Uchaguzi Kenya: Azam TV yatuma reporter wa kuripoti uchaguzi huo

si kwa ubaya bro. nimeona una struggle kweli kuandika Kiingereza mpaka nikakuonea huruma. ongea tu lugha yenye tutaelewana kwa urahisi. shukran
naogopa una kichwa kizito, nikiandika kwa kiswahili hutoelewa kitu.kingereza kujui na kiswahili pia hujui.pitia "huko nyuma" usome vizuri,umenielewa?.[emoji23]
 
crossing borders: clouds tv's popular tv show known as clouds 360,is going live from durban and johannesburg,south africa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
a400acf2a46c791e51a9d086bc6992a4.jpg
7373dde0f1c3c8df335a8c1d52989a15.jpg
 
Sielewi mbona ni habari kubwa TV za TZ kutangaza kutoka nchi nyingine?? Katika karne hii mtu akione ni ajab hii ajue ulimbukeni wake hauna kipimo?? Mbona TV Kenya za rusha live news toka all over the world na hakuna la kushangaza??

Kama ilivyokuwa Kesi ya Heague, ya kina Uhuru, tulikuwa tunapata live!! Daring abroad ya Chamwada hurusha habari toka mbembe zote duniani!!

Huu uzi wakishamba moderater naye autoe hapa!!
 
I agree,it's also the same for jamiiforum(owned by a Tanzanian),18 kenyans out of 20 dont know jamiiforum.

surprisingly many of them are visiting it silently,register their accounts,
start new topic,involve in the ongoing conversions,last but not least engage with tanzanians.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
We are very few in Jamii forum....its by coincidence we came here just because of curiosity
 
Sielewi mbona ni habari kubwa TV za TZ kutangaza kutoka nchi nyingine?? Katika karne hii mtu akione ni ajab hii ajue ulimbukeni wake hauna kipimo?? Mbona TV Kenya za rusha live news toka all over the world na hakuna la kushangaza??

Kama ilivyokuwa Kesi ya Heague, ya kina Uhuru, tulikuwa tunapata live!! Daring abroad ya Chamwada hurusha habari toka mbembe zote duniani!!

Huu uzi wakishamba moderater naye autoe hapa!!
naona umeanza kuleta habari za uongo ili upotoshe watu.

acha nikuabishe ili watu wanaosoma maandiko yetu wapime wenyewe halafu watambue uongo wako.

kuhusu case ya uhuru kenyatta na ruto, kenya ilikuwa na maslahi mapana katika case hiyo.

wakati wa kusikiliza mashauri,ICC yenyewe ndio huwa inatoa free live feed ili mtu yoyote aweze ku-live stream popote alipo au tv stations ziweze ku-link feed hiyo na tv stations zao.hicho ndicho kilichokuwa kinafanywa na tv za kenya.

pia tv stations zenu zilipeleka reporters wa ku-report kilichokuwa kinajiri mahakamani kwasababu ni case iliyokuwa inahusu maslahi mapana ya wakenya.

hakuna camera ya tv station yoyote ya kenya iliyoruhusiwa kuchukuwa picha live wakati case inaendelea ndani ya ICC.
acha kuandika habari za uongo.[emoji23] [emoji24] [emoji24]
 
you are too many here,some of you are ghost members,they don't leave any comment but are always sneaking to see what is going on. [emoji23] [emoji23]
 
naona umeanza kuleta habari za uongo ili upotoshe watu.

acha nikuabishe ili watu wanaosoma maandiko yetu wapime wenyewe halafu watambue uongo wako.

kuhusu case ya uhuru kenyatta na ruto, kenya ilikuwa na maslahi mapana katika case hiyo.

wakati wa kusikiliza mashauri,ICC yenyewe ndio huwa inatoa free live feed ili mtu yoyote aweze ku-live stream popote alipo au tv stations ziweze ku-link feed hiyo na tv stations zao.hicho ndicho kilichokuwa kinafanywa na tv za kenya.

pia tv stations zenu zilipeleka reporters wa ku-report kilichokuwa kinajiri mahakamani kwasababu ni case iliyokuwa inahusu maslahi mapana ya wakenya.

hakuna camera ya tv station yoyote ya kenya iliyoruhusiwa kuchukuwa picha live wakati case inaendelea ndani ya ICC.
acha kuandika habari za uongo.[emoji23] [emoji24] [emoji24]

Wewe vipi bana, kuna tofauti ya Live streaming na live broadcasting. Live stream unayosema wewe huwa ni official video feeds kutoka Hague, mimi naongelea kuhusu independent live broadcast ya TV za Kenya.
maxresdefault.jpg

Hague was just but an example, but many things we have reporters going around the world, Last Olympics, KBC did not buy a stream from another company, it had its reporters, crew and machinery at Rio to bring us live feeds, sights and sounds.

hqdefault.jpg

CpK0f4bWcAA3zOn.jpg

CpVRzD9WcAAWw9e.jpg
 
naona baada ya kujitafakari kwa takribani siku kadhaa,leo umeamua ujitutumie uje unijibu ili ukwepe aibu.

nitarudi kukuelimisha na kukosoa uongo wako ili umma wa jf ujue ukweli kuhusu ulichoeleza hapo juu

jiandae kisaikolojia kupatwa na aibu zaidi.
 
