Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,251
- 7,037
Ripoti ya mahakama ndo inasema hivyo, sio sisi... Ripoti hio ndo inasema hawakupata tofauti walipohesabu kura upya... ripoti hio ndo itatumika na majaji... kama unataka kuisoma mwenyewe niambie nitaipost hapa... Roundi hii kila kitu ni live! Kesi yote iko kwa tovuti ya mahakama ukitaka kusoma petition, submission, affidavits...etc zote unaweza ziona na kujisomea..Mnapata faida gani kutoa habari za uongo?,matokeo ya mabox yaliyohesabiwa kama kuna kasoro zitatolewa na majaji sio vinginevyo acheni kibimba habari.