GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Uliowataja wana Misimamo Mikali kama ya TEC ( Wakatoliki ) hivyo System imefanya UMAFIA ili arudishwe / achukue huyu Malasusa ambaye ni Mtu wa Kujipendekeza kwa Watawala na mwepesi wa Kulambishwa Asali na Kutumika nao Kadri watakavyo kwa Maslahi yao.Askofu Malasusa ametokea wapi tena? Mbona ulitajiwa wagombea ni hawa tu?
1) Askofu Dkt. Benson Bagonza (Karagwe)2) Askofu Dkt. Abednego Kesho (Bukoba)3) Askofu Dkt. Blaston Gavile (Iringa)4) Askofu Dkt. Msafiri Mbilu (Tanga)
Nyumba za wakatoliki zimejaa masanamu ukutani...Kanisa Katoliki hufuata biblia, historia na mapokeo. Hakuna uchaguzi wa maaskofu wala mapadre wala mashemasi. Maaskofu huteuliwa na Papa. Na wala hawana kipindi maalum cha kuhudumu.
Sijui utasaidiwa na nani wewe uliyekosa maarifa. Maombi pekee siamini kama yataweza kukunusuru.Nyumba za wakatoliki zimejaa masanamu ukutani...
Wengine wanatembea nazo shingoni kama kengele.
Kanisani ndio kabisaaa, sanamu mbele juu pale ya madhabahu.
Unakuta wamepiga magoti wanaomba sanamu iwasaidie.
Lakin pia sanamu ni kitu chochote ulichokiweka mbele kuliko Mungu Chief. Kama umeweka hela wazazi au hata famili au kaz ni za kwanza kuliko Mungu hizo zote ni sanamu. Gods first na ana wivu balaa.Nyumba za wakatoliki zimejaa masanamu ukutani...
Wengine wanatembea nazo shingoni kama kengele.
Kanisani ndio kabisaaa, sanamu mbele juu pale ya madhabahu.
Unakuta wamepiga magoti wanaomba sanamu iwasaidie.
Atakuwa mnyakyusa wa hovyoSure Jamaa ana elements za ukijani ,asije kuifanya KKKT kama BAKWATA ,afuate nyendo za Shoo ambaye alikuwa hafungamani na upande wowote anasimamia ukweli.
Askofu Dr Shoo jana kaangusha wachagga mbele ya Rais kwa kuonesha unafiki mkubwaKama ni kwel
System imepata mtu wao..
Na anavyowachukia wachaga, watamkomaππ
Chuma kingine hicho kutoka Rungwe-Mbeya Kwa kina Mwambukusi ππππMalasusa amepata kura 167 ambazo ni asilimia 64 ya kura zote zilizopigwa
Askofu malasusa alikuwa anagombea dhidi ya askofu Abednego Keshomshahara wa Dayosisi ya Bukoba aliyepata kura 73 na Askofu Dr George Fihavango wa Dayosisi ya Njombe aliyeshindwa katika duru ya kwanza.
Hii itaakuwa ni mara ya pili kwa Askofu malasusa kuwa mkuu wa kanisa la Kiinjili la Kiliteri Tanzania (KKKT) tangu alipochaguliwa kwa mara ya kwanza mwaka 2007, hadi mwaka 2015 ambapo alimuachia kijiti askofu Fredrick shoo ambaye ameongoza kwa kipindi cha miaka nane.
Hongera Askofu Malasusa, Hongera KKKT.
---
Mkutano Mkuu wa 21 wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) umemchagua Askofu Alex Malasusa kuwa mkuu mteule wa KKKT.
Askofu Malasusa wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani anachukua nafasi ya Askofu Fredrick Shoo aliyemaliza muda wake wa uongozo wa awamu mbili.
Anarejea tena kwenye nafasi hiyo aliyoihudumu kuanzia 2007-2015 alipomaliza na nafasi yake ikiongozwa na Askofu Shoo.
Akitangaza matokeo ya uchaguzi huo mwenyekiti wa uchaguzi huo,Askofu Amon Mwenda,amesema kura zilizopigwa zilikuwa 241 ambapo kati ya hizo Malasusa amepata kura 167 sawa na asilimia 69.3 huku Askofu Abednego Kesho Mshahara akipata kura 73 sawa na asilimia 30.3
Askofu Malasusa alizaliwa Aprili 18, 1961; katika kijiji cha Kiwira Wilaya ya Rungwe, Mkoa wa Mbeya.
Ni mtoto wa pili katika familia ya watoto nane ya Marehemu Mchungaji Gehaz Japhet Malasusa na Subilaga Timoth Malasusa.
Askofu Malasusa amewahi kuwa Mkuu wa Kanisa kwa miaka 8 tangu 2007 hadi 2016 na Mkuu wa Chuo Kikuu Tumaini Makumira kwa kipindi chote.
Mstari wa Biblia anaoupenda ni Yohana 3:30 ββBasi hii furaha yangu imetimia. Yeye hana budi kuzidi, bali mimi kupungua.ββ
Unao uhakika wa ulichokiandika? Usichanganye dini na siasa.Double standard ya Askofu Shooo kutokuonyesha msimamo wa KKKT (mbele ya Rais SSH) kuhusu suala la serikali na mkataba mbovu DPW uenda kumechangia kuenguliwa kwake! Ongela Askofu mkuu mteule Malasusa! Wana KKKT tunataka uonyeshe msimamo wako kny KKKT kama wakatoliki walivyoonyesha waziwazi kuunga mkomo wananchi kukataa bandari zao kuuzwa!View attachment 2727772
Ongera! Safi saana!Double standard ya Askofu Shooo kutokuonyesha msimamo wa KKKT (mbele ya Rais SSH) kuhusu suala la serikali na mkataba mbovu DPW uenda kumechangia kuenguliwa kwake! Ongela Askofu mkuu mteule Malasusa! Wana KKKT tunataka uonyeshe msimamo wako kny KKKT kama wakatoliki walivyoonyesha waziwazi kuunga mkomo wananchi kukataa bandari zao kuuzwa!View attachment 2727772
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38] dini na siasa!Unao uhakika wa ulichokiandika? Usichanganye dini na siasa.