Mbona kama roho imekuuma ivi?
Chanel 10 ya wapi unayo angalia wewe? Hivi hivyo tamthiria ya kikanada ndio uchaguzi igunga?
jamani kuna mama anachanika tbc please angalieni
ngeleja kashachukua chake arusha ngoja nitumie sm mpaka kieleweke
Lakini ukishapiga si vibaya ukisema uliyempigia...huyo hajui nini maana ya kura. Kura ni siri.
Angalia mama anayelezea tbc muone awa magamba
Wakuu kuna kituo vifaa vya kupigia kura vimepelekwa na boda boda.
Na mkishindwa je?
Lakini ukishapiga si vibaya ukisema uliyempigia...
mi naona poa tu ili mradi kuna usalama! Acha nao wapate chakula cha watoto ndo kufa kufaana huko, wasitoke bure uchaguzi huu! All the best wana Igunga!