wa chama gani?
una maana gani wewe? unapokwenda kupiga kura kwani unaulizwa wewe wa chama gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wa chama gani?
Nimeipenda hii na ccm inaposema itawaletea maendeleo wananchi wake maana yake ndiyo hii. Ukweli ni kwamba chama hiki kimeishiwa sera. Watanzania tujipange vizuri tukisukumie kuzimu ifikapo 2015.Hizi ndio gongo wanazohongwa na ccm
Kumbe mama yako ni mmoja ya wanaokimbilia misafara ya CCM ili apate kanga na vilemba?? Basi kijana usijali nakutumia doti mbili zisizo za chama mama apendeze na atulie nyumbani asikukuruke kwenye misafara ehh.Waoo! Nimeipenda hiyo Pic.
Hapo tunazidi kuona products za CCM zinavyotumiwa na mtu wa kila aina.
CDM wana product yoyote? Ruzuku yote inaishia mfukoni kwa Mbowe na Slaa!
Hata kuwanunulia mama zetu vilemba hawawezi
Waoo! Nimeipenda hiyo Pic.
Hapo tunazidi kuona products za CCM zinavyotumiwa na mtu wa kila aina.
CDM wana product yoyote? Ruzuku yote inaishia mfukoni kwa Mbowe na Slaa!
Hata kuwanunulia mama zetu vilemba hawawezi
Alafu kuna makosa mengine ni ya waandishi sasa kwanini wampe adhabu mwananchi ambaye sio kosa lake ishu ya no ya id kutofautiana na ile kwenye daftari la NEC ni kosa la waandishi wa daftari, kwanini wamnyime mtu kupiga kura? We unasemaje hapo
Yupo kibaruani ila kura ni siri yake.Workup Rejao nani kakuloga wewe jamani?
Mode nashauri hii thread apewe mwana jf aliyeko Igunga, hata kama thread starter ni simple mind, kwa sasa iko page 18 na ukifungua mwanzo ndio hii statement, unakuwa huwatendei haki wale wanaoingia sasa kujua nini kinaendelea Igunga. Hivyo threat ya msingi iwe updated from time to time vinginevyo tutajikuta tuna utitiri wa thread za Igunga kuzungumzia kile kile!Wana JF Igunga tafadhali tupasheni yanojiri Igunga.
In green & Yellow wanashine!Kumbe mama yako ni mmoja ya wanaokimbilia misafara ya CCM ili apate kanga na vilemba?? Basi kijana usijali nakutumia doti mbili zisizo za chama mama apendeze ehh.
uharoooompiga kura analalamika ameonyeshwa amefarikialikuwa analazimishwa na balozi amchague mgombea fulanini mama alafu kwa maelezo yake ni cdm live anasema anabendera ya vidole viwili nyumbani kwakeamechagua chama anachokipenda yeye hataki kuchakachuliwa watch out tbc moja