kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,746
- Thread starter
- #981
naogopa una kichwa kizito, nikiandika kwa kiswahili hutoelewa kitu.kingereza kujui na kiswahili pia hujui.pitia "huko nyuma" usome vizuri,umenielewa?.[emoji23]si kwa ubaya bro. nimeona una struggle kweli kuandika Kiingereza mpaka nikakuonea huruma. ongea tu lugha yenye tutaelewana kwa urahisi. shukran