Tunayafanyia kazi taratibuVipi mengine 6?
Wenzako wanaangalia ile kura 1 inavyoweza kuchezewaHaijarishi kwenye hivyo vituo 15 kutakuwa na kasoro ama la, bado haitoshi kwa Odinga kuweza kupindua matokeo.
Kimahesabu rahisi, kila kituo kilikuwa na wastani wa kura 330, na Ruto alitangazwa kuwa mshindi kwa tofauti ya kura 240,000 ambapo inahitaji sio chini ya vituo 700 vya kupigia kupata hizo kura. Hivyo Raila atahitaji kuonyesha kasoro za msingi kwenye vituo zaidi ya 700, kitu ambacho hakiwezekani.
Huyu mleta mada ni mrongoMleta mada habari yako haijakamila kwa jana usiku katika masanduku 7 ni mawili tu ndio yalikuwa hayana kasoro mengine 5 form 34A hazikuwepo, zilikuwa mbili zenye data tofauti, au zimechanwa
Mnapata faida gani kutoa habari za uongo?,matokeo ya mabox yaliyohesabiwa kama kuna kasoro zitatolewa na majaji sio vinginevyo acheni kibimba habari.
Kunguni kweli wewe kule kwenye uzi wako umesemaje?Mnapata faida gani kutoa habari za uongo?,matokeo ya mabox yaliyohesabiwa kama kuna kasoro zitatolewa na majaji sio vinginevyo acheni kibimba habari.
mawakili na agenti wa Raila wenyewe ndo walitaja hivi vituo wakisema majibu kwenye fomu zilizopelekwa Nairobi sio sawa na yale yaliopatikana kwa kituo baada ya kuhesabu kura ... Mahakama ikaagiza masanduku haya yafunguliwe na kura kuhesabiwa upya... sasa hii hesabu mpya inaonyesha hakuna tofauti kati ya matokeo yaliotangazwa kituoni na fomu ya majibu iliotumwa Nairobi... Kwa kifupi Raila alidanganywa na ma agenti wake, anapoteza hela tu kwa kulipa mawakili wake mamilioni ya pesaKwahiyo, hayo sita yaliyobaki yakionesha hakukuwepo na hitilafu, Je, utata wa kura za URAIS utakuwa umemalizwa nchi nzima au hayo maeneo tu?, Je, maeneo mengine hayakuwa na matatizo?