Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.
gazeti la mwananch wanajfanya anatoa habar za kchunguz kumbe n za kipuuz...yan upeo wao ulpoishia n kuwa bla kutoa habar za kzushi za ccm hawauz,,thc z stupid!inafka ha2a had anawaulza amewakosea nn?hatuwez kufka kwa styl hi na mabogus km nyie mnaamin na kuleta upuuz wenu hapa...polen washkwa mackio(mafuac wa chadema)

Unajitahidi kuandika, ila hujatulia, tumia maneno kwa usahihi na sio maneno ya watoto wa shule wakati unajiita GT! Kwa kukurupuka kwako unaandika Mwananchi wakati mtoa uzi kasema Mwanahalisi. [Keep your bias and open prejudice low, and may be you can be considered a GT]

gazeti la mwananch wanajfanya wanatoa habar za kchunguz kumbe n za kipuuz...yan upeo wao ulpoishia n kuwa bla kutoa habar za kzushi za ccm hawauz,,thc z stupid!inafka ha2a had anawaulza amewakosea nn?hatuwez kufka kwa styl hi na mabogus km nyie mnaamin na kuleta upuuz wenu hapa...polen washkwa mackio(mafuac wa chadema)
Uwe unasoma na kutafakari kilichoandikwa kabla ya kupost si kuandika mradi umeandika eti greater thinker.

Nape ni nguzo ya ccm na gazeti la mwanahalisi nani hajui kuwa mapacha 3 wameshaliteka ili lisaidie kuwaokoa? Viva nape tupo nyuma yako. Kuvua gamba ni lazima mbona mbeki alijivua gamba lakini bado yupo anc , mwacheni ra ni mwanaccm licha ya tuhuma. Nape usikatiswe tamaa na magazeti songa mbele kwa kibali cha kamati kuu.

Nishasema kuwa Rostam Aziz ndiye bosi katika CCM na Serikali, si unaona mwenyekiti na katibu mkuu walivyohamaki kuwa ujio wa Nape Igunga utamuudhi bosi wao RA.Kwa akili za kawaida tu picha inayojionyesha ni kuwa RA ndiye anaamua nani awe nani katika nchi hii.

Nape ni nguzo ya ccm na gazeti la mwanahalisi nani hajui kuwa mapacha 3 wameshaliteka ili lisaidie kuwaokoa? Viva nape tupo nyuma yako. Kuvua gamba ni lazima mbona mbeki alijivua gamba lakini bado yupo anc , mwacheni ra ni mwanaccm licha ya tuhuma. Nape usikatiswe tamaa na magazeti songa mbele kwa kibali cha kamati kuu.

Hapo kwenye red umechemsha, anayemkatisha Nape tamaa ni CC iliyompiga biti asikanyage Igunga kuchelea kumuudhi bosi wao.

Nape,Sitta,Mwakyembe na wote wanaoshabikia uwajibikaji na kukemea ufisadi marufuku kwenye kampeni Igunga. Hizi ni siasa mpya hasa kwa katibu itikadi na uenezi kupgwa marufuku na kamati kuu ya chama kutoshiriki kampeni ni aibu kubwa.

Kwa wadanganyika(tanganyika) tumekuwa tukielimishwa sana kuhusu ufisadi wa Rostam na vigogo mbalimbali ndani ya CCM sasa tumeona mfano kamili Igunga.

Mtu hataki siasa uchwara na amjivua gamba na ni fisadi ndiye anaonekana anafaa kuongoza kampeni. Wadanganyika badilikeni ili achaneni na magamba na uvisadi utaisha nchi hii.

Nape,Sitta,Mwakyembe na wote wanaoshabikia uwajibikaji na kukemea ufisadi marufuku kwenye kampeni Igunga.Hizi ni siasa mpya hasa kwa katibu itikadi na uenezi kupgwa marufuku na kamati kuu ya chama kutoshiriki kampeni ni aibu kubwa.Kwa wadanganyika(tanganyika) tumekuwa tukielimishwa sana kuhusu ufisadi wa Rostam na vigogo mbalimbali ndani ya CCM sasa tumeona mfano kamili Igunga.Mtu hataki siasa uchwara na amjivua gamba na ni fisadi ndiye anaonekana anafaa kuongoza kampeni.Wadanganyika badilikeni ili achaneni na magamba na uvisadi utaisha nchi hii.
Umejadili vizuri ila rangi mkuu,
Kweli ni ajabu kwa Katibu Mwenezi wa chama kupigwa marufuku kufanya kampeni lazima kuna walakini aidha kwa chama au Nape mwenyewe.

