mkuu,hizo redio bora hata zingekuwa za dini,ni redio zinazotangaza kwa lugha za kabila husika katika eneo husika.
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]pole sana buda kwa kuwa na mawazo duni.hiyo ndio shida ya kukurupuka kukomenti bila kufanya uchunguzi.shame on you.[emoji23] [emoji23]
last year during the US election,azam tv, sent its best news anchor;Charles Hilary (former BBC swahili new anchor) to cover the US election.
he had different live interviews with east africans living in US.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
wewe huna lolote,jibu nililokupa pale juu limekuacha na aibu maana hukutegemea.Ati tunashangaza tunavyodhani tumeendelea sana? In God's honesty, I have alsways assumed that all the major media stations with means, be it Ug or Tz do send their journalists abroad to cover the events of importance in those places; I dint state anywhere that Tanzania doesnt do that.
To be honest, I was quite amazed reading that original post by kadoda11 , he's the one who's implied that this is a first in Tanzania, thus my response above.
Duh, unachekesha sana unavyokishadadia Kiingereza kama kikaragosi.
kumbe tunapo amua kujiweka kando kwa mda fulani na jf,hususani kenya forums,huwa mnatumiss?.
tukiwaambia kuwa kenya forum bila sisi watz kuichangamsha huwa "inabore", huwa mnabisha.
hayo sasa masimango mkuu.Humu JF kuna wanachama wa jadi,tokea enzi zile,mmojawepo huyu Askari Kanzu,zama zile kabla ewe zumbekuku kadoda11 hujahamia Kenya kiharamu...😀😀!
Zama zile ulipokua unawaogopa wakenya na kuwapa heshima stahiki.
Leo hii umeishi Kenya tena kwa kujificha kiharamu umepata jeuri na uelewa mdogo wa lugha ya malkia basi kila kukicha ni kufungua kibakuli chako hicho kwa mambo ya hovyo ilmradi uonekane nawe upo upo...ama kweli maskini akipata matako hulia mbwata!
Alamsiki!
kadoda11 na hawa watz wengine wanafaa kujua nqa kuelewa maana ya ukabila. Station inporusha matangazo yake kwa lugha fulani ya kiasili, hilo si ukabila. Ukabila ni pale kuna chuki baina ya makabila. Kama hizo vituo vya habari vinaeneza chuki, basi huo ndio ukabila, lakini kama hazifanyi hivyo (and by the way, baada ya 2007, ziko very monitored), shida iko wapi?Haina shida, hata redio za dini zinatangazia watu wa dini yake tu. Sioni kama kuna ubaya mtu akipata matangazo ya redio au runinga kwa lugha yake.
Whaaat! Aibu gani? Ati unasema nimekurupuka kuweka comment na ni wewe umefungua thread kucelebrate ati journalists wenyu wamepostiwa humu.......what are u talking abbout?[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
wewe huna lolote,jibu nililokupa pale juu limekuacha na aibu maana hukutegemea.
hiyo ndio shida ya kukurupuka kuweka comment bila kufanya uchunguzi.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Binafsi namkumbali zaidi Hassan M Hassan wa TBC hua anatia nanga Kenya sana sana Nairobi tangu uchaguzi wa 2007 na wa 2013, natumaini na huu wa 2017 atatia nanga na kutuhabarisha yatayokua yanajiri huko...jamaa ana kipajisecta ya habari nchini tanzania inazidi kukua kila siku.
safari hii,kituo kikubwa cha runinga chenye makao yake makuu jijini dar es salaam,kimetuma reporter maaulum wa kuripoti yanayojiri katika uchaguzi nchini kenya.
mtangazaji mahiri wa Azam TV,mwanadada Ivona Kamuntu alipokuwa anafanya mahojiano na watu mbalimbali jijini nairobi mapema leo.
NB:watani zetu najua mtatoa povu maana mlishawahi kulalamika eti watz wanafatilia sana masuala "yenyu".
sisi wala hatujari,HAPA KAZI TU.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sio kweli kwamba ndio wanaanza kutoka babu,TBC walikuwepo uchaguzi wa 2007 na pia 2013 walikuwepo, nadhani na huu pia watakuwepo kutujuza kinachojiri huko..Haya hongera ila kwa kweli basi mlikua nyuma sana, muda wote huu nilikua najua vyombo vyenu vya habari huwa vina wanahabari wanaotoka nje kukusanya taarifa. Yaani hata kwenye nchi za jirani zenu hamkua na wanahabari wanaofika.
Ama kwa kweli nini huwa kinawachelewesha Watanzania, huwa mnalaumu vitu vingi ikiwemo Mjerumani aliyewakoloni, mara ujamaa wa Nyerere, mara vita vya Kagera na mambo mengine mengi. Miaka 50 ya uhuru baadaye ndio mnaanza kuchomoza kichwa hadi hata kumtoa mwanahabari nje ya nchi inakua sherehe....hehehehe jameni.
Inafaa muanze kujiamini na kujitia jeuri, mtoke jameni ili kupanua uwezo wa kufikiri na kuona mengine zaidi ya Dar.
Sisi Wakenya tunakatiza Afrika yote utadhani shamba la bibi yetu. Kama ni suala la wanahabari kutoka ndio usipime, fuata makala ya "Daring Abroad - By Alex Chamwada", jinsi amezunguka dunia akikusanya taarifa za Wakenya ambao wanafanya yao nje ya nchi na kutuma hela nyumbani.
Mkuu Startimes utapata hizi habari kupitia ITV na TBC japo wao watakwenda mwezi wa nane kwenye uchaguzi na sio kwenye huu mchujo wa vyama kupata wagombea kama walivyowai AzamChakushangaza starmedia dish tanzania ni jipu na waliopo hawana nia ya kuendeleza campun.
Iweje kipindiki hiki cha uchaguzi star media dish wasiwe na channel hata moja ya kenye..huu ni ujinga saana
Wameweka machamnel zaidi ya 30 ya uganda.wameshindwa kuweka hata channel moja ya kikenya
Hongera azam kwa kutuma mtazamaji ..ni media mnayojali matakwa ya client wenu
Jirani zenu startimes hawajitambui.wanafanya biashara za mazoea
Sio kweli kwamba ndio wanaanza kutoka babu,TBC walikuwepo uchaguzi wa 2007 na pia 2013 walikuwepo, nadhani na huu pia watakuwepo kutujuza kinachojiri huko..
Ni kweli sio wa kwanza, ITV na TBC hua wanakuwepo nakumbuka vyema 2007 na 2013,.kwa Azam tv ndio mara ya kwanza kuleta watangazaji kwa ajili ya uchaguzi...Babu mnajitekenya wenyewe maana mumeleta uzi wa kusheherekea kwamba mumefaulu kuwafikisha wana habari Kenya, halafu wenyewe mnahangaika kutuambia hao sio wa kwanza.
kadoda11 na hawa watz wengine wanafaa kujua nqa kuelewa maana ya ukabila. Station inporusha matangazo yake kwa lugha fulani ya kiasili, hilo si ukabila. Ukabila ni pale kuna chuki baina ya makabila. Kama hizo vituo vya habari vinaeneza chuki, basi huo ndio ukabila, lakini kama hazifanyi hivyo (and by the way, baada ya 2007, ziko very monitored), shida iko wapi?
Whaaat! Aibu gani? Ati unasema nimekurupuka kuweka comment na ni wewe umefungua thread kucelebrate ati journalists wenyu wamepostiwa humu.......what are u talking abbout?
Ati jibu limeniacha na aibu........tchaa!
Babu mnajitekenya wenyewe maana mumeleta uzi wa kusheherekea kwamba mumefaulu kuwafikisha wana habari Kenya, halafu wenyewe mnahangaika kutuambia hao sio wa kwanza.
wakenya mnanichekesha sana.Ouch, how is this an accomplishment? Kumbe kutuma wanahabari Loliondo ilikuwa ushindi?
wakenya mnanichekesha sana.
tangu juzi nilipo anzisha thread hii,mlikuja kwa pupa kudai kwamba ni thread isiyo na hadhi ya kuwekwa hapa.
ajabu ni kwamba mnarudi kila mara ku- comment na kufanya thread yangu izidi ku- trend na hatimaye kuniongezea viewers. asante ni sana kwa bidii "yenyu".
chunguza vizuri,watz unaodai "wananishangaa", niliwajibu vizuri na wameelewa ndio maana huoni wakiendelea kushangaa.Mbona huja quote Watanzania ambao pia wanakushangaa humu. Halafu angalia kwa makini mimi nawajibu wanaoni quote.