Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,741
Na kwaminia kamanda wabaneni...je wale jamaa wanao jiita sijui TAKUKURU bado wamelala...Tumemkamata mgambo akiwa kwenye foleni ya kupiga kura huku akitoa rushwa ya shs 5,000/= kata ya Swingizi, baada ya kumweka chini ya ulinzi, tukamkuta na shs laki saba, kwa sasa anashikiliwa na polisi, anasema alitumwa na viongozi wa CCM.
Nchemba anapita kila kituo anamwita msimamizi na kumpa hela, kwa sasa amedhibitiwa na vijana wetu