Uchaguzi Kenya: Azam TV yatuma reporter wa kuripoti uchaguzi huo

Hahaha nasoma tu nacheka yangu yote.. That guy huwa ilitrate kimpango
 
Whaaat! Aibu gani? Ati unasema nimekurupuka kuweka comment na ni wewe umefungua thread kucelebrate ati journalists wenyu wamepostiwa humu.......what are u talking abbout?

Ati jibu limeniacha na aibu........tchaa!
wewe nilishakunyosha kwenye hii comment yangu hapa chini.sidhani kama utapata tena ujasiri wa kuhoji ulichohoji mwanzo.

najua hili jibu lilikuaabisha sana.
waswahili wanasema "kisu cha ngariba kiliingia mahala lake".[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
Hahaha nasoma tu nacheka yangu yote.. That guy huwa ilitrate kimpango
karibu sana,naona mnashindwa kujizuia Ku comment hapa.


i have just talked with a friend of mine who is also among of the azam tv crew that's visiting nairobi.

he told me that the authority has given them the permission to conduct interview to people living in slums.
hapa kazi tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Annael ichoboy01 Geza Ulole
 

Wakenya hawatokwi na povu, labda mmoja mmoja, wengi wanashangaa ujuha wenu wa kusheherekea kumtuma mwanahabari Kenya. Japo kuna Watanzania kama Radics wamekuja na kuweka sawa na kutoa hiyo aibu. Anyway kwaheri...
 
niliwaambia mimi azam tv imetawala east africa hawataki kuaminiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hahahaha!! Naomba iwe live Azam TV.
 
na sio hvo tu azam tv ina the modern studio in east africa anaebisha aje hapaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Wakenya hawatokwi na povu, labda mmoja mmoja, wengi wanashangaa ujuha wenu wa kusheherekea kumtuma mwanahabari Kenya. Japo kuna Watanzania kama Radics wamekuja na kuweka sawa na kutoa hiyo aibu. Anyway kwaheri...
povu mnatoa na ushahidi mdogo wa povu "lenyu" ni hiyo comment yako.

hofu "yenyu" kubwa mlio nayo ni kuhusu maisha halisi ya wakazi wa slums yasihojiwe na journalist wa tz.

safari hii hatuaachi kitu,tutahoji maisha yao,tutapiga picha makazi na mwisho wa siku tutatengeneza makala maalum ambayo itaruka ktk media zetu za tz.
hapa kazi tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahaha nasoma tu nacheka yangu yote.. That guy huwa ilitrate kimpango
unacheka au ndo unaumia chini kwa chiniπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
safari hii tunataka kuonesha poverty ambayo kenya ipo, below poverty line is 46%
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ na slums zote zirushwe live

People living below the poverty line:
46%
 
so neno hapa kazi tu pia limeingia kenyaπŸ˜€
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
na sio hvo tu azam tv ina the modern studio in east africa anaebisha aje hapaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

hakuna TV station yenye picha ang'aavu na studio bora EA kama azam TV.
 
Ivi huo ukabila kenya upoje
Tanzania naweza kwenda Mbeya nikakaa miaka wala siulizwi kabila langu
nilishangaa siku moja MOTOCHINI anasema
Kenya kila Kabila lina Redio yake
hii nikweli?
sio radio tu mpaka kanisa mkikuyu ana lake na mjaluo lakeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Upo ukabila, ila hakuna mtu atakukataza kuishi mahali popote utakapo. Kwa sasa hakuna mji, jiji ama kijiji ambacho hakina kabila zote, enda garissa utapata mkikuyu, mjaluo, mluhya, mkisii, Msomali, Borana kila mtu!!
wanaishi lakini kwa tahadhari kubwa sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
tanzania imefanya juhudi kubwa sana kuhusu lugha ya kiswahili na ndio mpaka leo inatambulika duniani na afrika kwa ujumla
 
Hahahaha!! Naomba iwe live Azam TV.
Live huwa inaenda saa mbili usiku mda wa taarifa ya habari,ivona kamuntu huwa anatoa updates mbalimbali kuhusu uchaguzi wao.

ila documentary kuhusu maisha ya slums itakuwa recorded.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…