Nashangaa sana! Hv kwa nini katibu mwenezi na itikadi za chama chetu akatazwe kwenda Ígunga kupiga kampeni ilhali hayo ni moja ya majukumu yake.?

gazeti la mwananch wanajfanya wanatoa habar za kchunguz kumbe n za kipuuz...yan upeo wao ulpoishia n kuwa bla kutoa habar za kzushi za ccm hawauz,,thc z stupid!inafka ha2a had anawaulza amewakosea nn?hatuwez kufka kwa styl hi na mabogus km nyie mnaamin na kuleta upuuz wenu hapa...polen washkwa mackio(mafuac wa chadema)
Lazima utakuwa na matatizo, kama hukulazimishwa kujibu thread.

Akiongea na waandishi wa habari kampeni meneja wa CCM mwigulu Nchemba amesema chama cha CDM kimeingiza vijana 20 wa Interahamwe kutoka DRC na vijana wa mungiki kutoka nchini kutoka kenya Lengo ni kuwaadhibu wale wote wanao onekana kukipinga chama hicho, na wameanza Kwa kumwagia tindikali mfuasi wa CCM Kwahiyo amewatahadharisha wakazi wa IGUNGA kutokipigia kura chama hicho, kwani ni hatari kwa Taifa. Habari kamili gazeti la MWANAINCHI 14/9/2011.

Ikiwa ni takribani wiki moja baada ya vyama vya siasa vilivyosimamisha wagombea ubunge jimbo la Igunga, Mkoani Tabora kuanza kampeni zake.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeanza kuonja joto la kampeni baada ya wananchi wa jimbo hilo kuonyesha dhahiri kwamba ni bora kulipigia kura jiwe kuliko mgombea wa CDM, Joseph Kashindye.

Baadhi ya wana Igunga wakiwaambia wenzao CDM ni chama cha watu wa kaskazini sio cha wana Igunga CDM kila mwezi kinapata ruzuku milioni 300 niambieni hapa ni lini ofisi yenu ya wilaya imewahi kupatiwa fedha za kuendesha ofisi au hata kuwalipa posho viongozi wenu?

Kujitokeza kwa Rostam Azizi, gamba kuu la CCM, ndio limetibua kila kitu cha CDM mashabiki wa Magamba wamembana Dr Slaa, na Tindu Lissu, walete uthibitisho wa ufisadi wa Rostam Azizi waliosema pale viwanja vya Mwembe Yanga mwaka 2007.

Gamba kuu Rostam Azizi katibua matumaini yetu alisema kada mmoja wa CDM kutoka Moshi, kuna uwezekano mgombea wa CDM Joseph Kashindye, kugawana kura na wagombea wa AFP Staven Making na SAU john Maguna.

Jana CUF kwenye mkutano wao ndio wametibua kabisa kila kitu kutoka hali ni ngumu alisema mwana CDM aliepo hapa Igunga akitokea Kilimanjaro

Heshima yako Fidivin,

Lakini mkuu, mimi nimetoa taarifa kutoka kwenye gazeti. Labda utuhumu gazeti lakini siyo mimi. Hata hivyo, Mimi bado naiamini mwanahalisi.

Pili, gazeti haliwezi kumnukuu Katibu mkuu wa ccm kwa uwongo ili lijitafutie matatizo yasiyo ya lazima.

Mwisho mkuu, nakushauri usome gazeti lote kwanza utagundua kwamba mimi nasema kweli. Story za kutunga huwa ni rahisi kujua.

Naona tukubaliane tu kuwa huu ni mwanzo wa mwisho wa ccm ambao utahitimishwa 2015

Aweda laway!a sayita!

CUF ndio chama pekee chenye historia ya ughaidi hapa nchini kwani waliingiza nchini visu kwa ajili ya kufanyia ughaidi na IGP MAHITA alituonyesha live kwenye TV. Sasa na wewe tuonyeshe live kwenye Tv hao mungiki na interahamwe. Mfa maji akianza kutapatapa mambo ndio huwa yanakuwa hivyo. Two weeks to go mtakoma mwaka huu. Mtapanda sana punda kutafuta huruma za wananchi.

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom