Elections 2010 Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura

Status
Not open for further replies.
Updates kutoka kwa Wa Jikoni:

  • Hali ni tulivu.
  • Watu wamejitokeza kupiga kura asubuhi hii, wengi wakiwa ni kina mama.
  • Watu wanahakiki majina yao.
  • Hakuna malalamiko, so far

kwa kweli hapo kwenye nyekundu hapajanifurahisha. Huu ni mtaji wa CCM kwa tafsiri ya harakaharaka. Vijana wako wapi jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii???
 
Vijana wengi wanamkubali Mahona,CUF hoyeee!
 
wewe huna tofauti FF.
yaani kuona sura umeshathibitisha CDM kushindwa.. Jenga hoja kuliko kuleta mambo ya kufikirika
 
kwenye picha ambazo zimeanza kurushwa na channel10 kuna msimamizi kavaa kofia ya njano.sijui ana maana gani.mimi naomba avue avae kofia nyeupe kama wenzake walizovaa.itakua ni kwenye kituo cha ujenzi.mia
 
sio kichwa tuu hata pua lake lingedondoka kama michael jackson


Ngoma inogile...

There are currently 353 users browsing this thread. (129 members and 224 guests)

7 pro CCM, 341 pro CHADEMA, 1 pro CUF and 4 neutral....

Kama uchaguzi ungefanyikia JF basi Rejao angepasuka kile kichwa
 
Kwa hiyo unasema hata wakiibiwa they will remain pumbafu. Sidhani kama mtaji huo wa zamani ndo uliopo kwa sasa. sahau. kila mtu hasa vijana wako mukhari na wezi wa rasilimali zao.
 
Mkuu kuna watu wamezuiliwa kisa wamepoteza id zao lakini majina yao yapo ITV wanaripoti

sheria inasemaje!
Hao sheria haiwaruhusu kupiga kura, wasubirie kushangilia. Wangekuwa na akili, wangelalamika mapema may be Nec wangelifanyia kazi.
 
Sasa km wametoka kijiji kimoja?unataka kutumaanishia nini?we kweli kichwani mwako hamna kitu kabisa
Nimejaribu tu kuonyesha uhusiano uliopo kati ya hawa watu na taarifa zinazotolewa na ITV
 
Wataruhusiwa kweli jamani?! Hii si watakua wamekosa haki yao ya msingi

wamejikosesha wenyewe. Wangejua umuhimu wa kupiga kura, wangeripoti mapema ili Nec walifanyie kazi.
 

Profesa Maji Marefu umemrithi Sheikh Yahya kutabiri?? Tupe in detail watatofautiana kwa kura ngapi mtabiri??
 
Mpaka sasa Chadema inaongoza kwa mbali, hii inatokana na watu ambao wamepiga kura na kuhamasishana kupigia Chadema, mwisho wa siku itakuwa kama ifuatavyo
Chadema 42%
CCM 34%
CUF 13%
nyingine vyama vingine
 

Mambo vp mama kafumu? Niambie habari za huko!! Naona umeanza kutupatia updates uharo hapa JF,thanx much....Vp mzee presha yake ikoje? Maana alituomba tumchague kama wewe ulivyomchagua......
 
Hebu angalieni ITV nadhani kuna ujinga pale .Yule mzee anaitwa nani ? Hebu wasikilizeni hawa je wanasema ukweli ? Hapakuwa na rushwa kweli huko ?
ccm walivo mwaga pesa hata takukuru isingeweza hata kidogo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…