Sielewi mbona ni habari kubwa TV za TZ kutangaza kutoka nchi nyingine?? Katika karne hii mtu akione ni ajab hii ajue ulimbukeni wake hauna kipimo?? Mbona TV Kenya za rusha live news toka all over the world na hakuna la kushangaza??

Kama ilivyokuwa Kesi ya Heague, ya kina Uhuru, tulikuwa tunapata live!! Daring abroad ya Chamwada hurusha habari toka mbembe zote duniani!!

Huu uzi wakishamba moderater naye autoe hapa!!
Mbembe ndio lugha gani hiyo?
 
naona baada ya kujitafakari kwa takribani siku kadhaa,leo umeamua ujitutumie uje unijibu ili ukwepe aibu.

nitarudi kukuelimisha na kukosoa uongo wako ili umma wa jf ujue ukweli kuhusu ulichoeleza hapo juu

jiandae kisaikolojia kupatwa na aibu zaidi.

Halina shida hilo!!! Wewe njoo hapa unioneshe live broadcast za AZAM toka nchi za ughaibuni
 
naona umeanza kuleta habari za uongo ili upotoshe watu.

acha nikuabishe ili watu wanaosoma maandiko yetu wapime wenyewe halafu watambue uongo wako.

kuhusu case ya uhuru kenyatta na ruto, kenya ilikuwa na maslahi mapana katika case hiyo.

wakati wa kusikiliza mashauri,ICC yenyewe ndio huwa inatoa free live feed ili mtu yoyote aweze ku-live stream popote alipo au tv stations ziweze ku-link feed hiyo na tv stations zao.hicho ndicho kilichokuwa kinafanywa na tv za kenya.

pia tv stations zenu zilipeleka reporters wa ku-report kilichokuwa kinajiri mahakamani kwasababu ni case iliyokuwa inahusu maslahi mapana ya wakenya.

hakuna camera ya tv station yoyote ya kenya iliyoruhusiwa kuchukuwa picha live wakati case inaendelea ndani ya ICC.
acha kuandika habari za uongo.[emoji23] [emoji24] [emoji24]
Hata mimi nilikua namshangaa nini anaongea, ni maajabu kwa cameraman wa huko Kenya kuingiza toys zake mule ndani ya Court eti anarusha live, from which permit kwa mfano??
Mwisho wao ni huko barabarani maeneo nyeti kama the Hague Court wao wenyewe ndio wanadirect unasaji wa matukio mle ndani then mnapewa outlets mnaplug devices zenu ndio mana kuna baadhi ya matukio ukiangalia cnn, BBC, aljazeera, abc, fox, pictures za video zinafanana.
 
All my friends that I requested to join this forum declined my request
Don't you know why? They count themselves and find out we are incredible geniuses, they can't debate with us.

Currently they are reading us from this point of view
funny-hiding-picture-three.jpg

One of them detected
 
Hahahaha... Kaka nipo kwenye ki-pub uchwara fulani hivi jirani na hapa kwangu....yaani nimecheka mpaka rafiki zangu wananishangaa.wee sio mtu mzuri aisee.

comment yako na picha ni babkubwa.
 
Hata mimi nilikua namshangaa nini anaongea, ni maajabu kwa cameraman wa huko Kenya kuingiza toys zake mule ndani ya Court eti anarusha live, from which permit kwa mfano??
Mwisho wao ni huko barabarani maeneo nyeti kama the Hague Court wao wenyewe ndio wanadirect unasaji wa matukio mle ndani then mnapewa outlets mnaplug devices zenu ndio mana kuna baadhi ya matukio ukiangalia cnn, BBC, aljazeera, abc, fox, pictures za video zinafanana.
comrade nashukuru kwa ku-observe na hatimaye kubaini uongo uliotaka kupikwa na huyo mkenya anayejiita wanjala(wanjala kwa kikwetu ni mtu mwenye njaa).
 
Hahahaha... Kaka nipo kwenye ki-pub uchwara fulani hivi jirani na hapa kwangu....yaani nimecheka mpaka rafiki zangu wananishangaa.wee sio mtu mzuri aisee.

comment yako na picha ni babkubwa.
   huo ndio ukweli mchungu comrade trust me
 
Back
Top Bottom