika na kubwatuka hakutakusaidia ndugu yangu. Its Just a Joke my friend!!