Elections 2010 Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura

Elections 2010 Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura

Status
Not open for further replies.
Hizi ndio gongo wanazohongwa na ccm
Nimeipenda hii na ccm inaposema itawaletea maendeleo wananchi wake maana yake ndiyo hii. Ukweli ni kwamba chama hiki kimeishiwa sera. Watanzania tujipange vizuri tukisukumie kuzimu ifikapo 2015.
 
Hii NEC vp? inakuaje vituo vingine vinapigia kura nje itakuaje kama mvua itanyesha?wanataka urahisi wa kuchakachua
 
Waoo! Nimeipenda hiyo Pic.
Hapo tunazidi kuona products za CCM zinavyotumiwa na mtu wa kila aina.
CDM wana product yoyote? Ruzuku yote inaishia mfukoni kwa Mbowe na Slaa!
Hata kuwanunulia mama zetu vilemba hawawezi
Kumbe mama yako ni mmoja ya wanaokimbilia misafara ya CCM ili apate kanga na vilemba?? Basi kijana usijali nakutumia doti mbili zisizo za chama mama apendeze na atulie nyumbani asikukuruke kwenye misafara ehh.
 
Waoo! Nimeipenda hiyo Pic.
Hapo tunazidi kuona products za CCM zinavyotumiwa na mtu wa kila aina.
CDM wana product yoyote? Ruzuku yote inaishia mfukoni kwa Mbowe na Slaa!
Hata kuwanunulia mama zetu vilemba hawawezi

Workup Rejao nani kakuloga wewe jamani?
 
Alafu kuna makosa mengine ni ya waandishi sasa kwanini wampe adhabu mwananchi ambaye sio kosa lake ishu ya no ya id kutofautiana na ile kwenye daftari la NEC ni kosa la waandishi wa daftari, kwanini wamnyime mtu kupiga kura? We unasemaje hapo

nafikiri kuwa na waandish pia ni binadamu anakose, ila kosa moja halihalishi kuvunja sheria.
Nec walau wajitahidi kubandika majina mapema, ili wananchi waweze kuhakiki majina.
 
Marehemu naye kaibuka kupiga kura na shahada yake..Source: Regina Mwalekwa
 
wadau kweli Rost tamu hajafanya kitu kabisa maana nimeona hata hayo maeneo yanayoendeshewa uchaguzi mpaka aibu....
 
Esta Bulaya live MTV.

Anasifia polisi.

Anasema kinamama, wazee wamejitokeza kwa wingi.

anaulizwa kuhusu mwamko wa vijana.

Anajibu, ati kwamba amekuwa sapraizdi kwamba vijana hawajajitokeza kwa wingi.
 
Na picha za marehemu zinatumika kupigia kura huko Igunga. ITV wamereport
 
Wana JF Igunga tafadhali tupasheni yanojiri Igunga.
Mode nashauri hii thread apewe mwana jf aliyeko Igunga, hata kama thread starter ni simple mind, kwa sasa iko page 18 na ukifungua mwanzo ndio hii statement, unakuwa huwatendei haki wale wanaoingia sasa kujua nini kinaendelea Igunga. Hivyo threat ya msingi iwe updated from time to time vinginevyo tutajikuta tuna utitiri wa thread za Igunga kuzungumzia kile kile!
 
jamani kuna mama anachanika tbc please angalieni
 
Hizi kelele zenu zisije kuwa aibu mkishindwa. Mnaaza kujisifu halafu mkipigwa chini zitaanza lawama. Acha tungoje matokeo.
 
mpiga kura analalamika ameonyeshwa amefarikialikuwa analazimishwa na balozi amchague mgombea fulanini mama alafu kwa maelezo yake ni cdm live anasema anabendera ya vidole viwili nyumbani kwakeamechagua chama anachokipenda yeye hataki kuchakachuliwa watch out tbc moja
 
wakuu kuna mama anaongea na tbc kwa huzuni amekuta jina limeandikwa amekufa kisha balozi alimlazimisha ampe shahada yake ya kura kisha kumlazimisha achague gamba alipokataa aambiwa akipata shida yoyote asije kulalamika wadau mnalionaje
 
mpiga kura analalamika ameonyeshwa amefarikialikuwa analazimishwa na balozi amchague mgombea fulanini mama alafu kwa maelezo yake ni cdm live anasema anabendera ya vidole viwili nyumbani kwakeamechagua chama anachokipenda yeye hataki kuchakachuliwa watch out tbc moja
uharoooo
 
Nimeangalia kwenye TBC 1,ni kweli chadema mtaji wao ni vijana,ningeshauri wajipange kwwa ajili 2015 kuwepo na wasimamizi/mawakala smart ambao wataweza kusimamia kura za wanachama wao,vijana wa vyuo vikuu ambao ni wanaipenda nchi yao kwa dhati,jitokezeni kuhakikisha kuwa mnasimamia chama chenu.
HAKI INATAFUTWA,HUWEZI KUPEWA BUREBURE HASA NA CHAMA KAMA CCM
CHADEMA OYEEEEEEEEEEEEEEEEE!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom