Ripoti ya mahakama ndo inasema hivyo, sio sisi... Ripoti hio ndo inasema hawakupata tofauti walipohesabu kura upya... ripoti hio ndo itatumika na majaji... kama unataka kuisoma mwenyewe niambie nitaipost hapa... Roundi hii kila kitu ni live! Kesi yote iko kwa tovuti ya mahakama ukitaka kusoma petition, submission, affidavits...etc zote unaweza ziona na kujisomea..Mnapata faida gani kutoa habari za uongo?,matokeo ya mabox yaliyohesabiwa kama kuna kasoro zitatolewa na majaji sio vinginevyo acheni kibimba habari.
Hii ilishadukuliwa na kuonyeshwa kua side shows.. hawa lawyers wa Raila wamekula pesa ya bure tu... Afadhali wale lawyers wengine wanaojiwakilisha wenyewe kama kina okiya omutata ambao walijaribu kukosoa hesabu ili kuonyesha Ruto hakupata zaidi ya 50% angalau hao wanaeza shinda kesi lakini hawa wa Raila kila ushahidi waliotoa baadae ilionyeshwa kua uongo mtupu.
Wanashinda kwa minajili hipi?Hii ilishadukuliwa na kuonyeshwa kua side shows.. hawa lawyers wa Raila wamekula pesa ya bure tu... Afadhali wale lawyers wengine wanaojiwakilisha wenyewe kama kina okiya omutata ambao walijaribu kukosoa hesabu ili kuonyesha Ruto hakupata zaidi ya 50% angalau hao wanaeza shinda kesi lakini hawa wa Raila kila ushahidi waliotoa baadae ilionyeshwa kua uongo mtupu.
Acha tungoje tu hapo KeshoWanashinda kwa minajili hipi?
How many spoilt ballots were there? I dont think there were that many-the threshold is enshrined in Article 138 (4) of the Kenyan Constitution which dictates that "A candidate shall be declared elected as President if the candidate receives– (a) more than half of all the votes cast in the election," reads part of subsection 4.
-spoiled ballots, as they are called here, will count in the overall vote total , ie cast vote must include spoiled ballots
Factoring in spoiled ballots did any of presidential candidate score the threshold 50% +1 vote?
Past election ,number was upward of 300,000 -How many spoilt ballots were there? I dont think there were that many