Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
Vijana kweli wamejitokeza kwa mujibu wa picha itv
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Juzi nimemsikia JMK akisema ataeleta uvunjifu wa amani atashughulikiwa. Watu wa fujo wanajulikaa na wamedhibitiwa.
Updates kutoka kwa Wa Jikoni:
- Hali ni tulivu.
- Watu wamejitokeza kupiga kura asubuhi hii, wengi wakiwa ni kina mama.
- Watu wanahakiki majina yao.
- Hakuna malalamiko, so far
Juzi nimemsikia JMK akisema ataeleta uvunjifu wa amani atashughulikiwa. Watu wa fujo wanajulikaa na wamedhibitiwa.
Ngoma inogile...
There are currently 353 users browsing this thread. (129 members and 224 guests)
7 pro CCM, 341 pro CHADEMA, 1 pro CUF and 4 neutral....
Kama uchaguzi ungefanyikia JF basi Rejao angepasuka kile kichwa
Mkuu kuna watu wamezuiliwa kisa wamepoteza id zao lakini majina yao yapo ITV wanaripoti
Nimejaribu tu kuonyesha uhusiano uliopo kati ya hawa watu na taarifa zinazotolewa na ITVSasa km wametoka kijiji kimoja?unataka kutumaanishia nini?we kweli kichwani mwako hamna kitu kabisa
Dalili zote zinaonesha ushindi mkubwa kwa CCM
Dalili zote zinaonesha ushindi mkubwa kwa CCM
Wataruhusiwa kweli jamani?! Hii si watakua wamekosa haki yao ya msingi
SIO siri, kwa mtu aliye mtaalamu wa kusoma hisia za watu kutokana na personality zao ikiwa ni pamoja na body expression na uongeaji, basi hana shaka pale atakapokuwa anawaelezea watu fulani fulani! Nafuatilia uchaguzi wa Igunga kupitia Chanel 10 ambao hivi sasa wanarusha LIVE! Mistari inaonekana ikiwa na watu walio na nyuso na ambao hata mavazi yao yanatosha kuwaelezea ni watu wa namna gani!! Vijana wapo, lakini wengi wao si wale ki-facebook au ki-hip hop ambao naamini ni mtaji tosha kwa CHADEMA!!! Wanaoonekana hapa ni wale walioundwa na nyuso za kiungwana zisizopenda shari!!! Sina shaka yoyote kwamba, hapa CDM hawana chao; si kutokana na kuibiwa kura bali kutokana na kushindwa kwa halali kabisa!!

ccm walivo mwaga pesa hata takukuru isingeweza hata kidogo.Hebu angalieni ITV nadhani kuna ujinga pale .Yule mzee anaitwa nani ? Hebu wasikilizeni hawa je wanasema ukweli ? Hapakuwa na rushwa kweli huko ?
CDM nayo itakuwa imekufa,hahaaa,
By 2015 hawa vijana nao watakuwa wamama na wababa, na hawa wamama na wababa wa leo watakuwa wamekufa...