Elections 2010 Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura

Status
Not open for further replies.
Na kwaminia kamanda wabaneni...je wale jamaa wanao jiita sijui TAKUKURU bado wamelala...
 
Safi sana ila mengi zaidi yatajulikana leo.Hongera zenu, intelijesia iendelee na kazi.
 
Uchaguzi wa Igunga kuna vituko kuna raia moja kaona picha yake ya kwenye kitambulisho chake imechakaa kaamua kubandika picha yake mpya ya rangi duu!!
 
There are currently 1030 users browsing this thread. (252 members and 778 guests)
 
Jamani mbona tunapata habari tofauti kupitia TVs?tunaambiwa vituo vimeamishwa,majina yameamishwa,na mambo kama hayo..mlioko huko tunataka updates jamani
 
alfred masako na fatma nyangasa wanajaribu kuchambua mchakato wa jinsi upigaji kura unaoendelea huko igunga. huyu mpigapicha anavyomuonyesha fatma kwa nyuma tu, anaharibu concetration
 
Uchaguzi wa Igunga kuna vituko kuna raia moja kaona picha yake ya kwenye kitambulisho chake imechakaa kaamua kubandika picha yake mpya ya rangi duu!!

Kweli kuna viroja sana.
OTIS.
 
alfred masako na fatma nyangasa wanajaribu kuchambua mchakato wa jinsi upigaji kura unaoendelea huko igunga. huyu mpigapicha anavyomuonyesha fatma kwa nyuma tu, anaharibu concetration
Ahahahahaaah!!! Yataka moyo mkuu, jikaze...
 
alfred masako na fatma nyangasa wanajaribu kuchambua mchakato wa jinsi upigaji kura unaoendelea huko igunga. huyu mpigapicha anavyomuonyesha fatma kwa nyuma tu, anaharibu concetration

Fatma ndio anageuka kutuonesha rear view.
Nice one.
OTIS.
 
Kwanini hamkuchukuwa hizo fedha?
 
Kwa nini watu wa ccm wajivunie uwingi wa akina mama na wazee, na wapinzani wajivunie uwingi wa vijana. Vyama vyote vina jumuia za makundi yote. Na wapinzani hufanya kosa kwa kutokuwafikia akina mama. Watu wote ni wa vyama vyote. Endeleeni kutuupdate.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…