Uchaguzi Kenya: Azam TV yatuma reporter wa kuripoti uchaguzi huo

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
wakenya udenda unawatoka.tv studio kama hii hakuna kenya.
sio kenya tu east and central hakuna😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
sio kenya tu east and central hakuna😀😀😀😀😀😀😀😀😀
hata kwenye vitendea kazi,azam TV inaongoza kwa kuwa na modern facilities kushinda TV zote east and central Africa.
 
azam tv hatari sana.
MK254 huko kenya kuna TV station au media house yenye modern broadcasting facilities kama azam tv?.

bila shaka hamna maana kwa jinsi wakenya msivyopenda kuzidiwa kimaendeleo na watz,msingekubari hizo picha zipite hivi hivi bila kujibiwa.

mnakodoa tu mimacho kodo na kuhepa kimya kimya.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 

wacha tarudi baadae
ukirudi rudi na jibu la swali langu hapo juu.

ila mkae mkijua,kwa TV za kenya kuifikia azam TV in terms of modern broadcasting facilities in today's world, inabidi m-combine viTV station vyote vya kenya ikiwemo citizen TV,ntv,k24 na ktn.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

NB:halafu kuna wakati ilibaki kidogo tu azam tv wapate haki ya kurusha matangazo ya ligi kuu ya mpira kenya.

isingekuwa fitna za wakenya kwa kushirikiana na supersport, leo hii azam TV ndio ingekuwa official broadcaster wa league "yenyu" kuu ya mpira.

ligi kuu ya Uganda na Rwanda azam tv ndio baba yao.
shenzytype.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kenya kuna facilities kama hizo kaka. Na ligi ya Kenya inabroadcastiwa na BAMBA TV I guess
 
Kenya kuna facilities kama hizo kaka. Na ligi ya Kenya inabroadcastiwa na BAMBA TV I guess
weka picha hapa,"wacha maneno mingi".
weka picha za ob van,ob truck na ob bus za hizo TV za kenya.
 
weka picha hapa,"wacha maneno mingi".
weka picha za ob van,ob truck na ob bus za hizo TV za kenya.
Sina experience na TV stations za Kenya. I stream my stuff mate and illegal downloads mostly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…