Elections 2010 Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura

Elections 2010 Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura

Status
Not open for further replies.
Tendwa anadanganya ati DC alizuiliwa kutimiza majukumu yake wakati alikuwa kwenye kikao cha ndani cha kisiasa kwani hakuwa na ulinzi wowote kama kiongozi mkuu wa wilaya na mlinzi na usalama wa Igunga
 
mpaka sasa mawakala wa CDM wapo imara zaidi coz wengi wao ni wanavyuo vikuu kutoka UDOM,UDSM MZUMBE na kwingneko na wenye ufahamu mzuri wa computer na kujali zaidi maslahi ya wanaigunga na sio kweli kuwa kna mama ndio wengi hapa naona wengi vijana na wapo kwenye foleni huku kina mama wakija kwa kuchungulia foleni imeisha au bado hzo ndizo updates mpaka ss hv!
Asante mkuu!
 
mbona naona watu ni wengi na vijana ni wengi tu wko kwenye foleni....kuna upotoshaji unafanyika kuw wengi ni kina mama......
 
Sasa kama tumeanza kuzuliana vifo kwa sababu ya matumbo ya wachache basi tunaelekea kusiko,,
 
mbona naona watu ni wengi na vijana ni wengi tu wko kwenye foleni....kuna upotoshaji unafanyika kuw wengi ni kina mama......

Asante mkuu..jioni ikifika chadema tuanze kushangilia maana mpaka sasa ccm A naB wanalia tu
 
Huyo mama inavyosemekana katumwa na CDM ili kupandisha hasira za wana Igunga dhidi ya CCM.Huyo balozi aliemtaja amefuatiliwa na hakupatikana,yaani does not exist.

kama kweli, kazi ipo.
 
Ati.. baadhi ya vyama vya siasa vinafanya uhuni kwenye kampeni. Suala la vurugu za uchaguzi Igunga litajadiliwa katika Baraza la Vyama vya Siasa.
 
Ati.. baadhi ya vyama vya siasa vinafanya uhuni kwenye kampeni. Suala la vurugu za uchaguzi Igunga litajadiliwa katika Baraza la Vyama vya Siasa.
Anaongelea uvunjifu wa amani ila nashangaa hazungumzii uvunjifu wa haki.
 
Mlezi wa vyama vya siasa Mh. Tendwa, hajakerwa na wanasiasa (Mbunge Aden Rage) "kupanda na silaha jukwaani" wakati wa kampeini (maana hakutaja kama hilo lilimkera) bali amekerwa na tukio la Mkuu wa wilaya kufanyiwa fujo, kijana kumwagiwa tindikali, na tukio la kurushiana risasi.

Ameyasema haya wakati akihojiwa na Mtangazaji wa TBC1 kuhusu ni mambo gani yalimkera katika uchaguzi mdogo wa Igunga

source: TBC1 saa saba mchana leo.
 
Huyo mama atakuwa kachanganyikiwa tu. Haiwezekani mtu mzima kama yule aipende CCM. Atakuwa amepewa hela na magwanda ili aichafue CCM
 
Star tv wanasema wazee na akina mama ndio wamejitokeza kwa wingi kulingana na takwimu zao.
 
Ati.. baadhi ya vyama vya siasa vinafanya uhuni kwenye kampeni. Suala la vurugu za uchaguzi Igunga litajadiliwa katika Baraza la Vyama vya Siasa.
hana lolote huyu Tendwa na kuhakikishia kama mambo yaliyokuwa yanafanywa na CCM kwenye kampeni za safari hii siyo Igunga tu.....siajabu ugesikia kitu cha ajabu sana achiliambalia barua ya onyo kali lakini kwa kuwa wanao fanya hivyo ni CCM hana la kufanya.....
 
Hivi hakuna sheria inayoweza kuwajibisha watu kama hawa? au ndi tuseme sheria wamezikalia kwenye masaburi yao na wana jeuri ya kufanya lolote?

Hapa ni kufungulia watu kesi, hawawezi kunitangazia kufa niko hai kisa nimekunyima shahada yangu...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom